Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Bwana wee sijui wanadanganywaga nini mpaka wanaingia huo mkenge...wanawake wamewekwa hapa duniani kwa ajili ya kugegedwa na kuzalisha basi...mswala ya kusomesha unayato wapi
Mwanamke asiye ndugu yangu siwezi msomesha unless niwe nimeamua kutoa msaada toka moyoni. Sio eti nimsomeshe mwanamke kwasababu atakua mke wangu haipo hiyo. Hawa viumbe kweli Ni mama zetu...Dada zetu..... Wake zetu..... Lakini wana mioyo migumu hata kuuzidi ugumu. Wenyewe.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Unamoyo aiseee,ningekuwa ni.imi angekuta mke ndani
 
hawa wanawake hata uwe punda hua hawana jema, siwez kufanya kosa kitandani kaka

Usiwe mtumwa wa mapenzi kisa mtoto wako atateseka. Umeshafahamu hayo kuwa mama wa kambo ni watesaji (si wote), mtoto ana miaka minne, jiandae kuondoka, mwache mtoto kwa mama yake awe anakuja kwako wakati wa likizo, akiwa mkubwa mpeleke boarding school.
 
Kaka ushauri wangu,ni wewe kuachana na huyo mwanamke, mtunze mwanao, endelea na maisha yako mapya.Usijaribu kujishusha, atakuendesha hivyo maisha yako yote,cha muhimu achana naye kabisa
Unasisitiza kuachana kesho unakuatana nao wameshikana mikono wanacheka adi unawatamania. Unacheza na penzi wewe!
 
Bwana wee sijui wanadanganywaga nini mpaka wanaingia huo mkenge...wanawake wamewekwa hapa duniani kwa ajili ya kugegedwa na kuzalisha basi...mswala ya kusomesha unayato wapi
Kwahiyo watoto wako Wa kike wanaanza kupigwa miti tangu Wana miaka mi tatu?! Hakuna kusoma ni kukazwa Tu...
8ad382abb74bf515d45bc32bbab1c28e.jpg

Na mimba, sijui unatumia nini kufikiria
 
Haina haja ya kulipa kisasi,kaa chini tulia...jipe muda vizuri utafakari kwa kina...what happens in our daily life doesn't really matter but our reaction to it.

Kuna bajaj niliona imeandikwa "MCHUMBA HASOMESHWI"
 
Ohoo!!!
Tukisema hawa watu ni hatari wengine wanabisha....
Pole bhana walivyosema kua uyaone na hili nalo ni miongoni.
Hata kwa upande wa wanawake nao wanawaza ivo ivo! Wanaume sio watu kabisa
 
Mimi nilijua ww ni mwanadada, wanaume hawaumiagi kihivyo tena msomi kbs? usilipize kisasi lkn tulia fanya maendeleo kama kujenga nyumba nzuri na kuanzisha miradi mbali mbali yakukeep busy hlf omba Mungu akujalie umpate wa ubavu wako nahakika utampata binti mzuriiiiiiiiiiiiiiii..................weka ndani kbs elewa sio wanawake wote wanastahili kuolewa wengine ni maua ya dunia.
 
Wewe si ulishaambiwa kuwa humrizishi??

Pia sex si huwa anakunyima??

Kakuapia lazima ato*****huko jiji la mwendokasi si ndio??

Mkuu wewe ulishapigwa kibuti siku mingi sema hujiongezi unajidai unajua kupendaa.

Kwanza ulitumia IT gani kumgundua ana kucheat? Ushauri wangu jiongeze lea mtoto tafuta anaerizika na wewe huyo sio saiz yako waachie wanaume wa darslam wafanye yao.

Pia ukipata buda na wewe jisomeshe zaidi kwa Hasira.
Mwambie niko hapa ntarizika naye aache kuangaika
 
Mimi nilijua ww ni mwanadada, wanaume hawaumiagi kihivyo tena msomi kbs? usilipize kisasi lkn tulia fanya maendeleo kama kujenga nyumba nzuri na kuanzisha miradi mbali mbali yakukeep busy hlf omba Mungu akujalie umpate wa ubavu wako nahakika utampata binti mzuriiiiiiiiiiiiiiii..................weka ndani kbs elewa sio wanawake wote wanastahili kuolewa wengine ni maua ya dunia.
Elimu yake umeiona wapi
 
Katika maelezo yako inaonesha hamjafunga ndoa wala hujatoa mahari it means mlikuwa wapenzi na si wanandoa.. Kama unataka kumuacha ni rahisi mno cause hamuendi hata mahakamani, but mwisho wa siku maamuzi yako Moyoni mwako kama ni mahaba Niue endelea kufa kimya kimya brother..
 
Kuhusu swala la kumsomesha lipo hivi , baada ya kuhitimu kidato cha sita alichaguliwa chuo lkn nyumbani hakukua na uwezo na mm wkt huo nme maliza chuo nikawa nme ajiliwa kampuni ya uchimbaji madini so ckuona tabu kumsomesha wkt uwezo nnao sababu kabla ya uhusiano cc ni family friends tume fahamiana tangu wadogo .
Mkuu act with the sense of agency kimbia kbs hapo, bora Mungu kakuonyesha mapema.
Elimu yake umeiona wapi
Wewe hujaona kwenye thread kasema yeye ni IT by profession? sasa ww unafikiri IT ni lelemama? lazima atakuwa msomi kbs huyu.
 
Wana jamvi nme kuja na simanzi kubwa sana moyoni sijawahi kuumia kiasi hiki maelezo ni marefu lkn Ngoja nifupishe ili nisiwachoshe in short nna mke wangu nme ishi nae kwa mwaka 1 kma mke na mme ingawa mazingira ya kikazi yame tu fanya tuwe mbali kidogo lkn nmekua najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbaali sana (cc ni watu wa kanda ya ziwa ki makazi lkn cio kwetu) tatizo lime kuja kuna tetesi nlipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee m1 mwenye umri wa miaka 46 mbaya zaid ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwisha tarakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita na chanzo cha wao kuku tana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi uyo mzee aka mchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo uka anzia apo mzee kamrubuni mke wangu ka anza kutoka nae kma mwanzo nlivo eleza dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nika puuzia sababu hua tabia ya uchonganishi pia hua cna mahusiano yetu hua sio mazuri nlicho amua nikafanya uchunguzi Mwenyeqw kwa njia zangu nnazo zijua nika gundua ukweli (mm ni mtu wa IT) basi nakaja gundua hata baadhi ya vitu mke wangu ana leta hua vinatoka kwa huyo mzee vitu kma simu, camera mavazi na pesa maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu basi tume enda ivo lkn ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia aka anza kuninyima sex anadai simufikishi wkt namjua vzuri na hua namafkikisha kwa hilo cna shaka ata tone, nikirudi nyuma kidogo mm ndio nme msomesha chuo tangu mwaka wa kwanza Mpk kamaliza na nme gharamika mambo mengi juu yake hapa tulilpo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa . mda huu na andika post hii mke wangu yupo dar nme muuilza upo kwa nan hasemi nmeumia Sana ikabid ni ongeee na mama mkwe nikamueleza situation aka mpigia simu mwanae kilicho fuata aka nitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua saana nafsi yangu na mnukuu " unampigia simu mama akusaidie nini kma nato** c mm ww ina kuhusu nn? na nakuapia lazima nit**we uku ili utulie " ime niuma saana mpk sasa moyo wangu umefunga cwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mm asingekua hapo alipo leo" nmejizuia sana kulipa kisasi nme shindwa ukizingatia familia yao nme ibeba sana kwa mambo mengi, nikumbushe kitu ukwel ni kwamba nlikua cja toa mahari mpk ingawa tuli ishi nae kam mke na mme, lkn mpango ulikua mwezi huu na nlikua nme kwisha andaa kla kitu hata nashindwa nianze vp ku waeleza wazee
nna ni mengi nme ya ruka kuyaeleza maana mm c mwandishi mzuri natamani ningemsimulia mtu aandike, naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kma yapo ila kma tapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi. Asanteni
Pole sana mkuu, changamoto kama hizo huwa zinatokea katika maisha ya ndoa na watu wanayamaliza ILA kwa hizo kauli alizotoa baada ya wewe kuongea na mama yake basi nakushauri

"Achana na huyo Mwanamke"

Seriously, huyo hana sifa za kuwa mke wa mtu ila Malaya.
 
Mkuu act with the sense of agency kimbia kbs hapo, bora Mungu kakuonyesha mapema.

Wewe hujaona kwenye thread kasema yeye ni IT by profession? sasa ww unafikiri IT ni lelemama? lazima atakuwa msomi kbs huyu.
Mmmh ata certificate nayo ni profession na ni usomi huo!
 
Nimependa hapo alipokuambia ''Lazima ni**mbwe huku ili utulie''! [emoji1]........Mkuu huyo mwache instantly kwa gharama yeyote ile, hafai kuwa mke!
 
Angalia sasa, hakuna hata mmoja anakupa ushauri ila kukusahihisha ulicho andika. Kama hawakukusoma si waanche? Usijali ila ningekushauri hivi;
Kwa kuwa umekuwa ukikaa na huyu mwanamke bila kufunga ndoa kwa mda huu wote, huna la kupoteza kwani hata hayo mahari ndio ulikuwa unayaandaa kupeleka kwao.
Sasa, mchukue huyo mtoto, mpeleke kwenu akalelelewe huko. Tafuta mke ingine, ingiza ndani. Usiende lipiza kisasi ukampiga akakufunga bure ili ale uroda na mume mpya. Waachie nafwasi wajirushe wewe nenda kamtafute wa saizi yako. Inaonesha huko chuoni miaka yote 4 alikuwa halali peke yake. Aliwapata wanaume huko wakamfundisha mchezo hata mingine ile michafu ambayo wewe kwa kuwa ni mke huwezi mchezesha.
Waswahili husema; Meno ya kuazima waweza hata tafunia kokoto. Walimtafuna kokoto huku wewe ukimheshimu. Hata ukilia vipi, hutakaa umfikishe lele hata mara moja.
Kumbuka, anampa uroda babake mdogo, hapo si laana tiyari?? Usililie embe bovu hata ka ni dodo. Hakufai na Mungu kakuonesha mapema kabla hujajifunga maisha yako yote.
 
eti mzee akamrubuni!! mkeo ana umri gani hadi arubuniwe?? usimsingizie baba wa watu.

samehe 7 mara 70.
 
Back
Top Bottom