Imetokea loliondo

Imetokea loliondo

WAKENYA wasiingilie mambo yetu ya ndan kama wanaona BABU kwao ni kikwazo wafunge border zao ili watu wao wasije kunywa dawa.

Lakini kama umesoma maoni wakenya wengi hawakubaliani kabisa na huyo waziri wao wa afya. Wanamlaani kwa kauli yake kuhusu huyo babu.
 
Yesu kristo je yupo.?
Basi wangeamini tu wale waliomwona tu,?
Bona sisi tunaamini na kupona bila kumwona.
Swala siyo unabii,kwani babu ni nabiiiii.?

Kaka unaelekea bado una upeo mdogo wa dini? Hv unafaham maana ya Nabii kwel? Yesu hakuwa nabii ndugu yangu. tafuta kwanza maana ya neno nabii then come wit argument.
 
hahaaaaaaaaaaaaa ishu nzito sana ya babu!!!mie kikubwa ninachoshangaa hata lawama kwa maandamano ya CHADEMA zimepungua viongozi wote wapo loliondo kwa sasa!
Lakini kama umesoma maoni wakenya wengi awakubaliani kabisa na huyo waziri wao wa afya. Wanamlaani kwa kauli yake kuhusu huyo babu.
 
[FONT=&quot]Mganga Mkuu wa Mkoa wa Hospitali ya Mount Meru alisema, kuwa tangu tiba ya ' Babu' ianze, hajapata hata mgonjwa mmoja wa UKIMWI aliyepata kikombe cha ' Babu' na kurudi hospitalini hapo kupimwa tena. Hivyo, mpaka hii leo hatuna ushuhuda wa kimaabara kwa maana ya hospitalini. Ushuhuda tunaousikia ni wa mitaani. Ndio maana tiba ya ' Babu' itabaki kuwa ' Abrakadabra' mpaka hapo itakapothibitishwa vinginevyo
Je viongozi wetu wajuu wamekwenda wawe mfano wasema wazi kama wamepona.
Au hapa ni mtu kuonekana mbaya ukisema haiponyeshi.
Mzee na nchiii hiii toa ushuuda.
 
umeongea ukweli kabisa kama dawa mbona mababu kibao wanazijua dawa za asili lakini kwanini watu mpaka viongozi waende kwa babu huyu tu na je tanzania ina waganga wangapi na wachungaji wangapi!
Fununu zinaanza kuzagaa kuwa babu anawapotosha watu, je hii ni kweli? nionavyo mimi babu hahusiki kwa lolote hajamuita mtu Loliondo wala hajajitangaza isipokuwa vyombo vya habari ndio vimepotosha umma.Nawasilisha!!
 
 
[video]http://www.yotube.com/samunge loliondo[/video]
 
mkuu ndallo

au ndiyo side effect ya kikombe
 
babu kaitangaza tanzania kuliko hata kikwete....kikwete itabidi akachukua mafunzo kwa babu....pamoja na kwamba dawa yake mimi siikubali..
 
Siku zote anayependwa na wengi upendwa na mungu pia. we kaa na iman yako haba hata Nuhu wakat anachonga SAFINA watu wenye upovu wa iman kama wewe walikuwepo pia. BAB

Na Nuhu hakupendwa na wengi bali alipendwa na Mungu tu.
 
hahaaaaaaaaaaa kazi ipo watu wengi hawataki kikombe cha babu mungu atawachukua waliogonga kikombe tu!!!tusio gonga imekula kwetu!!!sababu tumemdharau babu!
Na Nuhu hakupendwa na wengi bali alipendwa na Mungu tu.
 
Back
Top Bottom