bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Ndio,uko WRONG.
Nielekeze ili niwe sahihi na mimi pia nikujuze niliyonayo.
Ndio,uko WRONG.
Kama serikali inatoa vibali watu wanajenga kuna haja gani kuwafata hao hao tena kuchukua vibali maana wanaendelea kutoa vibali watu wanajenga harafu hao tena wanakuja kuvunja...
Impala hotel hii ni ya lowasa,
Revenge at work,
Hamna lolote,
Kwani hilo jengo la TANESCO nalo limo katika mpango wa kubomolewa na hii serikali ya HAPA KAZI TU ya Rais John Pombe Magufuli?Kama vile jengo la TANESCO pale ubungo DAR
Kwani hilo jengo la TANESCO nalo limo katika mpango wa kubomolewa na hii serikali ya HAPA KAZI TU ya Rais John Pombe Magufuli?
Leopard kuna mjengo bado haujamalizika lile eneo lote mali ya shule ya msingi Kijenge.Kama mimi serekali mwakani wanafunzi wote wa darasa la kwanza wanaingia mjengoni bila chenga.
Tutaheshimiana hapa mjini.
Ipo eneo la shule au haipo,?
Hiyo shule lazima haina hati sababu Majengo ya Serikali yalikuwa hayana hati miliki(Kulingana na hotuba ya Rais akiongea na wafanyabiashara) ndio wana-process sasa.Kiongozi umesema na langu! Hapo wala hakuna haja ya kuvunja moja kwa moja linakuwa mali ya shule husika (ila Mkuu kama unavyojua serikali yetu ukute hata shule haina hati milki ya eneo hilo), jamaa likienda kwa pilato si linatugaragaza?
Kama vile jengo la TANESCO pale ubungo DAR
Leopard kuna mjengo bado haujamalizika lile eneo lote mali ya shule ya msingi Kijenge.Kama mimi serekali mwakani wanafunzi wote wa darasa la kwanza wanaingia mjengoni bila chenga.
Mkuu lile eneo awali lilikuwa mali ya mchina, alikuwa anafanyia biashara ya restaurant pale, na hatuwahi kusikia kelele yeyote.
Serikali gani? Hujui kuwa serikali ni watu, na hao ndio walijisanishia maeneo wengine wameshastaafu sasa lakini walifanya kwa faida zao binafsi kwa kuhujumu mali za umma sasa wawajibike tu.
Kinahusu nini hicho kitabu? Kwani kinaruhusu kupora eneo la shule na kujenga hoteli? Bangi nyingine hizi!