Inasikitisha sana: TTCL Yafilisika Rasmi

Inasikitisha sana: TTCL Yafilisika Rasmi

kuna tetesi zilikuwepo miaka ile celtel inaingia nchini kuwa kuna mkono wa mwinyi na salim ahmed salim!

Hata Warioba alikuwemo na alikuwa mjumbe wa bodi ya TTCL kwa miaka mingi akiwatetea mafisadi na hakuna kilichobadilika pamoja kwamba alikuwa mzalendo lakini kwa vile aliteuliwa na Celtel ilibidi awatetee na kuakandamiza TTCL
 
Huyo naye mnampa promo kumjadili humu.Hao watoto wa vigogo wamepandikizwa kuendeleza na kulinda maslahi mapana ya wazazi wao walizo fisidi waendelee kutumbua kwa amani.Dawa ni kuwa DELETE mbali na mizizi yao tuanze upya kuikomboa nchi hii na Watu fresh kabisa wasio na nasaba na viongozi wastaafu
 
Kwa waandishi wa habari wengi hawako huru, hata wale ma-radio/television presenters hawako huru kabisa! Hupenda kuandika habari zinazowafurahisha wamiliki wa vyombo vya habari wanavyovitumikia! Wengi habari zao huwa ni ukweli ambao umepotoshwa, kwa lugha ya siku hizi wenyewe wanaita "kuchakachua!"

Wazee wa vibahasha.

cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Ni kiwanda gani kilifia mikononi mwa Nyerere between 1961-1985?

Ni kiwanda gani nyerere alirithi kutoka kwa wakoroni between 0-1961?

Vyote na ndivyo vilikuwa vinainyonya nchi kwa kupelekewa ruzuku. Si viwanda tu na mashirika ya umma yote na mashamba ya mkonge yote, kila kitu, nill, kaput.

Mwinyi kachukuwa hii nchi hohe hahe ndiyo akaamuwa hakuna tena ruzuku kwa hayo madudu yasiyoweza kujiendesha yenyewe. Ndiyo kidooogo nchi ikapata ahueni na watu wakaanza kupumuwa na mpaka barabara za mijini zikaanza kutengenezwa. Zilikuwa nyang'anyang'a wakati wa Nyerere.
 
Issa, mtanzania ambaye alikuwa CEO wa airtel/celtel wakati wa kuweka mikataba hii mibovu ndiye amepewa kuongoza BRN sasa. Ikumbukwe pia kuna malalamiko kwamba airtel ilianzishwa kwa mtaji wa TTCL, na baada ya kuji establish, wakafanya ujanja wa kujitenga na TTCL. Wakavuna mpunga wee kisha wakauza kampuni ili kujiweka salama.

Ikumbukwe pia kulikuwa na malalamiko ya malipo ya kodi wakati wa kuhamisha umiliki wa kampuni hiyo ya airtel


Hilo zigo la TTCL si la Kikwete wala January. Ni zigo la Che Nkapa. Ndimo alioanzia ufisadi wake.
 
Vyote na ndivyo vilikuwa vinainyonya nchi kwa kupelekewa ruzuku. Si viwanda tu na mashirika ya umma yote na mashamba ya mkonge yote, kila kitu, nill, kaput.

Mwinyi kachukuwa hii nchi hohe hahe ndiyo akaamuwa hakuna tena ruzuku kwa hayo madudu yasiyoweza kujiendesha yenyewe. Ndiyo kidooogo nchi ikapata ahueni na watu wakaanza kupumuwa na mpaka barabara za mijini zikaanza kutengenezwa. Zilikuwa nyang'anyang'a wakati wa Nyerere.

Nitajie viwanda unavyosema kila siku humu vilikufa wakati wa nyerere? vyote ndio nini?

Record ya industrial development katika nchi hii hauwezi kuifananisha ya utawala wa Nyerere nakiongozi mwingine yoyote, hasa kwa lengo la kujustfy uzembe,uongo,uvivu, wizi na umbumbumbu wa J.Msafiri K.
 
Enyi wasemaji wa serikali hebu kujeni pande hizi muone jinsi watu wanavyoisema vibaya serikali yenu tukufu
 
Hii kitu fisadi aliyefaidi ni Mwandosya, hivi mmesahau ile kafsha ya kulipiwa ada ya mwanae chuo kikuu fulani huko S/Africa na hao wanunuzi wa share za TTCL?. Huyo alisamehe hao wawekezaji wasilipe kiasi halisi cha thamani za hisa walizochukua
 
Hii kitu fisadi aliyefaidi ni Mwandosya, hivi mmesahau ile kafsha ya kulipiwa ada ya mwanae chuo kikuu fulani huko S/Africa na hao wanunuzi wa share za TTCL?. Huyo alisamehe hao wawekezaji wasilipe kiasi halisi cha thamani za hisa walizochukua

Spare my soul. Hadi Mwandosya ni kidokozi?
 
Yule Juha aliyeaminisha watu kuwa Njia Kuu za Uchumi zikimilikiwa na wageni ndio tutaendelea ndio sababu ya yote haya. Sasa kamugisha amepewa mfupa ulioshinda mafisi sugu, wakati Omari issa na genge lake wakiendelea kutafuna mali za watanzania.

This was all pre-planned. TTCL was doomed the day CCM walipohalalisha Spika wa bunge kuwa na Mwenyekiti wa bodi Vodacom, na wanasiasa kumiliki hisa kampuni binafsi za mawasiliano.

Nchi imejaa washe*zi hawana haya wala soni.

Huyo dogo Januari kazi kukenua hovyo na kuota ndoto za alinacha kuwa raisi, sasa kama a handful of mafisadi wanamu-outsmart ataweza kudeal na nchi nzima iliyojaa mafisadi?

Asijitetee kuwa amekuwa waziri hivi karibuni. Ningempa credit kama angechukua maamuzi starting when he was appointed. TTCL was his best chance of proving his Leadership Ante and well., He scored a BiG fat F.

Omari Issa alikuwa Celtel sio? Ndiye atakuwa ame-engineer haya mambo. Na sasa anasimamia BRN.

Dada yake January Makamba akiwa Vodacom alipata kuchangisha fedha za kampeni za ubunge wa January kutoka kwa wenye makampuni ya mawasiliano (Barua iliyoandikwa na dada yake January kwenda kwa haya makampuni iliwekwa hapa jamvini) kwa ahadi kwamba akishinda ubunge, atakuwa Waziri wa Mawasiliano na mambo yao yataenda vizuri. Ni kweli sasa January ni Naibu Waziri wa Mawasiliano. Yuko pale kuhakikisha maslahi ya wafanyabiashara yanalindwa, kwa kuliingiza taifa kwenye hasara kubwa. Na kwa mambo yalivyokaa, inaonekana kazi ya January ilikuwa ni kuhakikisha TTCL inauzwa kwa wawekezaji (kama vile Airtel au Vodacom) kwa njia za mizengwe. Another plausible theory ni kwamba walitaka kuvuna kwa kuiingiza serikali mkenge wa kununua hisa za Airtel. Haiwezekani Kampuni ina hali mbaya kiasi hicho na hakuna jitihada zozote zilizofanyika kuiokoa. Wanataka kujenga mazingira ya kuiuza TTCL. Katika hili, Zitto ni wa kumtizama kwa jicho la tatu. Ni mjanja sana huyu kijana.
 
Acha upunguani wewe usipende kuchangia vitu usivyovijua utaumbuka....

Huwa nakukanya Sana mambo ya kitaalamu huyawezi we imba taarabu zako za kumsifia shemejiyo mwenye tezi dume....

Hiyo kampuni ya airtel imeinunua Zain ambayo nayo walinunua celtel international ambao nao walinunua Celtel Tz.....

So Bhahti Airtel walinunua kampuni pamoja na Mali zake ikiwemo hisa na madeni so Airtel Tanzania bado ni sehemu ya wamiliki Wa TTCL ndio maana wanadai PESA ya hisa sasa unakurupuka nini kuchangia ujinga??

Kwani PAP alivyolipwa madeni ya kuanzia 2006 alianza kazi 2006??

Kaa kimya kuliko kudhihirisha ujinga na upunguani wako na inaonekana uwezo wako Wa reasoning na thinking ni duni Sana Kama huyo shemeji yako....

Akibisha na hapa, basi ni mchochezi.
 
Makamba jr sahau ndoto za ikulu,sasa rasmi mh. lowassa ndo anayetufaa..
TEAM lowassa
 
Last edited by a moderator:
Kikwete si alipokea kijiti kwa bashasha, amefanya nini kulifufua? Ten years now.

Teh teh teh wakati anaingia madarakani mswahili Wa msoga alijifanya kuvaa viatu vya nyerere akijinasibisha naye kwa kila hali lakini Kadiri siku zilivyosonga alijiona anapwaya Sana Sana JK anaiacha nchi ikiwa hoi kiuchumi
 
Back
Top Bottom