Zungu Pule
JF-Expert Member
- Mar 7, 2008
- 2,218
- 1,218
Baadhi ya yaliyosemwa na TTCL huko Twitter: "TTCL was essentially discriminated in 2002 when its GSM,spectrum,shares were given to Celtel. We are now fixing this unfavorable decision."
Nani aliingia mkataba na hao bhat airtell? Sijarlewa vizuri ila hii mikataba mingine hii. Kuna watu wananufaika kabla hawajaingia
Wawakilishi wetu, na kama hujajuwa wenye shares hapo Bharti Airtel wamo mpaka nyota wa sasa Warioba, Salim A Salim na wengine wengi mno!!
Toka awamu ya Alli Hassan Mwiny iliamuliwa kuwa shirika la umma lisiloweza kujiendesha lenyewe halitopewa ruzuku.
Wizi, Uzembe, Uvivu, Uongo ndiyo unayapeekea mashirika yote ya umma kufa.
Ukiona lipo ujuwe hilo amma linajiendesha lenyewe au linapewa ruzuku kwa kuwa hakuna mbadala wa mashirika binafsi, mfano TANESCO, kama si kusaidiwa na Serikali lingeshakufilia mbali zamani sana.
Sishangai.
Ni kweli bila ruzuku mashirika mengi yangelishakufa kwa sababu yameingiliwa sana na wakubwa serikalini kuhakikisha yanakufa ili yale yao yanawili. Mbona leo NHC ambalo nalo lilikuwa hoi liko safi? Umesahau tu kusema wanayaua mabwana wakubwa wa ccm. Na hili litaendelea kuwa gumu kwenu kulitamka.
Hivi kwani ni siri kwamba watu walipigia kelele ujinga huu? Hata kule kukubali serikali kutoa mikono kwenye mashirika iliyoanzisha yenyewe ilikuwa ni wazo la kipumbavu.
Nenda nchi zilizoendelea uone kama serikali ujitoa kuendesha mashirika yaliyo na direct effect kwenye social services! Likiyumba tu tayari hua inaingilia! kwetu wakina Mwandosya walihakikisha watoto wao wanapewa scholarship na wezi wale ili wawauzie shirika kitapeli. Serikali haiwezi kujivua kwa hili.
asante kwa sahihisho. Nimesema NHC sio NBC= Yanawiri
Hiyo benki uliyoyaja imenawiri baada ya kubinafsishwa ilikuwa hohe-hahe.
Umeshasema nchi zilizoendelea, Tanzania ni nchi iliyoendelea?
usiseme imekufa sema imepungua utendaji. kilichokufa hakiwezi hata kupumua.
lkn kwa sasa TRL ule uwezo wake wa zamani umeshatafutiwa ufumbuzi. nimpongeze DR. MWAKYEMBE kwa juhudi na moyo wa UZALENDO aliofanya kuliokoa shirika letu.
matatizo ya nchi hii yanasababishwa na uzembe mkubwa wa utawala dhaifu wa CCM. ispokuwa kuna baadhi ya viongozi wachache wenye uchungu na nchi hii ndio angalao wanaonyesha ujasiri wa kuthubutu kutenda yale ambayo CCM chini ya SERIKALI YAKE inaleta udhaifu wake haswa kwenye maslahi muhimu ya wananchi wa TZ.
Conclusion: TTCL ni mhanga wa mbinu chafu za makampuni ya simu na watu wasio waaminifu serikalini. Inaonekana bosi Wa TTCL amechoka na ameamua kufunguka. Ila amechelewa mno kuweka mambo wazi.
Ndio ujinga wa chief magunga akila anakula na mbegu mashirika yote wameyatafuna na kupunguza uwezo wa kuajiri na kukuza uchumi wa nchi badala yake tunatoa ajira na kukuza uchumi wa wengine nyumba za serikali tumeuza za mashirika hivyo hivyo Mpaka kuia tanesco Kama ilivyo TTCL , tbl , tanganyika packers e.t.cMkuu ni kweli tupu inaelekea management imechoka na izi danadana za airtel imeamua kufunguka uma ujue kinachoendelea hata hii kusema imefilisika ni janja inaelekea ili uma ujue hasa nn kinaendeleaana hapo wimbo mkubwanni airtel atoke na airtel hajawaiwekeza chochote iweje adai ela ili atoke
Huyu anayeutaka Uraisi ambaye kitabu chake kimetoka juzi, ameshindwa kuifufua hii kampuni ambayo iko direct chini ya wizara yake ni utendaji upi sasa aliofanikiwa mpaka tumkabidhi nchi, wakati TTCL Shirika la kizalendo kashindwa kulifufua linakufa chini yake. Only in Tanzania where mtu anashindwa kabisa kiutendaji halafu anataka tumpromote mpaka Urais. Mafisadi wamefanikisha azma yao ya kuua shirika la kizalendo lilokuwa na mtandao nchi nzima na branch Ofisi karibia kila mkoa na ilikuwa inaajiri watanzania wengi. Inasikitisha sana!!
Source:Habari Leo
= Yanawiri
Hiyo benki uliyoyaja imenawiri baada ya kubinafsishwa ilikuwa hohe-hahe.
Umeshasema nchi zilizoendelea, Tanzania ni nchi iliyoendelea?
Ni kweli kabisa Celtel,Zain,Airtel ni mali Salim Ahmed Salim anayebisha abishe tuu.Link urafiki wa Mo Ibrahim na SalimWawakilishi wetu, na kama hujajuwa wenye shares hapo Bharti Airtel wamo mpaka nyota wa sasa Warioba, Salim A Salim na wengine wengi mno!!
Mkuu fafanua vizuri hapo kwenye nyekundu; usiongee kisiasa.
Mwenyewe umekiri kuwa matatizo yanasababishwa na uzembe mkubwa wa utawala dhaifu wa CCM. Sasa unategemea Mwakyembe ambaye pia ni Kada wa CCM afanye miujiza gani kuondoa matatizo ya shirika??!!