Inabidi muwe mnajiongeza hasa nyie wanaume

Inabidi muwe mnajiongeza hasa nyie wanaume

hili tukio litakuwa kipindi hichi cha sikukuu tu
 
Pole sana hili ni baadhi ya wanaume si wote. Labda vumbi la Congo limemuishia 😜😜😜

Unakuwa kwenye mahusiano na umpendae kwa muda,unahisi upweke

Unampigia sim kwenda kumtembelea kwake,anajitahidi kufanya usafi,na kukuandalia chakula kitam#Hapo nakupa hongera sana

Baada ya kula na kupiga stories, unaanza kuleta seasons,movies,unaanza kudai uangalie season sijui ulifikia namba ngap,eti unapenda season gani my,eti ungependa tuangalie movie gani,fyuuuuuuu.........kwani kwangu hakuna movie,hakuna seasons

Watu wengine bwana
 
Hahaaa. Ndio Mtani 🙈🙈 maana kama ataka na mwanaume hana habari hiyo ndio inakuwa dawa kuliko kuanza kulalama tu wakati alipaswa ajiongeze mwenyewe

Tumewapumzisha kidogo Mtani kwani nasikia ile Spidi iliwapandisha presha mnoo. 😀😀😀
Hahaha big announcement ya mtoto fei na migomba sijui hata inafanyika lini
 
Dah wanawake wanatak mgeged wenyewe yaanii....tushindwe tuu kwa uzembee wetu alafu wapo watu dunia hii wanaweka kipaumbele makaratasi baadala ya papuchi
Nakwambia kazi tunayo.
 
Mtumie tu sms babe am coming for it tonight...

Asipokufanya basi ni hanithii
 
kuna wanawake mishipa ya aibu imekata kabisa zamani nikiwa twenties kuna m1 nilimkuta ameshika ndoo ya maji ya kuogea anaelekea bafuni kuniona tu akaipaki ndoo akaniambia haya maji ni ya baridi twende ukanipe joto kwanza la kuyakabili haya maji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom