Kwani we ni nani shekhe?This is too subjective brother, it does not nullify the claim that JK ni msaliti!
Weka data
Suala la kwenda kumuona akiwa anaumwa, hata mimi sikwenda, je ni usaliti?
Kwani ni sheria kumuona EDO ?
Weka data tuache hisia
Kosa la JK ni lipi kwa EDO , usaliti ni upi
Au ndio
Kikombe cha babu kuwa kila mtu anakunywa bila ya kuwa na why and how
Memorization has hindered you to achieve a deep understanding and critical thinking skills of what you have learned in school. As such you always focuse on repetition rather than comprehension. Sioni ajabu ukisema ni mchakato kwa sababu unarudia tu ulichosikia. Kwa taarifa yako hata kula ni mchakato...Katiba ni mchakato
Ila unao uhuru wa kuidai
Acha uongo we jamaa. Hakuna urafiki wowote wa Ditopile na Kikwete.Hayo ni maneno ya siasa
Hakuna ushikaji wowote kati ya Edo na JK
NDIO nakupa siri
Rafiki wa kweli ule wa kiushikaji kabisa wa long time wa JK ni Ditopile tu
Huyo ndio rafiki wa kweli waJK
They were never Friends.....Usijifanye ulikwa unawajua hawa Watu zaidi ya wengine....So what ? Ni lazima kufanya hivo ?they were never friends , ni watu wanaofahamiana tu .
Sio lazima kumjulia hali, kuna sheria inasema ni lazima aende?
Msilazimishe vitu ambavyo HAVIPO
Lowassa was not a saint , ni mtu kama watu wengine
JK anasema kumsaliti Lowasa pale walipokubaliana kuwa EL ajivue gamba alafu JK akatae uke uamuzi wa EL. Barua ya kutema bungo ilivyoandikwa mkwere Akala Pini. Hapo ndipo mambo yalipo haribika.Lowasa aliwahi kutoka hadharani kulalamika kwamba JK ndiye alimsaliti?
Au ni mawazo yako tu yanakupeleka na kukuendesha? Maana hakuna mahali Lowasa alimtaja JK kwa kumsababishia baya lolote.
Nakwambia hivi, last say ya Lowassa asiwe rais ilikuwa mikononi mwa Kikwete. WanaCCM walishaamua Lowassa awe mgombea wao na watanzania walishaamua Lowassa awe rais wao, lakini JK akasema never, never, never forever.
Aisee! Hata nilikuwa cjui hivi kwanini iwe hivyo tupe madini mkuuHupo very right Mwamba.....kama LOWASA angekua RC ni lazima tu angekua rais kabla ya JPM.....Mfumo wetu ni Bakwt na RC, ata iwe vipi.....na 2015 ilikua ni ZAMU ya RC....kumbuka ata Samia alivyochukua Uraisi....ilikua ni lazima makamu wake atoke RC....
I don’t give a damn.So what ?
Si kila mtu anatoa mawazo yake bwashee?Eh aise ukweli huwezi kumridhisha kila mtu hayo ni mawazo yako
Sasa naww unaempigania Lowasa tukuweke kundi Gani?Mwenza wa Regina au?Mwanamke akikupenda anakupigania sana. Sisi wanaume hatuwezi hivi.
OOooh.... We ni mwenza wa Salma? So ulitaka kupata wa kushindana naye? Una IDs nyingiSasa naww unaempigania Lowasa tukuweke kundi Gani?Mwenza wa Regina au?
Mbona msiba wa magufuli alisema alikuwa uwezo kuzuia magufuli asiwe rais? Kwa hiyo alimpigania hakuwa na ubaya na magu Fuatilia speech yakeWapi? Weka data kaka achana na hizo street words.
Kabla majina ya kwenda halmashauri kupigiwa kura, yalichakatwa kwanza ndani na inner circle , inner circle hakai mtu 1
Ni kamati
: kati ya hayo yaliyorudi ni 5 . Lowasa na wengine waliachwa , mbona hao waliokatwa pia haijawa a concern?
JK hana uwezo wa kuchagua ni nani awe rais
Marehemu benad angekuwa rais
Na hao unaosema walimtaka EDO ni mamluki ambao walishakula 10% ; ndani yao pia walikuwepo watu wa uongo