Inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke?

Inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Hivi inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke? Na wanaume wengine wanatembea na vioo na vitana kwenye pochi zao ili kuhakikisha wanajitazama na kujiboresha mara kwa mara? Kwangu mimi, kitendo cha mwanaume kujipodoa na kujipaka losheni na pafyumu nakiona kama kitendo cha kishoga. Siku za nyuma niliwahi kushuhudia mwanaume mmoja hadi anachoma nywele zake zinaonekana kama za mwanamke na bado anajiona yupo sawa. Hii haikubaliki hata kidogo katika jamii zetu ambazo siku zote tunakemea na kupambana dhidi ya ushoga.
View attachment 3640724
Kwa bahati mbaya, vitendo hivi vya kishoga huanza taratibu tangu wanaume wakiwa wavulana na mara nyingi hujifunza kutoka kwa mama zao. Ukimuona mtoto wa kiume anapenda kuandamana na mama yake kila mahali, hasa kwa wale wanawake wanaodanga, kuna asilimia kubwa ya mtoto huyo wa kiume kuiga matendo ya kike na hatimaye kutumbukia kwenye ushoga.


View attachment 3640733
MAONI YANGU
Mwanaume hupaswi kuwa soft na kupenda mambo ya kike kama vile kujipaka losheni, poda na pafyumu na ushenzi mwingine kama huo. Kwa mfano, mimi tangu nikiwa kijana hadi sasa nimekuwa babu mtarajiwa, sijwahi kujipaka hizo bidhaa za kishoga.

Natoa wito kwa wazazi, hasa wanaume, kuhakikisha kuwa mnawalea watoto wenu wa kiume kwa misingi thabithi ya kiafrika na kujiepusha na vtendo vinavyoweza kupelekea wakatumbukia kwenye ushaoga. Hakikisha watoto wenu wa kiume wanakaa mbali na mama zao, hasa wakati wakiwa wadogo. Hii itawasaidia kutokuiga mambo ya kike na hatimaye kujiingiza kwenye ushoga unaoweza kuepukika. Samaki mkujne angali mbichi.

Nawasilisha.
​
Kwa waislamu hiyo ni sunna. Mtume Muhammad alikuwaga anajipodoa hadi kupaka wanja na hina.


Makebo Adiosamigo Jagina kahtaan THE BIG SHOW Ritz
 
Mwanaume awe Smart.
Anukie vizuri
Apake mafuta mazuri.
Awe na kazi nzuri.

Asiwe na uso mchafu.
Asinuke Jasho.

Vipodozi vimetofautishwa.
Kuna vya kike na vya kiume.

Atumie kujiweka katika muonekano mzuri.
Na si kujichubua.
 
Semen hatuna hela sio mnazingizia ushoga sijui nini, bas kama ni hvyo mwanaume umebaki pekee yako na wale wachoma mkaa,

Kibunda ninacho alafu unipangie matumiz shenzii nini
Oya njoo gheto perfum ya laki 6, mafuta ya kupaka ya laki 5, hela ipo shida nini

Endeleen kunuka vikwapa kama beberu huku mkijiliwaza na ushoga tafuten fedha sio hela tafuta fedha
 
Ndio Kisayansi hakuna mafuta wala perfume inayoweza kubadili sexual orientation,ipo kibaolojia zaidi genes na homone wakati wa ukuaji zinachangia mtu kuwa na muelekeo fulani wa kingono regerdless ya jinsia yake.usipotoshe watu.
Ufafanuzi wako haujitoshelezi mkuu.
 
Mimi tangu nizaliwe Hadi natumia miaka27 nilikuwa najua matako na mapaja ya wanaume hawapaki mafuta abadani.
Siku Moja nikaona jemba inajipaka matakani na mapajani lotion Niki duwaa asee nikajiuliza kumbe mapaja na matako Hadi mgongo wanaume hupaka mafuta na lotion?

Mimi Hadi Leo nikimaliza kuoga navaa ndoo najipaka mafuta sehemu zilizo wazi na usoni Huwa sijipaki kabisa na Bado nakuwa vzir
 
Semen hatuna hela sio mnazingizia ushoga sijui nini, bas kama ni hvyo mwanaume umebaki pekee yako na wale wachoma mkaa,

Kibunda ninacho alafu unipangie matumiz shenzii nini
Oya njoo gheto perfum ya laki 6, mafuta ya kupaka ya laki 5, hela ipo shida nini

Endeleen kunuka vikwapa kama beberu huku mkijiliwaza na ushoga tafuten fedha sio hela tafuta fedha
Kwamba ukiwa na hela unaweza hata kutoboa kitovu chako etii😂😂?
 
Semen hatuna hela sio mnazingizia ushoga sijui nini, bas kama ni hvyo mwanaume umebaki pekee yako na wale wachoma mkaa,

Kibunda ninacho alafu unipangie matumiz shenzii nini
Oya njoo gheto perfum ya laki 6, mafuta ya kupaka ya laki 5, hela ipo shida nini

Endeleen kunuka vikwapa kama beberu huku mkijiliwaza na ushoga tafuten fedha sio hela tafuta fedha
Wanaume wa aina yako ndio mnaolea ushoga hapa nchini. Hata kama hela unayo ndio ununue pafyumu ya laki 6? Ngoja nimwambie waziri Gwajima aje kukukamata sasa hivi. Kumbe nyie ndio mnaosababisha ushoga usiishe hapa nchini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom