Inasikitisha sana: TTCL Yafilisika Rasmi

Si mnataka kuendesha mashirika? Maana tulishaachana na mambo ya serikali kufanya biashara, lkn nyie mnataka kurudi huko. Why complain then, wawekezaji kwenye TTCL walishaondoka, and it is all yours now. Msije kusema hatukuwaambia, shirika litalofuata kufilisika litakuwa ATCL. Just mark my words...
 
Nyinyi laumuni wote wengine lakini mimi. Nalia na Kikwete tu!! Vitu hiv ameviruhusu viendelee ktk awamu yake yote, ukimuoji kuhusu hili ataanza tu kucheka Cheka, Inatia huruma sana!! Inauma sana kugawa malalio yetu kama njugu mjomba!!
Kwa nn unasubiri mpaka watoke ndipo unaanza kulaumu? Wakati huo ulikuwa wapi?
 
Aliejenga jengo lao sio RA ni Manji.....kiwanja cha UWT.....mkataba miaka 20....jengo litarudi UWT
MKuu huo ndio ukweli,
1. wlaitumia leseni ya TTCL.
2. walitumia Miundo mbinu(Minara ya TTCL) kufunga redio na mitambo ya mwanzo, japo kwa sasa baaadhi ya sehemu wamejitoa.
3. Kumbuka makao makuu yao ilikuwa pale Airtel kijitonyama kabla Rostam ajala shavu na kuwajengea pale Ambaosdor kwenye hotel ya wazazi CCM.
 
Kwa nn unasubiri mpaka watoke ndipo unaanza kulaumu? Wakati huo ulikuwa wapi?
Kila tunaoita 'uongozi' wa nchi hii unafuja kwa njia yake, hamna mwenye nafuu, si waliopita, si waliopo sasa. Nchi haitaendelea kamwe.
 
Back
Top Bottom