Inakuwaje mwanadamu ni mtawala asiye na nguvu juu ya hata viumbe viishivyo ndani ya utawala wake?

Huyo mbona wote tumempania mkuu
Me pia huyu Ibilisi ambaye ni evel(mwovu)+muongo+ fukara+maskini+mshamba+ugly creature nina hasira naye pia natamani kuna adhabu na mateso inatakiwa nimpe kabla ile adhabu ya Mungu aliyomuandikia baada maisha ya hapa umwenguni.Hichi kiumbe kwa mujibu wa vitabu vya dini hana future baadaye ila kuna mazwa mazwa yanamfuata.
 
Tumelazwa usingizi na kupumbazwa kwa kufuata na kujifunza kwa walio tutangulia na Sheria walizotuwekea ktk kuamua na kujaribu.

Niligundua kuwa nna uwezo tofauti wa kukimbia baada ya kufukuzwa na jopo la Mbwa.
Tangu siku ile nilijua Kuna uwezo sikuwahi ufikia Wala kutumia.
Ukijijua wewe Ni Nani na una uwezo gani hofu Kwisha na ndipo unapoweza kwenda mbali na kingo ulizowekewa na kujiwekea.
 
Weka full story ilikuwaje ulipaaa au
 
Kwaiyo manataka kusema we have power ya kufanya miujiza ila hatuna Imani
Mfano unapewa gari alafu unaambiwa chongesha funguo ambapo hakuna fundi ila ni yeytu aliyekupa gari

Duniani tunazaliwa tukiwa tunaona watu wakiishi bila nguvu zozote na ndipo tubapo jifunzia hapo
Miujiza ni kitu kinachowezekana Kwa wenye haki na wasio haki mkuu....Kwa maana Mungu ananamna yake ya kukutana na watu....

Mimi kipindi muhuni muhuni tu nimewahi kuwaombea wanafunzi hadi wakadondoka na kutapika vitu, pia mimi nimewahi fanya maombi ya uhitaji nikapata milioni 1 Kwa njia ya ajabu,

Pia mimi nimewahi oneshwa kuhusu ukimwi basi nikaomba sana Mungu aniepushe na ugonjwa huo japo nilisali juu juu tu nikawa sielewi kwanini lakini week mbili nzima nilikuwa nawaza ukimwi na kukutana na makala za ukimwi... guess what baada ya week hizo 2 nikakaa week 1, my favourite girl niligundua anavirusi vya ukimwi, imagine nilidumu nae miaka 2, imagine nilizini nae kavu...

Lakini nipo salama mkuu, na sijui nimepitaje pitaje.
 
Weka full story ilikuwaje ulipaaa au
binadamu anaeweza paa hayupo, pia mambo ya Mungu ni rohoni, kuona vitu live kazi kwa maana ukiona hauwezi kuwa sawa tena...

Dunia inamengi sana, way back nimewahi umwa pia nikaaga kuwa nakufa na nakumbuka kuna hali ilinipata nikalala sikumbuki chochote lakini nakumbuka niliona wanyama wa ajabu na viumbe ambavyo nusu ni binadam na nusu wanyama mara mikia.... Niliposhtuka nilitamka kuwa sitakufa Kwa maana ninaagano na Mungu, siwezi kufa bila kulitimiza na nilipona muda huohuo..

baad ya hapo akili yangu haikuwa Sawa na nyumbani walisema nimechanganyikiwa.
 
Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani

Kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a human
Sio kiakili wala nguvu tu za kufanya mambo

Nawale mapepo zake ambao wapo wenye nguvu hata kumzidi sasa hapo utawala unakuwaje?

Baasi huko tumefikiria mbali hata simba au tembo tunaowatawala wanatuuwa sometimes why isiwe kama mfalme akutanapo na anayemtawala iwe anamjua hamjui lzm anyenyekeee chini
hiyo nguvu ya kutawala iliondoka baada ya Adam kutokutii na kula tunda
mtu ambaye amejiungamanisha na Mungu anaweza kutawala mapepo na shetani mwenyewe
Kumbuka shetani aliomba ruksa kumjaribu Ayubu
Kumbuka simba walishindwa kumla Daniel kwenye shimo lao
 
Miujiza ni kitu kinachowezekana Kwa wenye haki na wasio haki mkuu....Kwa maana Mungu ananamna yake ya kukutana na watu....

Mimi kipindi muhuni muhuni tu nimewahi kuwaombea wanafunzi hadi wakadondoka na kutapika vitu, pia mimi nimewahi fanya maombi ya uhitaji nikapata milioni 1 Kwa njia ya ajabu,

Pia mimi nimewahi oneshwa kuhusu ukimwi basi nikaomba sana Mungu aniepushe na ugonjwa huo japo nilisali juu juu tu nikawa sielewi kwanini lakini week mbili nzima nilikuwa nawaza ukimwi na kukutana na makala za ukimwi... guess what baada ya week hizo 2 nikakaa week 1, my favourite girl niligundua anavirusi vya ukimwi, imagine nilidumu nae miaka 2, imagine nilizini nae kavu...

Lakini nipo salama mkuu, na sijui nimepitaje pitaje.
Hongera sana
 
😲😲😲😲
binadamu anaeweza paa hayupo, pia mambo ya Mungu ni rohoni, kuona vitu live kazi kwa maana ukiona hauwezi kuwa sawa tena...

Dunia inamengi sana, way back nimewahi umwa pia nikaaga kuwa nakufa na nakumbuka kuna hali ilinipata nikalala sikumbuki chochote lakini nakumbuka niliona wanyama wa ajabu na viumbe ambavyo nusu ni binadam na nusu wanyama mara mikia.... Niliposhtuka nilitamka kuwa sitakufa Kwa maana ninaagano na Mungu, siwezi kufa bila kulitimiza na nilipona muda huohuo..

baad ya hapo akili yangu haikuwa Sawa na nyumbani walisema nimechanganyikiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom