Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Wana jamvi nme kuja na simanzi kubwa sana moyoni sijawahi kuumia kiasi hiki maelezo ni marefu lkn Ngoja nifupishe ili nisiwachoshe in short nna mke wangu nme ishi nae kwa mwaka 1 kma mke na mme ingawa mazingira ya kikazi yame tu fanya tuwe mbali kidogo lkn nmekua najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbaali sana (cc ni watu wa kanda ya ziwa ki makazi lkn cio kwetu) tatizo lime kuja kuna tetesi nlipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee m1 mwenye umri wa miaka 46 mbaya zaid ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwisha tarakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita na chanzo cha wao kuku tana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi uyo mzee aka mchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo uka anzia apo mzee kamrubuni mke wangu ka anza kutoka nae kma mwanzo nlivo eleza dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nika puuzia sababu hua tabia ya uchonganishi pia hua cna mahusiano yetu hua sio mazuri nlicho amua nikafanya uchunguzi Mwenyeqw kwa njia zangu nnazo zijua nika gundua ukweli (mm ni mtu wa IT) basi nakaja gundua hata baadhi ya vitu mke wangu ana leta hua vinatoka kwa huyo mzee vitu kma simu, camera mavazi na pesa maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu basi tume enda ivo lkn ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia aka anza kuninyima sex anadai simufikishi wkt namjua vzuri na hua namafkikisha kwa hilo cna shaka ata tone, nikirudi nyuma kidogo mm ndio nme msomesha chuo tangu mwaka wa kwanza Mpk kamaliza na nme gharamika mambo mengi juu yake hapa tulilpo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa . mda huu na andika post hii mke wangu yupo dar nme muuilza upo kwa nan hasemi nmeumia Sana ikabid ni ongeee na mama mkwe nikamueleza situation aka mpigia simu mwanae kilicho fuata aka nitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua saana nafsi yangu na mnukuu " unampigia simu mama akusaidie nini kma nato** c mm ww ina kuhusu nn? na nakuapia lazima nit**we uku ili utulie " ime niuma saana mpk sasa moyo wangu umefunga cwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mm asingekua hapo alipo leo" nmejizuia sana kulipa kisasi nme shindwa ukizingatia familia yao nme ibeba sana kwa mambo mengi, nikumbushe kitu ukwel ni kwamba nlikua cja toa mahari mpk ingawa tuli ishi nae kam mke na mme, lkn mpango ulikua mwezi huu na nlikua nme kwisha andaa kla kitu hata nashindwa nianze vp ku waeleza wazee
nna ni mengi nme ya ruka kuyaeleza maana mm c mwandishi mzuri natamani ningemsimulia mtu aandike, naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kma yapo ila kma tapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi. Asanteni
Ushukuru alikuwa anakunyima na unyumba, ungeambukizwa maradhi magumu.
kisasi chochote utakachotaka kumlipa hakitakuridhisha wala hutaona anaumia vya kutosha kama ulivyoumia wewe.
Dawa ni kumpuuza na kumsamehe, atalipwa kwa wakati wake wewe lea mwanao hujui unaepushwa na nini.
 
Nashuru kwa ushauri kwel mengi nme ambiwa na swala la kisasi naona niachane nalo sababu % 98 ya wachangiaji wamenishaur ku move on, pili nme farijika sana kwa ushauri naanza kuona Nafsi yangu ina funguka taratibu
 
Mambo kama haya ndo yanafanya nsioe mapema...... Wanawake wanakuwaga sijui na nn me hata siwaelewag aisee
 
Umegundua eeh !!? Yawezkana ni hasira ila watu wanazdi kuchanganya , ME ukipenda kwa%100 tarajia majuto hapo mbeleni, penda lakn sio %100 ,nyingine unaweka akiba
Hujui alikuwa/yupo kwenye hali gani alivyoandika hiyo post. Kuwa mpole
 
Kama una uwezo mwanao hawez teseka chukua Mtoto pereka boarding , ningekuwa mim kwa hilo kosa simwambii MTU ila
wangeona sura nyingine ya demu
Niongeze kitu hapo mimi nime lelewa na mama wa kambo baada ya mama yangu kufariki, maisha nliyo yapitia sikupenda mwanangu aishi tena nliteseka Sana
 
Kitu kinachovinja ndoa ni uzinifu. Kama umejitidhisha pasi na shaka kwamba ni mzinzi. U?nasubili nini kumwacha
 
Nashuru kwa ushauri kwel mengi nme ambiwa na swala la kisasi naona niachane nalo sababu % 98 ya wachangiaji wamenishaur ku move on, pili nme farijika sana kwa ushauri naanza kuona Nafsi yangu ina funguka taratibu
Hongera Kwa ujasiri wa kutuelimisha Kwa yalio kukuta. Pole sana.Maelezo yako unaeleza Kama vile bila ya wewe mzazi mwenzi asinge kuwa chochote.wewe ndio kila kitu.
MwenyeeziMungu hutoa rizki kupitia mgongo wa mtu mwingine.Kwa kumsomesha yeye Vilevile umemsaidia mtoto wako kuwa Na mama msomi.Wahenga wa majuu walisema "NO GOOD DEED GOES UNPUNISHED "
Nakutakia kila la kheri katika maisha yako Na ufanikiwe kupata Mke mwema.
 
Pole, ni part ya life yako nw. Ni ww utakayeamua nn ufanye. That's satanic work tu, just relax tu kama wiki hivi. Fanya kama hujaumizwa na matusi yake, omba kwa ajil yake. Send her gud SMSs every night.
Tafuta sehemu nzuri tulivu, ili kupumzika kutokana na stress ulizonazo nw. I'm sure baada ya muda atajutia makosa yake, be ready kumusamehe..

!
!
Maisha ya video haya weww acha kumdanganya mwenzio wewe.
 
Kiwango Cha Elimu yako kipo chini ukilinganisha Na mkeo?
Hapana me nna bachelor ya IT na baada ya kupata kazi nlikua promoted kwenda nje nikasoma Auto-electrical engineering MQA level ya South Africa yy ana bachelor ya education tu.
 
Hapana me nna bachelor ya IT na baada ya kupata kazi nlikua promoted kwenda nje nikasoma Auto-electrical engineering MQA level ya South Africa yy ana bachelor ya education tu.
Kwa nini anakudharau sasa au hana feeling na wewe?
 
Achana nae, anza maisha ya peke yako. Kuwa na mtoto au kupanga kulipa mahali si sababu ya kumng'ang'ania huyo dem malaya, kubali hasara na usahau yote yaliyotokea na usonge mbele na maisha yako. Utapata mke mwingine wa maisha yako si huyo asiye na adabu
 
Hiyo avatar yako inanitatiza... nashindwa amini habari hii.
 
Hiyo avatar yako inanitatiza... nashindwa amini habari hii.
usini judge kwa Avatar hii nme kua nikiitumia kwa mda mrefu san sikuona sababu ya kuibadili ili nije hapa kwa hili jambo
 
Kwa nini anakudharau sasa au hana feeling na wewe?
basi tu wanawake hawajulikani nn wanataka ukiwa na pesa wanatafta asie nazo, ukiwa huna pesa wanatafta alie nazo cjui hua nn wanataka
 
basi tu wanawake hawajulikani nn wanataka ukiwa na pesa wanatafta asie nazo, ukiwa huna pesa wanatafta alie nazo cjui hua nn wanataka
Nadhani upo weak sana kwake. Mwanamke kukueleza alokueleza ni kukudharau sana. Tafuta mdogo wake umgonge tu. Au si ajabu ndiye anayelisha familia. Pengine Nyumba au Gari ni vyake
 
usini judge kwa Avatar hii nme kua nikiitumia kwa mda mrefu san sikuona sababu ya kuibadili ili nije hapa kwa hili jambo
Mpenzi wako nae amekutana na Dushe of her dreams.... bila shaka na wewe ukikutana na tako kama hilo... utapiga tu.
 
Back
Top Bottom