tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,833
- 29,330
- Thread starter
- #41
Ukiona mwanaume unajipaka losheni matakoni ujue anajiandaa kwa kazi maalumu😂😅🤣Mimi tangu nizaliwe Hadi natumia miaka27 nilikuwa najua matako na mapaja ya wanaume hawapaki mafuta abadani.
Siku Moja nikaona jemba inajipaka matakani na mapajani lotion Niki duwaa asee nikajiuliza kumbe mapaja na matako Hadi mgongo wanaume hupaka mafuta na lotion?
Mimi Hadi Leo nikimaliza kuoga navaa ndoo najipaka mafuta sehemu zilizo wazi na usoni Huwa sijipaki kabisa na Bado nakuwa vzir
