Inabidi muwe mnajiongeza hasa nyie wanaume

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Unakuwa kwenye mahusiano na umpendae kwa muda,unahisi upweke

Unampigia sim kwenda kumtembelea kwake,anajitahidi kufanya usafi,na kukuandalia chakula kitam#Hapo nakupa hongera sana

Baada ya kula na kupiga stories, unaanza kuleta seasons,movies,unaanza kudai uangalie season sijui ulifikia namba ngap,eti unapenda season gani my,eti ungependa tuangalie movie gani,fyuuuuuuu.........kwani kwangu hakuna movie,hakuna seasons

Watu wengine bwana
 
ila maisha haya baadaye tena ukiliwa mnaanza kuseam mmetumiwa....yaaan hapo ndo nashindwaga kuwaelewa wanawake huaga akili zenu huwa zinafanyaga kazi vipi
 
Kwani na ww ukimwambia ukitakacho shida iko wapi?
[emoji3][emoji3]
Unakuwa kwenye mahusiano na umpendae kwa muda,unahisi upweke

Unampigia sim kwenda kumtembelea kwake,anajitahidi kufanya usafi,na kukuandalia chakula kitam#Hapo nakupa hongera sana

Baada ya kula na kupiga stories, unaanza kuleta seasons,movies,unaanza kudai uangalie season sijui ulifikia namba ngap,eti unapenda season gani my,eti ungependa tuangalie movie gani,fyuuuuuuu.........kwani kwangu hakuna movie,hakuna seasons

Watu wengine bwana
 
Mwisho useme tujijumulishe nakujizidisha bure hamuishiwi nyie vyakuongea tukiwaomba tumefunga safari kutoka mikoani unatoa jibu lakwenda kulala guest tukiwapa movie mnataka mkuyange[emoji23][emoji23]
Hapa cha msingi lazima muwe kwenye mahusiano kwa muda,mnazoeana,then mambo mengine yanachukua nafasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom