Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Wana jamvi nme kuja na simanzi kubwa sana moyoni sijawahi kuumia kiasi hiki maelezo ni marefu lkn Ngoja nifupishe ili nisiwachoshe in short nna mke wangu nme ishi nae kwa mwaka 1 kma mke na mme ingawa mazingira ya kikazi yame tu fanya tuwe mbali kidogo lkn nmekua najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbaali sana (cc ni watu wa kanda ya ziwa ki makazi lkn cio kwetu) tatizo lime kuja kuna tetesi nlipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee m1 mwenye umri wa miaka 46 mbaya zaid ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwisha tarakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita na chanzo cha wao kuku tana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi uyo mzee aka mchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo uka anzia apo mzee kamrubuni mke wangu ka anza kutoka nae kma mwanzo nlivo eleza dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nika puuzia sababu hua tabia ya uchonganishi pia hua cna mahusiano yetu hua sio mazuri nlicho amua nikafanya uchunguzi Mwenyeqw kwa njia zangu nnazo zijua nika gundua ukweli (mm ni mtu wa IT) basi nakaja gundua hata baadhi ya vitu mke wangu ana leta hua vinatoka kwa huyo mzee vitu kma simu, camera mavazi na pesa maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu basi tume enda ivo lkn ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia aka anza kuninyima sex anadai simufikishi wkt namjua vzuri na hua namafkikisha kwa hilo cna shaka ata tone, nikirudi nyuma kidogo mm ndio nme msomesha chuo tangu mwaka wa kwanza Mpk kamaliza na nme gharamika mambo mengi juu yake hapa tulilpo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa . mda huu na andika post hii mke wangu yupo dar nme muuilza upo kwa nan hasemi nmeumia Sana ikabid ni ongeee na mama mkwe nikamueleza situation aka mpigia simu mwanae kilicho fuata aka nitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua saana nafsi yangu na mnukuu " unampigia simu mama akusaidie nini kma nato** c mm ww ina kuhusu nn? na nakuapia lazima nit**we uku ili utulie " ime niuma saana mpk sasa moyo wangu umefunga cwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mm asingekua hapo alipo leo" nmejizuia sana kulipa kisasi nme shindwa ukizingatia familia yao nme ibeba sana kwa mambo mengi, nikumbushe kitu ukwel ni kwamba nlikua cja toa mahari mpk ingawa tuli ishi nae kam mke na mme, lkn mpango ulikua mwezi huu na nlikua nme kwisha andaa kla kitu hata nashindwa nianze vp ku waeleza wazee
nna ni mengi nme ya ruka kuyaeleza maana mm c mwandishi mzuri natamani ningemsimulia mtu aandike, naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kma yapo ila kma tapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi. Asanteni

Nakuhakikishia vitu vifuatavo:-

- usirudiane naye, she will hurt u again and again, Ila ukirudiana naye sitashangaa maana wampenda sana.
- Ipo Siku atajutia sana huu ujinga wake, don't even revenge, there is not need, she will be punished without your involvement.
- Usijipe moyo atabadilika, hawabadiliki Kama wamrudia sema nitakuwa na msamehe kila wakati.
- Ndivyo walivyo hawa vyumba, Duniani mnayo dhiki Ila jipeni moyo, Mimi nimeushinda ulimwengu na nyinyi mtaushida.
 
Mambo yakiharibika ndio mnasingiziaga ilikua nitoe mahari, ilikua nimuoe mwaka huu..... Mambo yakiwa shwari wala hamjigusi na hizo mahari
Anyway pole
 
Mpk kifo kikutenganishe mzee, hapo ndio tunawaambiaga muoage wasio na elimu nyie mnakomaa 'kuoa' salary pole sana
 
Mchumba asomeshwi kaka, pole Sana kwan najua maumivu uliyopitia. Mke anauma sana asikwambie MTU hasa km we ndo umezama kumpenda afu yeye hana time na we we.
 
Mkuu pole sana yani imeniuma utadhani nimetendewa mimi hayo madhila, kuna mahala ulikosea katika kanuni za kummiliki mwanamke ila sitazungumzia hilo kwa sasa maana sio muhimu.
Kwakuwa sisi wote wakiume ngoja nikupe siri ya kuzishinda stress za wanawake washenzi maana pia nmekutana nao mara kadhaa maishani.
Kwanza hakuna adhabu nzuri mno kwa mwanamke kama kupiga kimya, awkward silence, pindi akifanya upuuzi wa aina yoyote ile. Huwa inampa tafsiri itakayomchanganya sana akili yake mbaya zaidi ukifanya hivyo kwa muda mrefu au mazima kabisa atajuta na kuumia zaidi kwa kuwa umempuuza kitu ambacho wanawake wote duniani hawakipendi. Uzuri wa adhabu hii inaonesha ni jinsi gani una ukomavu kama kidume badala ya kumpiga au kurushiana maneno.

Lakini pia, nahitaji ukomae sana kuushinda moyo kipindi hiki man, kumbukumbu za mapenzi yenu zitakujia sana na utatamani kumpigia umbembeleze ukidhani itasadia kumrejesha. Usifanye hivyo tafadhali, zingatia sana hilo man. Itakuwa rahisi sana kwako kumuacha aende kuliko kung'ang'ania arudie kukupenda. Fanya yote yatakayoweza kuondoa mawazo juu yake ila kwa wakongwe huwa tunatumia strategy ya kuopoa mwanamke mwingine chap wa kupoozea maumivu.

Kingine ni mtoto wako, una jukumu la kuhakikisha mnnakula bata sana mkiwa pamoja nae kwa kipindi chote ambacho unajiweka sawa kuanza mwanzo mpya, kama una ndugu yako unaemuamini waweza mpeleka akaishi nae kwa muda wakati unajipangia mkakati wa namna utakavyomlea baada ya kupata mwanamke mwengine mwenye kujielewa. Tafta beki 3 utaekuwa umempa jukumu la kumtunza mtoto kipindi hiko ukiwa mawindoni, choose the finest woman down to earth ni ngumu ila jitahidi bado wapo.

Ni pm nikupe tips juu ya kummiliki mwanamke bullar
 
Pole sana, huyo hakuwa mkeo ila ni mzazi mwenzio manake hata mahari hujatoa miaka yote hiyo! Wanaume wengine sijui wakoje! Lea mwanao, yeye mwache na maisha yake
 
Kwahiyo watoto wako Wa kike wanaanza kupigwa miti tangu Wana miaka mi tatu?! Hakuna kusoma ni kukazwa Tu...
8ad382abb74bf515d45bc32bbab1c28e.jpg

Na mimba, sijui unatumia nini kufikiria
Tatizo nini sii sizai tuu
 
nlitaka niandike kifupi nikaona tapoteza maana nme andika japo kwa urefu ingawa nalijua ttzo langu
tazama au sikiliza hizi nyimbo
1.Ukimwona....Diamond
2. Msaliti....C bella
3. Amerudi....C bella
4 .Basi Nenda ...Mo Music
5. Nitazoe.. Mo Music
6. Ibaki Story....
Kwa uchache tu..zipo nyingi
 
nlitaka niandike kifupi nikaona tapoteza maana nme andika japo kwa urefu ingawa nalijua ttzo langu
NI MARA NYINGI NIMEONA WANAWSKE WALIOSOMESHWA NA WANAUME NA MWUSHO WAKE WASIoane.cSIELEWI SABABU NI ZIPI? NA WENgi wanaishia bila mtoto wala nini wanachoambiwa kuwa ulikuwa unanitumia bure? ikiwa uradai.
 
Acha kisasi ndugu wako yuko njiani anakuja huyo ulikuwa una lazimisha wewe lakini mungu hakukuandalia huyo songa mbele
 
niliwahi kuleta Uzi hapa unaosema " mama mkwe amevunja ndoa yangu" binafsi nimepitia Mapito mengi kuliko wewe kwani Mimi nilioa kabisa ila sikusomesha. .. Nikutie moyo kwamba inabidi uanze upya kwani wanawake wanaojitambua na kuheshimu ndoa zao bado wapo wengi ila uwe makini sana usije ukapata wa kukutumia km Hugo wa kwako...ila inauma sana hasa aliposema Leo anaenda kutafunwa. Lazima ulihisi roho inachomoka..
 
niliwahi kuleta Uzi hapa unaosema " mama mkwe amevunja ndoa yangu" binafsi nimepitia Mapito mengi kuliko wewe kwani Mimi nilioa kabisa ila sikusomesha. .. Nikutie moyo kwamba inabidi uanze upya kwani wanawake wanaojitambua na kuheshimu ndoa zao bado wapo wengi ila uwe makini sana usije ukapata wa kukutumia km Hugo wa kwako...ila inauma sana hasa aliposema Leo anaenda kutafunwa. Lazima ulihisi roho inachomoka..
Hahaha Israel anagonga kifua achomoe mzigo
 
Pole maumivu uliyonayo yaliwahi kunikuta nliletewa Kuku wa kukaangaa toka Singida nlishindwa kumla kwa maumivu
 
sikuizi kupenda ni ulemavu na ni udhaifu vilevile unapenda ili iweje anyway hayo ni mapito tu be strong vumilia na samehe
 
Pole Sana ndugu ila nikushauri kitu kimoja...kabla hujaleta matatizo yako humu jf,ungepiga magoti ukamwomba Mora wako akuepushe na roho ya kisasi na hayo majaribu anayokuletea mkeo na Kama ulifanya ivo,mwamini Mungu atakusaidia
 
Back
Top Bottom