Masoud Masoud ktk kpnd cha Mkasi, alisema maofisini humu wamejaa wauza k na baadhi ni wake za watu!
Na nyinyi wanunuzi mupo ndiyo maana hiyo bidhaa ikauzika. Tena ikiwa nyinyi munanunua za wake wa watu na wenu wananunuliwa na wengine.
Du! mkuu umeuziwa...bora kuoa ijulikane moja!
maneno yako yamenisisimua....Kwanza kabisa kabla ya kulalamika lazima tutambue kuwa tunaishi kwenye nyakati ambazo papuchi imekuwa ni moja ya biashara ya wadada ambayo msingi wake ni hela ya wembe wa kunyolea na pedi.....
Na tukumbuke kuwa vitu hivyo vinauzwa dukani....na kwa kuwa na yeye anatumia gharama kuihudumia haiwezekani akakupa bure....
Kwa hiyo vijana tusione ubahili kugharamia papuchi ikiwa tunafurahia huduma yao.......
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
hivi ipi ni aghali kati ya 'papuuch' na 'shadr at el munyaah'
Kwa kiwango gani.....hahahaaaaa......maneno yako yamenisisimua....
unapohitaji starehe kubali kugharamia..
Kwan unadhani papuchi inajitunza yenyew?
Mbona kanisani mnatoa sadaka kila j2 kwaajili ya ukarabati wa majengo? Sasa kwanini usitoe hela kwaajili ya kuikarabati papuchi inayokupa raha
Nimechoka nasema nimechoka. Kila demu nchi hii anauza wengine kwenye mitaaa, wengine kwenye mabaa, wengine kwenye madanguro na nk.
Sasa kuna hili kundi kubwa ambalo halisikii saana. Ni hawa dada zetu mama zetu waliobaki nyumbani kwa kisingizio wa hawataki kuuza mbona mnatuuziaaa?
Kila demu unayetongoza leo kama si leo kesho utamsikia baby nina shida ya 200000. Mara hiki mara kile au wewe nenda nae guest baada ya kula mzigo jifanye umesahau aga halafu mtazame usoni.
Mkojo wako wenyewe kuujojoa unaulipia sembuse mtu kukukatia kiuno....acha ujinga bana!!!!
Mkojo wako wenyewe kuujojoa unaulipia sembuse mtu kukukatia kiuno....acha ujinga bana!!!!
maneno yako yamenisisimua....