Inakuwaje nchi yetu iliyojaa fursa na rasilimali hayumo Mtanzania hata mmoja wa asili kwenye kumi bora ya matajiri?

Sisi bado tuna ujinga vichwani mwetu.

Imagine mzazi leo akipata pesa na mali nyingi anagoma kumpa mwanae/wanae urithi akiamini kwamba na wao wakajitegemee au watafute vya kwao badala yake anawaambia urithi wa pekee ni elimu, jambo ambalo si kweli,

Kwa dhana hii mtu anapofanikiwa na kushindwa kuwarithisha watoto zake huo utajiri wake akifa nao utakufa tu na umasikini utaendelea kuitafuna jamii.

Pia usimamizi mbovu wa mali&vitega uchumi na kukosa elimu sahihi ya uchumi, haya mambo ndio yanairudisha hii nchi na wazawa nyuma kwa kukosa maarifa ya kuendesha shughuli zao, muda tunapoteza kuwasomesha watoto hayo matakataka mashuleni/vyuoni tungetumia huo muda kuwafunza watoto jinsi gani ya kuendesha miradi na kuisimamia vizuri mnadhani uzembe ungekuwepo?

Tunapoteza muda mwingi ktk mambo ya kipuuzi huko mashulen ambako hakuna elimu ya maana zaidi ya kukalili uchafu usio na msaada kwa jamii.

Mabadiriko lazima yaanze katika familia yaani kwa wazazi&walezi wajifunze kuacha urithi kwa watoto wao, hii pia itawapunguzia kusalitiwa na watoto wao wenye tamaa ya mali wanaowaua kwa kutaka mali kilazima, badala yake wazazi wawaweke wazi watoto kuwa ktk umiliki wa mali fulani ni nani atahusika na nani hatohusika kwa sababu zipi na zipi, bila hivyo tutaendelea kushuhudia matukio ya mtoto kumnyonga mzee wake kisa urithi wa shamba au mtoto kutokomea na pesa za familia, au mke kuua mme kisa pesa.

La mwisho, bila kubadiri huu mfumo TAKATAKA wa hii elimu TAKATAKA bado hatutakuwa tumesolve chochote.

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
kwa sababu ya uislamu, matajiri waislamu wamepewa utajiri na maraisi waislamu au wametajirikia kwenye uraisi wa waislamu.

sasa kuna tofauti kwenye mafundisho ya kidini kati ya uislamu na ukristo, ukristo unapendelea wazawa wa nchi husika na wazawa wengi kwanza imo kwenye Biblia wakati waislamu unapendelea muislamu acchh it’s just too complicated naishia hapo …
Kwamba kukosekana kwa ngozi nyeusi matajiri sababu ni uislam 😀,,au mimi ndo sijakuelewa vizuri, mbona na wewe unataka kuwa kama MK254 yule jamaa wa kibera Kenya mana yeye hata akizabwa makofi na mkewe lawama lazima awatupie waislam na uislam,, wajumbe wametoa sababu zenye mashiko kabisa ikiwemo ile ya ujamaa kipindi cha awamu ya kwanza wewe unaulamu uislam 😀,, na kama hoja yako kwamba ukristo unapendelea wazawa, marais wakristo si walitawala na tena wao ndio walioanza, Inakuwaje inakosekana ngozi nyeusi?,, yupo mdau katoa sababu zenye mashiko kabisa ya kuwa hawa wenzetu weupe wana connection kitambo,, Mwengine akaenda mbali na kusema ngozi nyeusi tuna roho mbaya,, wewe unasema uislam duh😀
 
alikuwepo Mengi na alipigwa vita sana na wahindi na waarabu akina manji & Co. na ilikuwa ni vita kubwa, weusi waislamu walikuwa upande wa waarabu na wahindi, manji amekimbia nchi kuacha madeni makubwa kwenye taasisi za serikali nani alimuwezesha ? kulikuwa na yule mwenye hotel pale mnazi mmoja nimemsahau jina alikuwa mweusi pia, kulikuwa na watu wana construction companies successful waliopata tenda kubwa na kufanya kazi nzuri mpaka awamu ya ikaleta wahindi waislamu estim na kupewa kazi zote, kampuni za weusi bank rupt wahindi wanatawala bado sijagusia waarabu wa sgm unafikiri nani kawawezesha? hivyo kuna ukweli kwamba wahindi na waarabu wanafanywa matajiri na watawala weusi na kuwakandamiza weusi wenzao, jiulize dewji ambaye ana viwanda ambavyo vinahitaji umeme lkn bado anamtetea raisi kwa hali ya kawaida alipaswa kupaza sauti kwa maana anapata hasara lkn anamtetea kuna sababu kwa nini anatetea kukosekana kwa umeme, unajua jinsi mo dewji alivyotajirika? kuna yule adamjee akapewa mpaka ubunge akapora kiwanda cha tanganyika packers kafungua mashine zote za kutengenezea nyama zilizonunuliwa kwa kodi zetu na kwenda kuuza kiwanda kimebakia magofu tu nani alimuwezesha? …
 
Sawa uko sahihi,
Hahaha!! jibu lako limenikumbusha hii meme..
images.jpeg
 
Tukianza kuangalia jamii zilizofanikiwa hapa nchini, sharti huwa ni kwamba ni kuwaweka Waarabu na Wahindi pembeni kisha ndio tuanze kutafuta mrefu kati yetu mbilikimo wa mafanikio,!

Ni uwezo mdogo wa kufikiri, tumeridhika au nini?
achana na waarabu na wahindi,jiulize ni kwa nini mchgga akifika mkoa wowote anatoka?
 
achana na waarabu na wahindi,jiulize ni kwa nini mchgga akifika mkoa wowote anatoka?
Wanatoka wapi ? Kuna mchaga anayemfikia Gsm mtoto wa juzi tu hapo?

Acheni kujipa sifa ,inaleta huzuni kuongozwa na jamaa ..wenzio mpaka kenya yaani africa kwa ujumla wanashika hatamu na wapo wachache.

Wachaga kwa wingi ni kabila la pili au la tatu kwa Tz nzima ,kweny probability kuna chance kubwa ya kujitokeza katika kila fursa ila waarabu ni wachache still wapo juu pale.
 
sijasema ulinganishe na GSM,,kwanza GSM si mfanyabiashara kwa asili,mali utajiri wenyewe unatokana na kukwepa kodi na misamaha ya kodi,,na wala usijidanganye engineeer hersi ndie mmiliki wa hiyo kampuni,,,enginner ni mpambe tu mzee,mwenye kampuni ni mmbantu kama wewe ila ni mwansiasa maarufu aliyestaaf
 
Achana kujidanganya wenzio wana damu ya biashara ,GSM kafanya kazi tangu mzee wake pale Tanga tunamjua ..Acheni porojo wenzenu wanapiga kazi ,wanaendeleza biashara kwa vizazi nyie kelele kibao.

Wataendelea kushika hatamu pale juu ,maana mkiingia tu mnaanza kudharau wabongo wenzenu.
 
Tukianza kuangalia jamii zilizofanikiwa hapa nchini, sharti huwa ni kwamba ni kuwaweka Waarabu na Wahindi pembeni kisha ndio tuanze kutafuta mrefu kati yetu mbilikimo wa mafanikio,!

Ni uwezo mdogo wa kufikiri, tumeridhika au nini?
Zipo sema wengi wenye hizo hela hazijakaa katika mtiririko wa kihasibu maana wengi shule hakuna.
2) Nyerere aliwafilis sana watu wale wa mwanzo kupata mwanga matokeo yake hawa waarabu na wahind kwasababu walikuwa tayar wana mwanga Nyerere alipoondoka tayar walikuwa wanajua pa kuanzia.
 
Tukianza kuangalia jamii zilizofanikiwa hapa nchini, sharti huwa ni kwamba ni kuwaweka Waarabu na Wahindi pembeni kisha ndio tuanze kutafuta mrefu kati yetu mbilikimo wa mafanikio,!

Ni uwezo mdogo wa kufikiri, tumeridhika au nini?
Sera mbaya za CCM ni sababu kubwa.
 
Hawa rangi nyeupe Kuna michezo wanaicheza ambayo waafrika ni vigumu sana kuicheza, ukizingatia hao jamaa huku sio kwao wapo kiwanja. Mwafrika katengenezewa mifumo thabiti kuwa masikini na ombaomba. Wachache sana wanatoboa.
Ukiangalia Mo wa Simba na Gsm wa Yanga hao wote lao ni Moja na wanakutana na kupeana mbinu za kupata.
Africa is strategically designed for:
1. Investment
2. Markets
3. Law materials
4. Cheap labour
 
achana na waarabu na wahindi,jiulize ni kwa nini mchgga akifika mkoa wowote anatoka?
Tukiwaweka waarabu na wahindi pembeni waliobaki ni mbilikimo wa maendeleo ila hata kwa mbilikimo huwa kuna mrefu wao, hapa kwetu huyo mrefu wetu ndio wachaga angalau wana nafuu lakini kusema kwamba kila mchaga anatoka akienda mkoa wowote huo ni uongo, wapo kibao ambao wana maisha ya kawaida na wengine wamepigika,
 
Ni kweli,lakini ata wahindi na waarabu sio wote ni matajiri,wengine wamepigika kuliko mimi na wewe,na ogopa sana muhindi aliyepigika anachoka vibaya mno,nenda kuna yule rafiki yangu pale kisutu ninaekunywa nae mnazi,jana yenyewe kaniomba nimrushie japo buku atoe lioki,nenda magomeni uone waarabu waliopigika,nenda pale mtaa wa lumumba uone mambo,alaf malizia ilala ukutane na mambo mazito kuhusu hao majamaa!!!ata wazungu wapo wengi tu wamepigika,nenda pale mitaa ya KCMC MOSHI,ukutane na mzungu anayejiita MUSHI,,,,,yaani huyo MUSHI kachapika kiasi kwamba muda wote yupo kwenye ubanda,kinachomwokoa ni kina mama wa kichagga kumgombania ili angalau wazae nae wakiamini watazaa vijiniazi....nenda jiji la NEW YORK ukajionee wzungu wanaombaomba rodini kama wagogo,ata huyu BONGO ZOZO ni mjanjanjamjanja tu!!
 
Hivi GSM nayo ni ya kitambo? Miaka ya Nyuma, Mengi, Mafuruki na Diallo walikua wanaingia 10 bora
GSM ya kitambo sana, sema imekuja kiwa incorporated kama GSM miaka ya karibuni ila biashara na vitendea kazi ni vya toka miaka ya uhuru huko
 
Ni kweli,lakini ata wahindi na waarabu sio wote ni matajiri,wengine wamepigika kuliko mimi na wewe,na ogopa sana muhindi aliyepigika anachoka vibaya mno,nenda kuna yule rafiki yangu pale kisutu ninaekunywa nae mnazi,jana yenyewe kaniomba nimrushie japo buku atoe lioki,nenda magomeni uone waarabu waliopigika,nenda pale mtaa wa lumumba uone mambo,alaf malizia ilala ukutane na mambo mazito kuhusu hao majamaa!!!ata wazungu wapo wengi tu wamepigika,nenda pale mitaa ya KCMC MOSHI,ukutane na mzungu anayejiita MUSHI,,,,,yaani huyo MUSHI kachapika kiasi kwamba muda wote yupo kwenye ubanda,kinachomwokoa ni kina mama wa kichagga kumgombania ili angalau wazae nae wakiamini watazaa vijiniazi....nenda jiji la NEW YORK ukajionee wzungu wanaombaomba rodini kama wagogo,ata huyu BONGO ZOZO ni mjanjanjamjanja tu!!
Tunaangalia percent, Hata wazaramo wakimya wapo, hata wamasai wasiokula nyama wapo, hata wanawake walioolewa na wanaume wafupi kuzidi wao wapo, ila ni ajabu sana kuwakuta, na ndivyo hivyo ilivyo kwa waarabu na wahindi ni nadra kukuta aliepigikia kiasi huwa tunashangaa, kwa jamii zetu hizi za asili ni kweli wachaga ndio warefu kwenye kundi la mbilikimo wa maendeleo lakini kukuta mchaga kachoka ni kawaida sana sababu hata hao wachaga asilimia ya waliofanikiwa kwa elite class ni kama 3% tu, upper middle class wanaweza kuwa 10 %, middle class wanaweza kuwa 20%, waliobaki wengi wana uchumi wa kawaida sana ama wa chini, ndio hao wanaofanya ionekane kawaida wala tusishangae kuona mchaga aliepigika

Naweza sema kwenye jamii za hapa nchini, waarabu na wahindi ni jamii zenye asilimia kubwa za watu wake kuwa matajiri, alafu kinachowaboost zaidi wanafanya biashara kiukoo wanaendelea kwa pamoja kwa wakati moja tofauti na sisi hata ndani ya familia kuna magepu marefu sana na mifumo yetu inaweka ugumu kufanya biashara za kifamilia zinazoweza kudumu kizazi hadi kizazi.
 
Mo Dewji ni mnyaturu, Rostam Aziz ni mnyamwezi, wafanyabiashara wengine ni wapemba, wandendeule, waluguru, wasukuma wa Nassa n.k

Wanyaturu maarufu Azim Dewji na Tundu Lissu wakutana, wasema siasa haziwezi kuuwa udugu wao wa asili

View: https://m.youtube.com/watch?v=q1nueVSLxgA

Waongea mengi kuhusu siasa Tundu Lissu akiwa wa chama cha CHADEMA na Mzee Azim Dewji ni CCM. Pia wazungumza kuhusu maendeleo ya kwa Singida na kusisitiza wote ni ndugu hivyo wasitenganishwe na uCHADEMA au uCCM pia uYanga na uSimba hautenganishi ndugu....
 
Back
Top Bottom