Ugm bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,166
- 5,709
Sisi bado tuna ujinga vichwani mwetu.
Imagine mzazi leo akipata pesa na mali nyingi anagoma kumpa mwanae/wanae urithi akiamini kwamba na wao wakajitegemee au watafute vya kwao badala yake anawaambia urithi wa pekee ni elimu, jambo ambalo si kweli,
Kwa dhana hii mtu anapofanikiwa na kushindwa kuwarithisha watoto zake huo utajiri wake akifa nao utakufa tu na umasikini utaendelea kuitafuna jamii.
Pia usimamizi mbovu wa mali&vitega uchumi na kukosa elimu sahihi ya uchumi, haya mambo ndio yanairudisha hii nchi na wazawa nyuma kwa kukosa maarifa ya kuendesha shughuli zao, muda tunapoteza kuwasomesha watoto hayo matakataka mashuleni/vyuoni tungetumia huo muda kuwafunza watoto jinsi gani ya kuendesha miradi na kuisimamia vizuri mnadhani uzembe ungekuwepo?
Tunapoteza muda mwingi ktk mambo ya kipuuzi huko mashulen ambako hakuna elimu ya maana zaidi ya kukalili uchafu usio na msaada kwa jamii.
Mabadiriko lazima yaanze katika familia yaani kwa wazazi&walezi wajifunze kuacha urithi kwa watoto wao, hii pia itawapunguzia kusalitiwa na watoto wao wenye tamaa ya mali wanaowaua kwa kutaka mali kilazima, badala yake wazazi wawaweke wazi watoto kuwa ktk umiliki wa mali fulani ni nani atahusika na nani hatohusika kwa sababu zipi na zipi, bila hivyo tutaendelea kushuhudia matukio ya mtoto kumnyonga mzee wake kisa urithi wa shamba au mtoto kutokomea na pesa za familia, au mke kuua mme kisa pesa.
La mwisho, bila kubadiri huu mfumo TAKATAKA wa hii elimu TAKATAKA bado hatutakuwa tumesolve chochote.
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app