Impala Hotel, Leopard Tours Offices kuvunjwa

Impala Hotel, Leopard Tours Offices kuvunjwa

Rweye....siyo swala la mimi kuridhika...bali msumeno ukate mbele na nyuma.Je itawezekana au tufanye subira.

Mimi naona ukate tu make wanaoonekana tena hawa wakubwa wanalia ni wale ambao na wao waliuelekeza msumeno kwa wenzao kumbe hata wenyewe hawakuwa wasafi ..kwahiyo sahivi wameelekezewa wao ndo wanaona si haki na wanaonewa, walisahau dunia uzunguka kurudi ilikotoka.
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi kukisoma nilipo kuwa form one. Kina sema all animals are equal but others are more equal than the others.

Hao ambao wako more equal than others ni wanyama gani na ni kwa nini wawe more equal...????
 
Kama majengo yako ndani ya eneo la Shule ya nini kubomoa? Si wayataifishe ili Shule iyatumie kwa manufaa mengine?
Mfano kituo cha mafuta cha super star pale Magomeni mwembechai, shule ya msingi Karume shule itakitumiaje?
 
Kwa kauli yake mwenyewe alitaka lipigwe chini...mwisho wake sijui kilichotokea na jengo bado lipo pale pale
Alisema(wakati huo) kuwa hata kama halitabomolewa sasa, ipo siku atakapokuja mtu mwenye kufuata sheria litabomolewa tu sababu lipo ndani ya hifadhi ya barabara na ni ukiukwaji wa sheria. So ndogo kaja sasa!
 
Kuingia kwa kiasifulani maana yake ni nini? Yaani kajenga nje ya beacon zake au? Kwani walikuwa wapi hao Manispaa hadi waingie kiasi fulani? Too cheap
 
Hivi unafahamu kuea Mali yote ya fafadhali mwenyewe ni nani mbona ni wazi kabisa
 
Kurudisha maendeleo nyuma.

Wangevunja hoteli za watu wa serikalini mko mbele kushabikia ila kwa Kuwa hiyo leopard ni ya babu yenu mnasema kurudisha Maendeleo nyuma NYUMBU mna tabu sana
 
Nisahihishwe kama nitakosea...Impala hotel ni mradi mkubwa na bila shaka una mikopo toka taasisi mbalimbali za fedha za nje na ndani ya nchi.Ili kupata hiyo mikopo nina amini mojawapo ya masharti ni umilikaji kihalali wa hiyo ardhi/kiwanja...... Sijui hao waliotoa mikopo wayasema nini au watafanya nini inawezekana wakaenda mahakamani.
 
Hili sio swala la Magufuli bali ni mpango wa muda mrefu wa jiji tangu 2013.Na sio leopard tu bali ni kuanzia mezaluna hadi kituo cha polisi cha kijenge,
 
@CTU.....Leopard ni Ofisi na Impala ni hotel....halafu maneno yako ni makali saana hebu yapunguze ukali kidogo
 
Hizo barua zimeandikwa hata kabla Madiwani hawajajiuzulu ni kuwa Baraza liliamua kuwa Leopard tours, Impala Hotel na Mezaluna wasitumie yale maeneo ya mbele maana ni reserve na sio maeneo ya shule kama inavyotajwa, barua hizo ziliandikwa chini ya usimamizi wa Meya wa wakati huo Gaudence Lyimo na M/kiti wa Mipangomiji Paul Matthysen
 
Hili sio swala la Magufuli bali ni mpango wa muda mrefu wa jiji tangu 2013.Na sio leopard tu bali ni kuanzia mezaluna hadi kituo cha polisi cha kijenge,

Unaweza kutufafanulia ni kwa nini hatua hazikuchukuliwa tangia hiyo 2013 Mh. Diwani?
Cc. Nanyaro Ephata
 
There is always a better way of managing hizi assets kuliko kuzibomoa
 
Back
Top Bottom