kuridhika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Ninaomba ushauri, nina ufaulu wa Phy D, Math D, Chem C, Bios C na Geo C na nahitaji kusoma Mechanical maana advance combination zinabalance arts, je nifanyeje? Na ufaulu huo na nikipata two?
  2. sky soldier

    Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

    "USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo. Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao...
  3. Burkinabe

    Viongozi kuweni makini na Watanzania, wengi wao ni Wanafiki

    Asalaam Aleykum. Bila shaka wote mko vizuri na mnaendelea na kazi za ujenzi wa Taifa letu. Leo ninao wosia kwa viongozi wa nchi yetu kuwa makini na raia wao, maana ni ukweli usiopingika kwamba Watanzania wengi ni wanafiki. Mnafiki ni mtu anayejifanya vile asivyo. Kwa maneno mengine, mnafiki ni...
  4. M

    Dah, Maisha ya kuridhika ni mazuri sana!

    Nimeamka sina kifungua kinywa, ilipofika saa 5 hivi nikakoroga uji kwa kutumia maziwa yaliyokuwepo kama nusu lita hivi!! Nilikunywa huo uji mtamu na moyo ukaridhika kuwa hayo ndiyo maisha mazuri. Nikiwa mitaani hakuna anayeweza kuhisi kuwa nimeshindia uji. Kwa kweli kuridhika ni faida kubwa...
  5. Nyankurungu2020

    Nini kinawafanya kuridhika na kukubali rasilimali za taifa lao kutafunwa na kundi la watu wachache? Kwanini wanakuwa wapole huku wakikamuliwa?

    Hili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana. Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu. Wanaowaibia watanzania wanapata kiburi na dharu kuwa watanzania ni mabwege na watu wa kupigwa tu. Epa, Kagoda...
  6. D

    Uzi maalum wa kujifariji, kuridhika na kupeana matumaini ya maisha

    Kwa wale wapambanaji na wazee wa kusikilizia michongo; Ebu tupieni faraja na matumaini hapa ili kujipa moyo wa kupunguza maumivu yoyote! Mi nawaambia wadau muachage mazarau! < Anaringa na kigari chake cha mkopo; ukifika japani hivyo vigari vinauzwa kwa mafungu, Nikitaka gari mi nitaagiza...
  7. Zanzibar-ASP

    Kwanini wanaCCM wengi hawajafurahi au kuridhika na uteuzi wa Tulia kuwa Spika wa Bunge?

    Sio siri, kwa mtu yoyote anayefuatilia mwenendo wa siasa za CCM anaweza kugundua kitu kisicho sawa sawa miongoni mwa makundi ya wanaCCM kufuatia tangazo la kuteuliwa kwa Tulia kuwa mgombea kiti cha spika wa bunge la Tanzania. Yaani iwe ni kundi la Msoga au Sukuma, wote hawajafurahia sana. Kuna...
  8. Surya

    Kuridhika ni mwisho usio fikwa

    Naitwa Surya mchizi toka shy town. Leo nimeamka sina kitu, chai nikapiga deshi.. Ila mchana nimekula ugali nyama na mchicha. By saa 9 mchana nikaangukia mitaa fulani maeneo ya kazi (Mtu kama 9 hivi jumla) tayar mbuzi mzima anatiwa viungo tayar kwa kuchomwa.. nimekula mbuz nimeshiba Lakin...
  9. kalisheshe

    Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

    Habari wakuu. Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4. Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote. Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution...
Back
Top Bottom