Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Kwanza pole sana!
Kwamba anadai humfikishi, lakini Wewe unajuwa unamfikisha!
How will you know kwamba unamfikishapo?
Je kama alishawahi kufikishwa sehemu ambayo Wewe hujawahi kumfikisha, utajuaje?
Alipowahi kufikishwa ni siri yake, right?
Haha! kum!amae
 
Mara nyingi maamuzi ya kishujaa sana ni kuamua kuachana na mtu uliyekuwa unampenda san. Utaumia shihi lakin hutoumia maisha yako yote
 
Binafsi naumiaga sana nikiwa sina pesa aisee nikiachwa hapo nakua na hazira kama zote lakini kama njuruku zipo aisee we enda tu pesa itanifariji sana
 
Halafu huu uzi ni wa 2016 uko mleta uzi tupe mrejesho basii
 
Pole sana Kaka,mimi sijaoa lakin kwa akili yangu na nnavojua kidini,kijamii hata kimila pia haruhusiwi kulipa kisasi,maana tayr una familia ya mtoto mmja hutakiwi kukua katika mazingira ya majuto kwa kukosa makes ya wazazi wawili calm down pls sikiliza ushauri wa watu lakini sio namna ya kulipa kisasi hawa ni viumbe dhaifu sana
Ushauri mzuri aisee
 
Mshukuru sana mungu..amekuonesha picha harisi ya mkeo kabla hamjafika mbali
 
Back
Top Bottom