Sa na wewe si umwambie unachotaka jamani!! Unakwama wapi? [emoji3]
Ha haa kazi kweliUmeona eh! Angesomgelea tu na kumpa denda na huku akicheza na mb[emoji87][emoji87] mambo yangejipa lakini kaondoka na UGWADU wake mbio kulalama JF [emoji12][emoji12][emoji12]
....!
Nakuja kwako weekendHuyo ni Mimi ; sinaga mazala kabisa aka nyuki wa mashineni
Nifafanulie hebu... Meelewa boys tuu na hotStop dating boys. Real men don't have time to watch movies while their Queens are hot.
Daah,,nimejikuta nakupenda gafla,wanawake wote wangekuwa na mawazo kama yako,hakika tungekuwa tunawaamkia kila asbuhiUnakuwa kwenye mahusiano na umpendae kwa muda,unahisi upweke
Unampigia sim kwenda kumtembelea kwake,anajitahidi kufanya usafi,na kukuandalia chakula kitam#Hapo nakupa hongera sana
Baada ya kula na kupiga stories, unaanza kuleta seasons,movies,unaanza kudai uangalie season sijui ulifikia namba ngap,eti unapenda season gani my,eti ungependa tuangalie movie gani,fyuuuuuuu.........kwani kwangu hakuna movie,hakuna seasons
Watu wengine bwana
Naona umekujaNifafanulie hebu... Meelewa boys tuu na hot
Hahaha hahahaNaona umekuja
Nashukuru sana. Nikiona ID yako moyo huwa unaenda mbiyo sana.Hahaha hahaha
Mekufuata
Usitulaumu sababu ya huyo aliyeshindwa kukukunaUnakuwa kwenye mahusiano na umpendae kwa muda,unahisi upweke
Unampigia sim kwenda kumtembelea kwake,anajitahidi kufanya usafi,na kukuandalia chakula kitam#Hapo nakupa hongera sana
Baada ya kula na kupiga stories, unaanza kuleta seasons,movies,unaanza kudai uangalie season sijui ulifikia namba ngap,eti unapenda season gani my,eti ungependa tuangalie movie gani,fyuuuuuuu.........kwani kwangu hakuna movie,hakuna seasons
Watu wengine bwana
Hahaha hahaha hahahaNashukuru sana. Nikiona ID yako moyo huwa unaenda mbiyo sana.
Sijui hiyo ni dalili ya nini eti.
HahahahahHahaha hahaha hahaha
Ni dalili ya dengue hiyoo! Itabidi niwe napita mbali kidogo
Dengue ni hatari sana!Hahahahah
Haunitakii mema Mrembo wa haja.
Upo Arusha au Dar?
Ndiyo wapi?Dengue ni hatari sana!
Niko Namtumbo mimi jamaniii
RukwaNdiyo wapi?
Mda huo unatoka wapi, watching movies, hizi TV HD zinaumiza sana macho.Stop dating boys. Real men don't have time to watch movies while their Queens are hot.
Ukiona hivyo ujue huyo ulishamzingua,akajua mambo ya kikubwaUnakuwa kwenye mahusiano na umpendae kwa muda,unahisi upweke
Unampigia sim kwenda kumtembelea kwake,anajitahidi kufanya usafi,na kukuandalia chakula kitam#Hapo nakupa hongera sana
Baada ya kula na kupiga stories, unaanza kuleta seasons,movies,unaanza kudai uangalie season sijui ulifikia namba ngap,eti unapenda season gani my,eti ungependa tuangalie movie gani,fyuuuuuuu.........kwani kwangu hakuna movie,hakuna seasons
Watu wengine bwana
Umenikumbusha back days when I was too young nilikuwa na det kibint frani hivi, siku moja nilikwenda hom kwao kumchek akanikaribisha ndani tukawa tunapata chai ya jioni, sasa katika mazungumzo nikamchomekea naitaji kumuangalia mwili wote,, daaaah alivua nguo zote afu ni sebleni kwao...unajua kilichotokea.Labda alidhani bado upo kwenye mfungo, unachotakiwa kufanya vua nguo zote halafu mwambie aweke hizo season zake kama mtaziangalia katika hali hiyo peleka mtu wako hospital.