tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,758
- 31,123
Mpo wachache basi mnaosema.Ila demu anayesema mtamu sn,tena sema mapemaaaa ili akili ujiandae kisaikolojia kwamba leo nimeomba hivyo natakiwa kumpa vzr sm huyu kiumbe wa watu mtamu.Ishara tu zinatosha si lazima kufungua mdomo. Mara nyingine huwa nasema...inategemea