Inamaana nyinyi wanawake wote mnajiuza?

Inamaana nyinyi wanawake wote mnajiuza?

unakatika kino kwa sababu wewe pia unasikia utamu so wote tunanufaika why should i pay u
 
mke hapewi hela kugharamia mgegedo, kugegedwa ni sehemu ya majukumu yake ya msingi.
 
Dah!! Yn kwa kweli wanaume siku izi mnalalamika mpaka mnatia huruma, lakini haya yote mmeyataka wenyewe hii onja onja ya sasa ivi imewafanya wadada kuweka pesa mbele kama silaha ya kupunguza, Sasa ukiona bughudha linazidi tafta tu wa kuendana nawe weka ndani utakuwa na Amani.

hatulalamiki tunataka haki sawa
 
Ila akianza kuchoka na kukongoroka huwa natafuta upcomming, hvo tunakua hatudaiani. Na yy ktk historia yske aseme alishawahi kupata jamaa aliye nitumia bila kunidhurumu.
hujanidhurumu na umeacha nimekongoroka? We mbayaaa in Joti's voice.
 
Nimechoka nasema nimechoka. Kila demu nchi hii anauza wengine kwenye mitaaa, wengine kwenye mabaa, wengine kwenye madanguro na nk.

Sasa kuna hili kundi kubwa ambalo halisikii saana. Ni hawa dada zetu mama zetu waliobaki nyumbani kwa kisingizio wa hawataki kuuza mbona mnatuuziaaa?

Kila demu unayetongoza leo kama si leo kesho utamsikia baby nina shida ya 200000. Mara hiki mara kile au wewe nenda nae guest baada ya kula mzigo jifanye umesahau aga halafu mtazame usoni.

Usichoke mkuu, hadi kwenye ndoa fomula ndio hiyo hiyo....."mume wangu naomba hela ya nywele, ada ya watoto inahitajika"....lakini mke wako anafanya kazi na analipwa mshahara

Women you can't live with, you can't live without them
 
Nimechoka nasema nimechoka. Kila demu nchi hii anauza wengine kwenye mitaaa, wengine kwenye mabaa, wengine kwenye madanguro na nk.

Sasa kuna hili kundi kubwa ambalo halisikii saana. Ni hawa dada zetu mama zetu waliobaki nyumbani kwa kisingizio wa hawataki kuuza mbona mnatuuziaaa?

Kila demu unayetongoza leo kama si leo kesho utamsikia baby nina shida ya 200000. Mara hiki mara kile au wewe nenda nae guest baada ya kula mzigo jifanye umesahau aga halafu mtazame usoni.

We vipi, si uoe???
Wanaume suruali ni shida.
 
Last edited by a moderator:
Yani vivulana havipendi kuwajibika,
Wanaume suruali hawataki majukumu.
Basi wote tuolewe tu.

hahaaaa!! umeona eeeh? 'mwanaume' hawezi kulalamika hivi, kuna mwenzie hapo anataka haki sawa, nahisi ndio hii uliyoongelea, tuolewe tu wote tujue moja.
 
hahaaaa!! umeona eeeh? 'mwanaume' hawezi kulalamika hivi, kuna mwenzie hapo anataka haki sawa, nahisi ndio hii uliyoongelea, tuolewe tu wote tujue moja.
Ha ha ha!uwiii!!Yeye hajawahi pata mahaba bila kuchunwa too bad atembee tembee mayb atapata iyo bahati!!ila nashangaa sana mwanaume wa kweli kuwa mchoyo mpaka unaonea ubahili kumhudumia gal wako akati uwezo unao!!Huo ni uchoyo na utoto hakuna kingineee!!
 
tena uchoyo mbaya sana, mwanaume majukumu ati sharti umhudumie mwandani wako, na huo ni wajibu walaa hauna mahusiano na haki, japo vinaambatana, mwanaume anawajibu wa kumhudumia mpz waka na mwanamke ana haki ya kuhudumiwa na mpz wake(hahaaaa)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom