Impala Hotel, Leopard Tours Offices kuvunjwa

Impala Hotel, Leopard Tours Offices kuvunjwa

Utakuwa wakati muafaka pia wa kurudisha kile kiwanja wakati flani palikuwa na jengo la makao makuu ya umoja wa vijana .
 
Ndio,uko WRONG.
Hakika wewe si muungwana jamaa amekwambia kwa upole kabisa kwamba tunajadili kwa pamoja kama yuko wrong muelekeze.

Sasa wewe umeishia ndiyo yuko wrong haya muelekeze alipokesea .
 
Wanataka kumuua Mzee Mrema....
 
Hatari sana kwa Mrema hii maana nasikia na NAURA SPRING inatakiwa ipigwe chini wasije elekea na Ngurudoto kusema ipo karibu na ziwa
 
Naambiwaga msumeno unakata kote kote. Tuombe ukatike usikate sehemu zingine
 
"Jua lilee literemkee mamaa aiyaiya iya iya mamaa** huu wimbo cjui nani aliutunga jmn""😀😀😀😀
 
Hivi bomoabomoa ndio kipaumbele cha serikali ya CCM?


mkuu nadhani ulishuhudia hata katika kampeni walikuwa hawana sera ya mana kuutangazia umma zaidi ya matusi na vijembe> mwishowe akaanza kuiba sera za ukawa KUHUSU mABADILIKO NA KUZUNGUSHA MIKONO.

Hivyo hata Magufuli hajakabidhiwa ILANI YA 2015-2020, hajui aanzie wapi ndio maana anatapatapa kuhusu uongozi wa serikali yake. Hana msimamo.

Tumsamehe tu kwa sasa hadi atakapojipanga vizuri.
 
Kwa nini walikipiga marufuku? Lini hiyo?

Ukikisoma hiki kitabu ni balaa, yaani kinakosoa baadhi ya serikali na viongozi wa serikali walkiopewa madaraka na kuwa na uwezo wa kuwatawala wengine.

Hivyo hiki kitabu kinahamasisha watu kutafuta mabadiliko katika mfumo wa maisha yao.
 
Kinahusu nini hicho kitabu? Kwani kinaruhusu kupora eneo la shule na kujenga hoteli? Bangi nyingine hizi!
Some animals are more "EQUAL" than others!!! Simply put: Kutekeleza sheria kwa ubaguzi!
 
Waacheni wafanye wanachotaka lakini yuko mwenye mamlaka yote ambaye hata kesho anaijua. Wao hawaijui kesho yao
 
Back
Top Bottom