Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

JK ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe sana miaka mitano ya Magufuli JK katukanwa Sana bila kujali ndie aliemfanya akae hapo.Hata Lowasa angekuwa Rais bado JK angetukanwa tu Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu JK.
 
Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo?

Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT?

Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya kuwa Rais, Jamii iliyomzunguka ndio ilimuona HAIFAI tangu na baada.

Suala la kumuondoa Lowassa halikuwa ni maamuzi ya JK binafsi. yalikuwa ni maamuzi ya Inner Circle na JK hana uwezo wa kumuahidi mtu nafasi kubwa kama hiyo yenye maamuzi ya wengi ni ujinga kuona hata wasomi wanaimba wimbo wa usaliti;

Chadema pia ilimkataa lowassa first hand na wao ndio walisema CCM inaenda kumsimamisha FISADI, au tuweke ushahidi?

Mlitaka kamati ya CCM ipoteze reputation kumsimamisha lowassa? He is just a human na kufa kila mtu atakufa na kifo sio ishara ya huruma.

Kwamba JK alimsaliti lowassa kwani nafasi ya Urais ni ushikaji au ni nafasi ya familia ? Anatoa tu subjectively !?

Kuwa Rais ni competency na acceptance ya watu wako , Lowassa was destined to be the president that never was.

Kumlaumu JK kwa failure ya Edo ni sawa na kumlaumu Shetani kwenye mythical story ya Adam na Eva kwenye imaginary garden. If it was meant Adam na Hawa waishi kwenye garden , kwanini serpent the deceiver nae akawa sehemu ya garden?

The story is myth , it never happened but it happens always !

JK aachwe na hana kosa wala baya, na hakuwa anamtaka hata huyo JPM, that should tell kuwa hata angetaka lowassa apite, the inner cycle ilishasema NO !

Jk had to respect the agreed decision or else arudishe kadi ya CCM, simple like that .

JK this JK that , by the way kwani lowassa ni Nani? Si ni mtu kama watu wengine waliowahi kuutaka urais na kuukosa, anatofauti gani na hao ?

Yaani unautaka Urais kwa kutegemea favor za mtu fulani, he was supposed to fight for his own course na sio ushikaji sijui tumetoka mbali, it never worked that way .

JK hana baya na azidi kuishi maisha marefu

Mkafanye kazi sasa ; lowassa wa watu kaenda zake kwa amani apumzike.
Mimi sio mwanasiasa ila nashangaa watu wanaolazimisha mambo as if ni lazima fulani awe raisi , kama unampenda mtu sana mchukue kanywe nae chai hayo maneno ya mwalimu nyerere,
Jk na chama kiliangalia maslahi ya nchi ,hongera jk achana na hawa wapiga domo wafuata mkumbo
 
Umewaza kama nlivokua nawaza uraisi mfumo na mfumo ndo ulimkata lowasa first....Lowasa ni kkkt na mfumo unamtaka Rc mpk hapo JK angefanya nn kwa mfano na je jk pekee ndo alikua na maamuz dhid ya kina mzeee mkapa??
Hupo very right Mwamba.....kama LOWASA angekua RC ni lazima tu angekua rais kabla ya JPM.....Mfumo wetu ni Bakwt na RC, ata iwe vipi.....na 2015 ilikua ni ZAMU ya RC....kumbuka ata Samia alivyochukua Uraisi....ilikua ni lazima makamu wake atoke RC....
 
Suala la Lowasa kutokuwa Rais sio la JK bali toka kwa Mwalimu Kikwete alijaribu kuvunja agano kwa kumuweka Lowasa waziri mkuu kilichotokea wote tunakijua JK ikabidi amwage manyanga.
 
Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo?

Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT?

Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya kuwa Rais, Jamii iliyomzunguka ndio ilimuona HAIFAI tangu na baada.

Suala la kumuondoa Lowassa halikuwa ni maamuzi ya JK binafsi. yalikuwa ni maamuzi ya Inner Circle na JK hana uwezo wa kumuahidi mtu nafasi kubwa kama hiyo yenye maamuzi ya wengi ni ujinga kuona hata wasomi wanaimba wimbo wa usaliti;

Chadema pia ilimkataa lowassa first hand na wao ndio walisema CCM inaenda kumsimamisha FISADI, au tuweke ushahidi?

Mlitaka kamati ya CCM ipoteze reputation kumsimamisha lowassa? He is just a human na kufa kila mtu atakufa na kifo sio ishara ya huruma.

Kwamba JK alimsaliti lowassa kwani nafasi ya Urais ni ushikaji au ni nafasi ya familia ? Anatoa tu subjectively !?

Kuwa Rais ni competency na acceptance ya watu wako , Lowassa was destined to be the president that never was.

Kumlaumu JK kwa failure ya Edo ni sawa na kumlaumu Shetani kwenye mythical story ya Adam na Eva kwenye imaginary garden. If it was meant Adam na Hawa waishi kwenye garden , kwanini serpent the deceiver nae akawa sehemu ya garden?

The story is myth , it never happened but it happens always !

JK aachwe na hana kosa wala baya, na hakuwa anamtaka hata huyo JPM, that should tell kuwa hata angetaka lowassa apite, the inner cycle ilishasema NO !

Jk had to respect the agreed decision or else arudishe kadi ya CCM, simple like that .

JK this JK that , by the way kwani lowassa ni Nani? Si ni mtu kama watu wengine waliowahi kuutaka urais na kuukosa, anatofauti gani na hao ?

Yaani unautaka Urais kwa kutegemea favor za mtu fulani, he was supposed to fight for his own course na sio ushikaji sijui tumetoka mbali, it never worked that way .

JK hana baya na azidi kuishi maisha marefu

Mkafanye kazi sasa ; lowassa wa watu kaenda zake kwa amani apumzike.
Jamii forum mkuu wamejaa watu mapunguani na majuha wasiojua lolote lile
 
EL alibadilika Baadaye kama shetani alivyombadilikia Mungu. Baada ya EL kubadilika JK akamkacha kama Mungu alivyomkacha shetani!
Nionyeshe usafi wa JK kidogo tu?

Kuna mtu mlafi kama huyo?
Bonge la muongo
Bonge la fisadi.

Rejea Escrow, Richmond nk
 
Nyie ndio mliwaita sio wao kujiita

Leta data JK anajiita boys 2 men kwa Edo
Weka hapa

Mliwaita byie kwa fantasy zenu

Msilazimishe vitu havipo
umetumwa kuja kupoza upepo mkali unaomvumia mzee wa msoga kwa kitendo chake cha kumsulubu mwenzake kisiasa. Tuli huwezi kutuliza tufani mpaka itapita yenyewe. Unajisumbua bure, labda kama unalipwa ufanye kazi ya kutuliza upepo huu mkali
 
Kwenye misiba wanaenda Watu wafuatao, wazazi, ndugu, marafiki, jamaa, na maadui.
Usipokuwa rafiki haimaanishi ni adui. Kuna jamaa

Ndio nakuuliza kwenye hao maadui Kuna aliyewahi kukuri hivyo msibani mwa marehemu husika?
 
KIKWETE kasema hadharani kuwa kazi yake ilikuwa Kuja na Majina 5.Na katika hayo majina Lowasa hakuwemo. Hivyo kazi ya JK ilikuwa pia kuliondoa jina na anayedai kuwa Rafiki yake.

Weka data tusome wote hapa
 
Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo?

Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT?

Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya kuwa Rais, Jamii iliyomzunguka ndio ilimuona HAIFAI tangu na baada.

Suala la kumuondoa Lowassa halikuwa ni maamuzi ya JK binafsi. yalikuwa ni maamuzi ya Inner Circle na JK hana uwezo wa kumuahidi mtu nafasi kubwa kama hiyo yenye maamuzi ya wengi ni ujinga kuona hata wasomi wanaimba wimbo wa usaliti;

Chadema pia ilimkataa lowassa first hand na wao ndio walisema CCM inaenda kumsimamisha FISADI, au tuweke ushahidi?

Mlitaka kamati ya CCM ipoteze reputation kumsimamisha lowassa? He is just a human na kufa kila mtu atakufa na kifo sio ishara ya huruma.

Kwamba JK alimsaliti lowassa kwani nafasi ya Urais ni ushikaji au ni nafasi ya familia ? Anatoa tu subjectively !?

Kuwa Rais ni competency na acceptance ya watu wako , Lowassa was destined to be the president that never was.

Kumlaumu JK kwa failure ya Edo ni sawa na kumlaumu Shetani kwenye mythical story ya Adam na Eva kwenye imaginary garden. If it was meant Adam na Hawa waishi kwenye garden , kwanini serpent the deceiver nae akawa sehemu ya garden?

The story is myth , it never happened but it happens always !

JK aachwe na hana kosa wala baya, na hakuwa anamtaka hata huyo JPM, that should tell kuwa hata angetaka lowassa apite, the inner cycle ilishasema NO !

Jk had to respect the agreed decision or else arudishe kadi ya CCM, simple like that .

JK this JK that , by the way kwani lowassa ni Nani? Si ni mtu kama watu wengine waliowahi kuutaka urais na kuukosa, anatofauti gani na hao ?

Yaani unautaka Urais kwa kutegemea favor za mtu fulani, he was supposed to fight for his own course na sio ushikaji sijui tumetoka mbali, it never worked that way .

JK hana baya na azidi kuishi maisha marefu

Mkafanye kazi sasa ; lowassa wa watu kaenda zake kwa amani apumzike.
Jamii ili ilimkubali Sana lowassa. Na jamii ilitaka awe Rais wa JMT. Na jamii ilimpa Kura za kutosha kuwa Raisi.

Huyo Kikwete ndo alikataa Edo asiwe Rais. Na ni yeye na kundi la vijana wake ndio waliounda kikosi cha kumtukana na kumwobia Kura.

Lowasa kilichomsikitisha Sana ni kuondolewa heshima. Kwenye hotuna yake ya kujiuzulu kasikilize. Alilalamika kuondolewa heshima. Na kuwekewa maneno mengi ya uongo. Umeona nyumbani kwakwe palivyo pa kawaida. Ni kweli mtu mwenye mabilioni yanayotajwa angekuwa na nyumbani kama pale.

Huyo uliyemtaja analalamikiwa kwa usaliti, unafiki na uongo. Lowasa hakuhojiwa wakati wa sakata la Richmond. Pengine alikuwa na majibu.

Na baada ya hayo, na kujiuzulu huyo kikwete hakutaka hata kumsikia Edo. Kwann?
Kwa sababu kwa Hali ya kawaida kuna madaraka, alafu kuna ubinadamu na urafiki wa kawaida. Mbona kina warioba waliendelea kuwa karibu na Edo?

Kulaumiwa Kikwete ni lazima. Pengine ndiye aliyesababisha msingo wa mawazo na kudhoofika kwa Edo Lowasa.
 
Megalodon skia unajua ukisikiliza vizuri interviews za JK kwa kiasi furani zipo sehem anaonesha Guilty juu ya ED hasa ishu ya Richmond 2008.

In fact JK alipata tamaa ya pesa kwa kushirikiana na Mastermind RA(Rosti tamu) kwnye upigaji wa Kampuni hewa ya richmond, ishu haikupaswa kuisha vile. Mbona mambo mengi yanaonesha ubaya wa huyu bwana. H

Kwa mfano Interview gani, weka hapa tusikilize wote
 
Kundi liliitwa boyz 2 men, sio wale waimbaji wa rnb wa marekani bali ni kundi la marafiki wawili wakubwa wa kisiasa nchini. Walienda vizuri tu katika siasa zao wakisaidiana kukamata madaraka yenye hadhi na utukufu wa nchi. Mbeleni mmoja wao akamsaliti na kumtosa mwenzake afilie mbali kisiasa. Sasa kwa mukhtadha huo unategemea watu waseme nini juu ya kadhia ya usaliti kwa mwenzake? Acha asemwe mpaka ajutie dhambi ya usaliti. Usaliti haujawahi kumpa mtu raha maishani
Katika hilo kundi nani alikuwa na ushawishi zaidi ya Mwenzake?
 
Bora Lowassa ni tajiri sisi wengine ni Maskini tunatembea kwa mguu na tunasalitiwa kila siku... Mimi mtu hata akinisaliti kwenye dili la buku tatu atakua amenilaza njaa.
 
Jamii ili ilimkubali Sana lowassa. Na jamii ilitaka awe Rais wa JMT. Na jamii ilimpa Kura za kutosha kuwa Raisi.

Huyo Kikwete ndo alikataa Edo asiwe Rais. Na ni yeye na kundi la vijana wake ndio waliounda kikosi cha kumtukana na kumwobia Kura.

Lowasa kilichomsikitisha Sana ni kuondolewa heshima. Kwenye hotuna yake ya kujiuzulu kasikilize. Alilalamika kuondolewa heshima. Na kuwekewa maneno mengi ya uongo. Umeona nyumbani kwakwe palivyo pa kawaida. Ni kweli mtu mwenye mabilioni yanayotajwa angekuwa na nyumbani kama pale.

Huyo uliyemtaja analalamikiwa kwa usaliti, unafiki na uongo. Lowasa hakuhojiwa wakati wa sakata la Richmond. Pengine alikuwa na majibu.

Na baada ya hayo, na kujiuzulu huyo kikwete hakutaka hata kumsikia Edo. Kwann?
Kwa sababu kwa Hali ya kawaida kuna madaraka, alafu kuna ubinadamu na urafiki wa kawaida. Mbona kina warioba waliendelea kuwa karibu na Edo?

Kulaumiwa Kikwete ni lazima. Pengine ndiye aliyesababisha msingo wa mawazo na kudhoofika kwa Edo Lowasa.

Hiyo clip uliyotaja nimeisikiliza

Haiwezi kuwa reference kwenye mada hii

Clip inaongelea kujiuzulu na sio fitina ya jk kwenye kinyanganyiro cha urais

More evidence zinahitajika ku justify claims zenu
 
Back
Top Bottom