Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

una nishauri au unanikashifu? na nan ka kwambia pesa sina mie? acha utoto mwanamke hatuluzwi na pesa

Anza kupima DNA huenda hata huyo mtoto sio wako mkuu. Sasa mpaka alete vitu nyumbani ambavyo una mashaka na upatikanaji wake bado unajifanya kifaru? Ungekuwa unamwezesha ungekuwa na wasiwasi wa mimi sasa? mpaka muda huu wewe ni loser mkuuu...ila kuna moja la maana sana hapo la kufanya. We dont quit at Half time, we dont score until you score. Pindua matokeo, pima DNA, Kama mtoto ni wako fanya taratibu za kisheria asiishi kama wewe na mama yako wa kambo, kama sio wako unaweza kufanya ubinadamu kwa mtoto kwani ulikuwa na uwez wa kuwa baba yake. Mama piga chini, hakufai. Hivi ni lazima saaana mpaka aje atandikiwe kitandani kwako ndio uelewe? Hizi tamthilia zinatuaharibu saa...kaka zile sio kweli wanaekti tu wale...na ndio maana pamoja na yoote wanayoimba na kufanya wanaachika kishenzi
 
Mwanamke akishafikia hatua hiyo ni wachache sana ambao wanaweza kupata ufahamu wa kurudi nyuma na kuwa na mapenzi na ww kama mwanzo,kwangu mimi napenda mwanamke ambae anaweza kuniheshimu na kunipenda upendo unapotoweka na kuanza kuumizwa hua siwezi kukubali maumivu kama hayo!Maisha yenyewe mafupi kwa nini kuumizana,kwa hiyo uamuzi unao wewe kunyoa au kusuka.Muda mwingine ni wenda wazimu kufikiri kwamba mwanamke akishageuka nyoka anaweza kurudi tena kwenye hali yake,atarudi kwako tu baada ya kutendwa kule alipoenda au kutoswa.
Indeed mkuu
 
Haya mambo nayajua kaka .....kwa ulivyosimulia hina ubavu wa kumuacha seems unampenda sna....hizo msg zinazokushauri unazisoma kwa jicho moja na hufiki mwisho..soma ya kwangu kwa raha..kwamba acha hasira ziishe umrudie bana kwan pamewekwa alama!!! Btw tupe huo ujanja uliotumia kama hutojali share nasi wadau wenzio
Hapana cwez tena endelea nae kama kweli nme omba ushauri watu wametumia simu zao,, mda wao na vocha zao alfu nirudie tena ujinga nitakuwa mpumbavu
 
Duuh. Pole sana mkuu. Nilitamani nikusaidie kubeba sehemu ya maumivu yako bt mi mwenyewe niliyoyabeba yanantosha.
Pole sana Kaka,mimi sijaoa lakin kwa akili yangu na nnavojua kidini,kijamii hata kimila pia haruhusiwi kulipa kisasi,maana tayr una familia ya mtoto mmja hutakiwi kukua katika mazingira ya majuto kwa kukosa makes ya wazazi wawili calm down pls sikiliza ushauri wa watu lakini sio namna ya kulipa kisasi hawa ni viumbe dhaifu sana
 
subiri hadi ushuhudie mwili wa mwanaume ukizama ndani ya mwili wake na kutoka, huku ikambatana na vilio na miguno ya raha ili uamini kinachoendelea....! Kuanzia pale hutaomba tena ushauri wa nini cha kufanya, japo lazima utafanya uamuzi mojawapo kati ya yafuatayo;
  • kukubaliana na hali halisi na kujiandaa kisaikolojia kushiriki tunda hilo, au
  • kumfuta kwenye akili yako na kuanza kutafuta ustaarabu mwingine, au
  • kumpiga risasi mtu au kisu, na wewe kutokomea kusikojulikana au kujiua na wewe, au
  • kujinonga mwenyewe na kumwacha yeye akila raha za dunia
 
!
Anza kupima DNA huenda hata huyo mtoto sio wako mkuu. Sasa mpaka alete vitu nyumbani ambavyo una mashaka na upatikanaji wake bado unajifanya kifaru? Ungekuwa unamwezesha ungekuwa na wasiwasi wa mimi sasa? mpaka muda huu wewe ni loser mkuuu...ila kuna moja la maana sana hapo la kufanya. We dont quit at Half time, we dont score until you score. Pindua matokeo, pima DNA, Kama mtoto ni wako fanya taratibu za kisheria asiishi kama wewe na mama yako wa kambo, kama sio wako unaweza kufanya ubinadamu kwa mtoto kwani ulikuwa na uwez wa kuwa baba yake. Mama piga chini, hakufai. Hivi ni lazima saaana mpaka aje atandikiwe kitandani kwako ndio uelewe? Hizi tamthilia zinatuaharibu saa...kaka zile sio kweli wanaekti tu wale...na ndio maana pamoja na yoote wanayoimba na kufanya wanaachika kishenzi
shida yako unatumia maneno ya kashifa mtoto tumempata bado hakukuwa na shida hizi, pili mm nli mnunulia simu HTC One M9 baada ya mda akaja na Samsung Note 4 na HTC pia akiwa nayo ndio nika anza ku doubt pili nikanunua furniture za ndani nika kuta cio zile nlizo nunua.
 
Hebu mchukulie kama amekufa vile halafu fanya yako ndugu yangu wanawake kama uwajuavyo ni kweli karubuniwa basi muache aolewe na babake halafu ww hata usiwe na shaka kuhusu wazee wako waambie ukweli na watakusupport waambie watapata mkwe mwingine mwema na mvumilivu,tena huenda Mungu kakuonyesha mapema kabla hujamuoa so unaweza kubadili mwnimgine pasi na shaka ..shika yako sasa huyo si wako atabak kuwa mzazi mwenza tu usimfikirie kwa sasa waza kuhusu mwanao au kama na mtoto una shka naye nenda kwenye DNA
 
Tafuta mke, huyo sio
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.

In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi yametufanya tuwe mbali kidogo lakini nmekuwa najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbali sana(sisi ni watu wa Kanda ya Ziwa ki-makazi lakini sio kwetu).

Tatizo limekuja kuna tetesi nilipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee mmoja mwenye umri wa miaka 46. Mbaya zaidi ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwishatalakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita.

Chanzo cha wao kukutana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi huyo mzee akamchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo ukaanzia apo mzee kamrubuni mke wangu kuanza kutoka nae.

Kama mwanzo nilivoeleza, dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nikapuuzia sababu huwa na tabia ya uchonganishi pia huwa mahusiano yetu sio mazuri.

Nilichoamua nikafanya uchunguzi mwenyewe kwa njia zangu ninazozijua nikagundua ukweli. Mimi ni mtu wa IT basi nakaja kugundua hata baadhi ya vitu kama simu, camera, mavazi na pesa mke wangu analeta huwa vinatoka kwa huyo mzee maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu.

Basi tumeenda hivo lakini ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia akaanza kuninyima sex anadai simfikishi wakati namjua vzuri na huwa namfkikisha, kwa hilo sina shaka hata tone.

Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.

Muda huu na andika post hii mke wangu yupo Dar, nimemuuilza yupo kwa nani hasemi. Nimeumia sana ikabidi niongeee na mama mkwe nikamueleza situation. Akampigia simu mwanae, kilichofuata akanitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua sana nafsi yangu.

Namnukuu "Unampigia simu mama akusaidie nini?, kama nato** si mimi wewe inakuhusu nini? Na nakuapia lazima nit**we huku ili utulie."

Imeniuma sana mpaka sasa moyo wangu umefunga siwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mimi asingekua hapo alipo leo" Nimejizuia sana kulipa kisasi nimeshindwa ukizingatia familia yao nimeibeba sana kwa mambo mengi.

Nikumbushe kitu, ukwel ni kwamba nilikuwa sijatoa mahari mpaka sasa ingawa tuliishi nae kama mke na mume. Lakini mpango ulikua mwezi huu na nilikua nimekwisha andaa kila kitu. Hata nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazee.Nina mengi nimeyaruka kuyaeleza maana mimi si mwandishi mzuri. Natamani ningemsimulia mtu aandike.

Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.

Asanteni
 
!
!
Ninachoweza kukushauri tu ni kwamba.......maisha yanaendelea. Kuna msemo unasema there is life across the river. Achana nae msamehe endelea na maisha yako. Kwa ulivyoandika kwa upole hadi ukaniudhi mimi huku. Mwishoni kabisa nimalizie na kukwambia kwamba Muombee adui yako aishi siku nyingi, ili unapofanikiwa ajionee kwa macho.
 
Uamuzi ni wako ila kama ni Mimi naachana naye tu.Ameshakudharau vya kutosha ukizingatia kua umemgharamia masomoni.
 
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.

In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi yametufanya tuwe mbali kidogo lakini nmekuwa najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbali sana(sisi ni watu wa Kanda ya Ziwa ki-makazi lakini sio kwetu).

Tatizo limekuja kuna tetesi nilipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee mmoja mwenye umri wa miaka 46. Mbaya zaidi ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwishatalakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita.

Chanzo cha wao kukutana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi huyo mzee akamchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo ukaanzia apo mzee kamrubuni mke wangu kuanza kutoka nae.

Kama mwanzo nilivoeleza, dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nikapuuzia sababu huwa na tabia ya uchonganishi pia huwa mahusiano yetu sio mazuri.

Nilichoamua nikafanya uchunguzi mwenyewe kwa njia zangu ninazozijua nikagundua ukweli. Mimi ni mtu wa IT basi nakaja kugundua hata baadhi ya vitu kama simu, camera, mavazi na pesa mke wangu analeta huwa vinatoka kwa huyo mzee maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu.

Basi tumeenda hivo lakini ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia akaanza kuninyima sex anadai simfikishi wakati namjua vzuri na huwa namfkikisha, kwa hilo sina shaka hata tone.

Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.

Muda huu na andika post hii mke wangu yupo Dar, nimemuuilza yupo kwa nani hasemi. Nimeumia sana ikabidi niongeee na mama mkwe nikamueleza situation. Akampigia simu mwanae, kilichofuata akanitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua sana nafsi yangu.

Namnukuu "Unampigia simu mama akusaidie nini?, kama nato** si mimi wewe inakuhusu nini? Na nakuapia lazima nit**we huku ili utulie."

Imeniuma sana mpaka sasa moyo wangu umefunga siwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mimi asingekua hapo alipo leo" Nimejizuia sana kulipa kisasi nimeshindwa ukizingatia familia yao nimeibeba sana kwa mambo mengi.

Nikumbushe kitu, ukwel ni kwamba nilikuwa sijatoa mahari mpaka sasa ingawa tuliishi nae kama mke na mume. Lakini mpango ulikua mwezi huu na nilikua nimekwisha andaa kila kitu. Hata nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazee.Nina mengi nimeyaruka kuyaeleza maana mimi si mwandishi mzuri. Natamani ningemsimulia mtu aandike.

Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.

Asanteni
Anza maisha mapya kijana achana nae kabisa. halafu utamsomeshaje dem ambae hujafunga nae ndoa?? hii iwe fundisho kwa vijana wote kwani tunasemaga kila siku dem hasomeshwi uwe unaishi nae au hauishi nae kwani ni nature yao atakutupa tu.. Sahau yote songa mbele
 
Kumbe bado ujamtolea mahari,achana na uyo mwanamke kwanza ana laana ya kutembea na uyo mzee.
 
Huyo jamaa amekukomesha kwelikweli. Mwache huyo mwanamke aendelee kugegedwa ili utulie vizuri. Tafuta mwanamke mwingine. Ndiyo dunia hiyo. Nadhani sasa umejifunza.
 
Pole sana mkuu imenumiza sana story yako na kikubwa ebu fanya maamuzi magumu piga chini songa mbele ipo siku atarudi analia
 
In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume.
Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.

Mh! sijakuelewa hapo!
 
unatakiwa uwe soft killer/silent killer
eat well, sleep well & fart well
afu kamatia mtt mzuri
mtoto mkali kila idara

afu baada ya muda leta feed back[emoji41]
 
Back
Top Bottom