Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
- Thread starter
-
- #141
Rev ; Sio kweli na si haki. Chagua kula Keki au kuiweka, na wala hakuna mrengo wa kati juu ya hili. Tupe msimamo wako tushike yepi uliotamka Awali au Leo?
Tatizo lake mkuu watafuasi wanakufuata mkuu wangu.. sii swala lako wewe kama kiongozi wa dini fahamu kuna waumini..
Ndivyo Tulivyo ni pamoja na kushindwa kuelewa haramu..Nitakuuliza wewe, Hitler na Stalin nani mbora!
Mkuu sikuomba maelezo nimeuliza Hitler na Stalin nani mbora..Hitler na Stalin walikuwa ni wadhalimu na walifanya unyama machoni petu.
Ingawa wote walikuwa na ambo ambayo hayapendezi, lakini kuna mambo yaliyofanywa nao kama viongozi ambayo si ya kupuuzia au kuyaacha kisa eti ni Hitler na Stalin.
Hitler na Stalin walikuwa na waliyoyafanya ambayo leo hii tumejifunza kutoka kwao ambayo ni kuhusiana na uongozi, na uhamasishaji.
Hata Karl Peters na Ayatollah Khomeini nayo wana yao ambayo tumejifunza na tunayatumia katika maisha yetu, ingawa kila mmoja wetu anaweza kutoa wasifu wenye taswira moja na chafu.
Mkuu sikuomba maelezo nimeuliza Hitler na Stalin nani mbora..
Kigezo chochote unachofikiria wewe!
Knowing Rev. Kishoka very well ....
Ogah,
Kwa nini uuchome waraka wa mchungaji? kwani waraka una kosa gani na ni kosa gani ninalolifanya hapa kumnadi Lowassa?
Si hata Kikwete baada ya kumtukana na s c rew Muungwana nilimpa props zake na Thanks God for giving us Kikwete?
Sasa mwashangaa nini? kama nimeona kito ndani ya Lowassa, kwa nini nisikiseme pamoja na maneno yangu ya awali bado nayasimamia kama yalivyokuwa?
wee unayejiita mchungaji unajua kama unatia kichefuchefu......
sijaona jitu lisilokuwa na maarifa ya kufikiri duniani kama wewe.
Yale yale ya wanawaisrael jangwani....ni bora Misri utumwani kulko hapa jangwani.
Leo Rev. Kishoka yamekukuta..kwi kwi kwi!Yale yale ya wanawaisrael jangwani....ni bora Misri utumwani kulko hapa jangwani.
Yes, I have said it. Ili tuendelee, tunamhitaji Edward Ngoyayi Lowassa!
Ni mchapakazi, mfuatiliaji na mkali asiye na masikhara na walioko chini yake si kuwa wanamheshimu tuu, wanaogopa kushukiwa na zali kutokana na ukali na ufuatiliaji wake.
Kila kazi aliyopewa, kaifanya kwa bidii na kwa ufanisi. Kuna tofauti kubwa sana za kiutendaji kati yake na wenzake walioshika nafasi za uongozi ambazo alizishikilia.
Naamini kwa dhati kuwa ili Tanzania iweze kuamka na kurudi katika mstari ulionyooka wa kujituma, kufanya kazi kwa bidii na maarifa bora na la zaidi kwa nidhamu ili tuendelee vyema na safari yetu ya kujijenga kiuchumi na kijamii ili kuleta maendeleo ya kweli, basi hakuna mwingine zaidi ya Lowassa!
Kama unaye wa kwako, tupe jina na umnadi, wangu miye ni Lowassa!
Companero,
Hata kama uchumi wetu utastawi under Edward nakuhakikishia 50% itakuwa mali yake. Ataigeuza Tanzania kuwa Lowassa Inc. Mark my words. Lakini it is very sad kwamba Tanzania tumesink this low hata kumfikiria mwizi aliyekubuhu kutuongoza just because ana uwezo wa kuhakikisha anachotaka kifanyike kinatekelezwa. Don Corleone was also a good Catholic.