Inabidi muwe mnajiongeza hasa nyie wanaume

Inabidi muwe mnajiongeza hasa nyie wanaume

Umeona eh! Angesomgelea tu na kumpa denda na huku akicheza na mb🙊🙊 mambo yangejipa lakini kaondoka na UGWADU wake mbio kulalama JF 😜😜😜
As if jf ni dawati la jinsia 😂😂😂😂,mahusiano na migegedo.
 
Pole sana...

Labda mara nyingi akijiongezaga unamshushua ndiyo maana...

Siyo lazima tu duu, unaweza ukaja home na tuka chill tuu...

Cc: mahondaw
 
Mwanaume wa hivyo sio mwanamme ni mvulana bado hajakua hakika hakikua atacha
 
Hii hutokeaga kwa mwanamme mmoja kati ya wanaume laki moja.You are so lucky
 
una-date na mvulana then unatuponda wanaume! Hivi Kweli huo muda wa kufuatlia series Mimi nitautoa wapi??
Wewe ukija home ni mvinyo Glas ya pili inasindikizwa na mkono ukiwa Kwenye hips hizo!
 
una-date na mvulana then unatuponda wanaume! Hivi Kweli huo muda wa kufuatlia series Mimi nitautoa wapi??
Wewe ukija home ni mvinyo Glas ya pili inasindikizwa na mkono ukiwa Kwenye hips hizo!
Wew ni mjuvi wa mambo!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom