(

na mwandishi wetu wa kwenye misiba ya viongozi)
MSIBA umemalizika na kilichobaki kwa sisi tunaomini YESU ni Mwokozi na Mlinzi wa maisha yetu tunajukumu la kuiombea familia ya Lowassa ili Mungu awape amani na awaangazie fadhili na nuru za uso wake.
Kamati iliyopanga ratiba kule Monduli mna nafasi yenu peponi na hakika Hayati Lowassa atakuwa anafuraha sana huko aliko kwa kuwa MLIKATAA UNAFIKI NA KUFYEKELEA MBALI OMBI NA JINA LA JAKAYA KIKWETE kuwekwa kuwa miongoni mwa watu wa kuongea kwenye mazishi yale.
Mmefanya jambo la maana sana na hili mtalipwa na Mungu na mmemtendea sawa sana Hayati Lowassa kwa kuwa kukubali mtu huyu kuongea kwenye mazishi yake wakati alimtendea mambo machafu sana wakati wa uhai wake na kushindwa hata kwenda kumuona akiwa mgonjwa mngekuwa mnamkosea sana Mzee Lowassa na angefadhaika sana huko aliko.
Hiki mlichokifanya ndiyo maana halisi ya farsafa ya UBAYA UBAYA TU. Yaani hauwezi ukamtendea vibaya mtu akiwa hai halafu ukataka usubiri amekufa ndiyo uende kujikosha kuwa eti alikuwa