Tz tunahtaj mtu ambaye hana masihara wala kumwogopa pia ambaye anaweza kuchukua maamuz magumu EL alweza nadhan anatufaa. Hakuna mtu asiye na mapungufu,mi pia nlpendelea kama ingewezekana katiba ingemruhusu Ben aendelee

Kwenda huko!Hebu toa hoja basi
Kwenda huko!
Hakika yake, Lowana ni mtu mchapa kazi sana, ukilinganisha na viongozi wote, alitoa contribution yake kubwa sana tangu pale alipokuwa waziri hadi alipomwachia pinda, ambaye hakika hafanyi chochote kile. angalia Lowasa alivyo hamasisha mashule yakajengwa, nakwambia kama Lowasa angekuwepo hata hao walimu wangekuwepo, alikuwa anafanya kazi kwa bidii sana. NAMBIENI PINDA KAFANYA NINI HADI SASA HIVI. Jamaa alikuwa anafanya kazi sana akitegemea labda atakuja awe rais baada ya JK. unajuwa kuna watu wengi wanaongea kila mtu la kwake ni kwanini JK alimtosa mwenzie, pamoja na kwamba hatujui kama yeye pia ni malaika au ana yake mengi ameyaficha. wengi walikuwa wanasema (lakini sijui kama kweli), wamisri na waarabu walimwmbia jaa amtose kwasababu Lowasa alikuwa dangerous kwa wamisri na kwa upende mwingine, kunachuku fulani ya kidini ilikuwepo from the jamaa na kikundi fulani cha watu.
Lowasa alitoa maneno makali funali hivi, wakati maji yalianza kutolewa toka victoria kwenda arid area za north tz, kama mnakumbuka. kuna kitu cha siri kimefanyika sana hadi jamaa akapigwa chini, wengine wanasema ni kwasababu ni kafiri..siamini hivyo, ila alikuwa dangerous kwa wamisri hasa kwasababu ya victoria.
Nenda misri kaangalie sasahivi, utakuwa wanalima wanamwagilia jangwa limegeuzwa, maji ya victoria tukisema tuchukue wanasema tutapunguza maji yao ambayo wanamwagilia, kuna mambo mengi sana. this is nonesense..
RUTAJUMBUKIRWA, yaani hii senema inayondeea sasa bungeni, sio tunamuhitaji Lowassa 2015, mbona 2015 ni mbali! tunamhitaji sana tangu 2010! kama bunge lile lililokuwa moto na upanga wa makali kuwili, lakini leo ni nyoronyoro kama toilet paper iliyo loa!, afadhali Eddo rudi Eddo, walikuonea tuu!.
Kutokana na malalamiko kuwa nchi hii haiendi, tunahitaji kiongozi mwajibikaji, decision taker and hardworking. Na jibu letu ni Eddy Lowassa in 2015!.
Kwanini anafaa:
1. ni mchapa kazi. yeye ndo amesimamia mpango wa ujenzi wa madarasa na shughli nyingi za maendeleo wakati JK akipasua anga.
2. Ni mtu ambaye anayesimamia kazi kwa karibu na ambaye hachelei kuchukua maamuzi iwapo anaoa watu wanaboronga.
3. Amesoma vizuri and he is still energetic.
Sasa watu watasema eti ni fisadi, amejilimbikizia mali, etc. Lakini kiongozi gani ambaye ni 100% perfect? Tuchukue mfano wa Ge. Paul Kagame ambaye wengi wanamsifia kwenye JF. Huyu raisi anapenda vita na amesababisha maafa Congo, etc. Lakini licha ya upungufu wake wa Human Rights na kupigana vita, anaendesha nchi vizuri na nchi inapiga hatua.
Kwahiyo tumchukulie Lowassa kama Kagame, wote ni watu wanaochapa kazi licha ya kwamba wana mapungufu. Na tukitaka kiongozi wa kutupa new push, we have to look beyond personal weaknesses.

Nimeangalia bunge kwa muda leo jioni na nikaona wazi kabisa kuwa lowasa ameshinda. Yale mababa yalifyata na wengine waliingia mitini kabisa. siku zotye mshindi ndiye anaonekana kidume!
Kutokana na malalamiko kuwa nchi hii haiendi, tunahitaji kiongozi mwajibikaji, decision taker and hardworking. Na jibu letu ni Eddy Lowassa in 2015!...
But seriously when you compare the two mimi ningemchukua Lowasa.btn two evils ningemchagua lowasa kama ningezingatia mustakabali wa taifa langu kwa huko baadae.
Wizi wa lowassa hauna tofauti na gharama za nje za Jk but big plus kwa lowasa kwa kufanya kazi angalao.hapo ntakua nimefikiria kiuchumi zaidi,lowassa ni hard working.watu wakitaka kunisulubisha wanisulubishe but that's the fact
2. Ni mtu ambaye anayesimamia kazi kwa karibu na ambaye hachelei kuchukua maamuzi pale.......
kweli hachelei kuchukua maamuzi maaana nnhuuuuuu, mengie yalimponza ...heheeee hata kachafuka hata kuoga labda aoge lami!
I thought we only had great thinkers at JF kumbe tunawatu wenye uwezo wa kufikiri mdogo kama huyu jamaa.Kutokana na malalamiko kuwa nchi hii haiendi, tunahitaji kiongozi mwajibikaji, decision taker and hardworking. Na jibu letu ni Eddy Lowassa in 2015!.