Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

Habari wakuu.

Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4. Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.

Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri

Naombeni msaada wenu
Kwa hiyo issue yako ungekuwa umeoa,tuliooa tungekushauri ufanye nini,ni jambo rahisi sana...
 
Habari wakuu.

Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4. Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.

Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri

Naombeni msaada wenu
Mpee pesa mingi mingi huyo
 
Anasemaga mjumbe mmoja.. Inasikitisha sana endapo hizi taarifa ni zakweli
 
Habari wakuu.

Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4. Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.

Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri

Naombeni msaada wenu
Pole sana, sasa msaada unataka watu wa kukusaidia kumridhisha huyo binti au usaidiwe mbinu za kumridhisha? Ungekua spesific kidogo
 
Unasikitika nini alikulipa sh?
Kwani king'amuzi na antenna umecheki ipo.
Mwambie aongeze dau.
Halafu kama wewe ulidhika kuna shida gani vaa boxer uende zako
 
Habari wakuu.

Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4.

Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.

Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri

Naombeni msaada wenu
Sasa wewe hapo shida yako nini?kama alianza kupigwa pipe akiwa darasa la sita,mpaka unakutana nae wewe,huko chini viungo vyake vimeishaota sugu,vimetanuka! Hakuna pipe ya wastani itamridhisha,
Akikulaumu muulize,alikuja akiwa Bado binti(bikra)?
 
Kinachonishangaza kaanza mapenzi zamani ila maungo yake Ni madogo Sana
 
Kinachoniuma Ni kwanini wengine nawaridhisha!
Nilimsikia daktari mmoja akizungumzia swala hilo, yeye alisema suala la kuridhika linamuhusu mtuhumiwa mwenyewe, lazima naye afanye bidii ya kuweza kuridhika kama halidhiki na wewe umefanya sehemu yako ni tatizo lake lazima afanye bidii afikie kuridhika sio kumtwisha mtu mwingine mzigo wa yeye kuridhika. Asiporidhika haikuhusu alipaswa ajiandae kwa kuweza kuridhika
 
Nimetumia kila mbinu kujua hisia zilipo
Ila nimetoka kapa
Sehem pekee Ni kwenye k tuuu
Ana code ngumu huyo she......
vp unaweza ukanipa address yake na mimi nikakusaidia kutafuta code zake....
vitu kama hivi vinahitaji fundi mzoefu.......
just kujua code zake zilipo kisha nakupa file lake
 
Back
Top Bottom