ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,989
Nadhani lile wazo wabunge wa Upinzani MIKATABA yote ya Serikali au Taasisi za umma zijadiliwe Bunguni kwanza ndo litakuwa suluhisho kwa tatizo la Mikataba mibovu. TTCL ilitakiwa iwe kimbilio kwa watu wa chini.
Mwaka 2001 aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi ya Ttcl ni Jaji Warioba.
Baadaye aksingia Salim A.Salim. Wakati Airtel ananunua hisa mzee Sinde alikuwemo.
Kumlaumu Januari Makamba Leo ni kumuonea. Kwa nin asiulizwe Lowasa na Rostam marafiki wakubwa hawa.