chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,303
- 25,719
huu uzi nimegundua umeanzishwa kwasababu flani. economist na zerominus10 wanalengo lao. nje ya miujiza mnabifu lenu na mwamposa.
Mimi hapaKwani ile korie imempomyesha nani zaidi ya wazimu?
Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
Mbona mnaoteseka na kuumia ni nyie wakereketwa ambao hamjatoa hata mia yenu kwenda paleYale mafuta hadi machangudoa wanayatumia kwenye kudanga, wanadai yanawapa kismati. Kuna muujiza wa Mungu kweli hapo au genge la waliovurugwa na maisha?
Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
Unaweza kuupdate comment yako mkuu?Ninae andika hapa sio layman....hata kama hauna Imani...jarib kufanya trial hapo kawe Kwa MWAMPOSA.......
Nenda na ajenda yako yoyote pale #Asap
Utajibiwa mpaka ushangae....
Simba 🦁 to nusu final mwamposa Ali waombea😊Unaweza kuupdate comment yako mkuu?
Kazindua hema leoHata huyu Mwamposa atapita na tutamsahau.
Mbona povu neneFather Anigu ndie akieleza kuwa kanisa katoliki kuamini kuwa huu ni muujiza kuwa ili ukubalike na kanisa katoliki lazima kwanza uwe mkubwa sana pili uwe kisayansi kuwa hauna solution au kikawaida!! YouTube ziko clip zake akueleza sifa za muujiza kukubalika na kanisa katoliki kuwa kweli huu muujiza
Nilichogundua Father Amigu na kanisa katoliki wanadharau nguvu ya sala hasa ya Baba yetu uliye mbinguni kuwa utupe riziki yetu ya kila siku
Kwa hiyo kwa nini mtu usali hiyo sala wanati una kazi iwe upadri,biashara au kazi jwenye Rozali nk unasali iweje wakati shamba unalo ,kazi unayo ya upadri,uaskofu, au usista au uburuda au upapa,au kazi au biashara unapata chako
Sala ya Baba yetu uliye mbinguni utupe riziki nk unasali ya nini wakati sources za kupata riziki na mkate wa kila siku au chakula unazo kwa nini uhangaike na sala ya Baba yetu uliye mbinguni eti ohhh atupe riziki au mkate au chakula cha kila siku Katoliki fulani hiyo saka kwenye Rozali na ibada zenu
Kama katoliki hawatapeli waumini ni kitu gani hicho? Katoliki basi wafute sala ya Baba yetu uliye Mbinguni kwenye Rozali nk
Waiondoe
Ni kama wale wa Kakobe enzi zileNamjua alienunua maji ya kutosha, Ila hakuna mabadiliko, hao wa kwenye tv wote tunawaona, Ila uhalisia wake ni ndugu zao watusimulie.
mjinga mwingine leo kakaa kuombewa kabisaWajinga ndiyo waliwao.
Bujibuji upo?Yesu ni maji yaliyo hai.
Matapeli wamekuja kwa tapeli kuu.Kazindua hema leoView attachment 3395131
nipo mkuuBujibuji upo?