Imenishtua sana sijawi kuona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imenishtua sana sijawi kuona

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Money Stunna, Dec 29, 2011.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  Nimeshtuka na kushangaa namna wananchi wa north korea wanavyomlilia kiongoz wao kwa uchungu na karibia wote wanalia,hio inatokana na mazuri aliyofanya kim jong,je apa kwetu tz kuna mtu au kiongoz anaweza kuliliwa sana ikitokea akifarik kama kim jong?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Lil Kim alifanya nini kizuri?
   
 3. vena

  vena JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapo wachache, ila wengi ni wehu tu
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  furahi kama umefadika vinginevyo maigizo
   
 5. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  aisee umenifurahisha sana tena asubuh asubuh loh.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  usanii tupu
  viongozi wanalazimisha makanisa kuyatembelea afu wanajidai wamealikwa kwa harambee.

  Si kila uonacho kiko kama kilivyo.
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nyerere, nae watu si walimlilia sana aliwafanyia nini watu wake?
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Uzalendo nao ulichangia sana watu kumlilia Kifimbo, shida ya viongozi wetu wa siku hizi siyo kabisa wamekuwa wabinafsi.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  duh..kumbe watu mmeamini kuwa analiliwa kweli?
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Viongozi wetu wa sasa wizi sana tena wakifa watu ndiyo wanashangilia.
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,199
  Trophy Points: 280
  Everything that glitters, is not gold. Don't belive everything you see on TV.

  Kim Jong Il mwenyewe hakuamini kama hiyo adolation yote aliyopata ilikuwa genuine.

  Kim Jong Un kashaambiwa na kaka yake kwamba wakorea kaskazini wana umasikini sana na hizi habari viongozi kupendwa sana haziwezejkani katika umasikini huu.
   
 12. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  According to the BBC correspondent, soldiers were forcing people to cry,and the North Koreans knew what their dictactors wanted and provided it in liters( tears )
   
 13. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wamarekani wapuuzi sana. Wao wanachoweza ni kukosanisha watu tu. Kila mtu anayeenda kinyume nao hawachelewi kumuita dikteta. Kwahiyo dikteta ni mtu asiyeendana na masharti ya Marekani siyo? Na kwa bahati mbaya miafrika mlivyokuwa na njaa mnalazimika kukubaliana na kila kauli ya Marekani.
   
 14. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hao BBC wenyewe walishawahi kupewa mchango wa mishahara ya wafanyakazi na Kim Jong.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Princess Diana....
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Chatu kumbe nawe uko katika school of thot ya kwamba Nyerere didn't do a thing?
   
 17. sister

  sister JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,029
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  ila wengine furaha hutoa machozi ukute pale wanatoa machozi ya furaha
   
 18. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  na vile walivokua wanalia, kweli inaelekea walikua wanafanya maigizo. Km wtt, ovyooo
   
 19. j

  joe peters Member

  #19
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 13
  Humans shedding crocodile tears!!!
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  wonders shall never end.
  Ila hatuwezi fanana kimawazo
  maisha yngekuwa so boring.
   
Loading...