Nyunyu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2009
- 4,354
- 1,014
Issa, mtanzania ambaye alikuwa CEO wa airtel/celtel wakati wa kuweka mikataba hii mibovu ndiye amepewa kuongoza BRN sasa. Ikumbukwe pia kuna malalamiko kwamba airtel ilianzishwa kwa mtaji wa TTCL, na baada ya kuji establish, wakafanya ujanja wa kujitenga na TTCL. Wakavuna mpunga wee kisha wakauza kampuni ili kujiweka salama.
Ikumbukwe pia kulikuwa na malalamiko ya malipo ya kodi wakati wa kuhamisha umiliki wa kampuni hiyo ya airtel
Sijui kwa nini wananchi tunaendelea kuwa vipofu. Huyu jamaa, ndo dalali aliyesimamia madili haya, sasa hivi yuko zake peponi anafwaudu matunda ya uhuru.
In additional, wakati dili limekaa sawa, yeye kama mmoja wa ma dairekta wa kwanza kule, walilipwa mafao murua wakakti waarabu wananchukua celtel international...
Wavaa mashati ya kijani na njano, wanakuja wamejipaka majivu 2015, wametoa mpaka vitaku, tena vilivyoandikwa na watu wa Mungu, ili imani ijengwe, wakipata ridhaa, wanaoga majivu kwa maji yenye mibaraka yote... wanaanza kuishi wakionekana kwa rangi zao...
mhh... Huyu Mungu na atuhurumie sisi wakosefu... sasa na saa ya kuliwa kwetu...
...unajua cha kuitikia..itika.
..............................