Imekuwa ni nadra sana kukuta waislam katika makabila haya

Imekuwa ni nadra sana kukuta waislam katika makabila haya

Hivi kuingia dini ukubwani kuna tatizo ?

Mtu kazaliwa familia ya kiksristto, anabadili dini kuwa muislam, watoto wake wanakuwa waislamu, tatizo lipo wapi ?

Hata babu zetu wengi waliingia hizi dini mpya wakiwa wakubwa, kuna tatizo ?
Ni tatizo
Manaake kwenye hiyo familia hakukuwa na misingi imara...
 
Waarabu walifika uchagani mapema kuliko wamisionari wa kikristo, lakini uisilamu haukushamiri huko sababu haupatani na Nguruwe wala pombe.
 
Ni tatizo
Manaake kwenye hiyo familia hakukuwa na misingi imara...
Una mambo ya ajabu sana,

Acha watu wawe na imani wanazozichagua. Umewakomalia sana Wanyakyusa kana kwamba wewe ndiye muamuzi wa maisha yao. Nakupa taarifa tu kwamba Wanyakyusa Waislamu wapo iwe walibadili dini wakiwa watu wazima au waliikuta katika familia zao. Wataoa, wataendeleza kizazi, na watalea watoto Waislamu. Wanaipenda dini yao kwa dhati na bado wataendelea kuwa wanyakyusa. Acha watu wawe huru katika dini zao.
 
Wahaya waislamu wengi sana sana na ukimkuta mhaya ni muislam basi huwa muislam kwelikweli.

Wanyakyusa waislam swala tano ni wengi mfano wao ni Kocha Juma Mwambusi. Mwambusi ni swala tano
.

Mtu anafungua thread anakwambia hajawahi ona mhaya au mchaga muislam wakati muanzisha thread mwenyewe amezaliwa na kukulia Iringa.,
 
Asante kwa mchango, wahaya nimefuatilia ni kweli nimeona si jambo la ajabu kuwakuta waislam

Wanyakyusa pia asanye umeweza kukazia point

Kuhusu wachaga ni nadra, sio kwamba hawapo kabisa lakini ni "nadra" hasa kwa kuzingatia mila zao kila Decelmber huwa wanarudi na wakiwa huko pombe ya Mbege ni lazima unywe, usipokunywa unaonekana unadharau mila za kichaga.
 
Wachagga wapo tofauti. Kuna wachaga wa Rombo, Wa Marangu wa Kibosho, Old Moshi n.k.

Huko ndiko uislamu ni mchache lakini Wilaya ya Hai kuna maeneo 70%-8% ni waislamu.

Nazungumza nikiwa hapa Kwa Sadala wilayani Hai
 
1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame
2. Masai
3. Wakinga

Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, na mitaani wapo wenye majina yote ya kiarabu.

Wakurya nao sikuhizi utawakuta waislam kina Mohammed, Abdallah, n.k.

Wapare ni kawaida sana kuwakuta waislam.

Wahehe wa Iringa waislam wapo wa kutosha tu na hata ukoo wa Chifu Mkwawa kwa dini ni Waislamu.
Mmalila muislamu hayupo na hatakuwepo maana wanaamini waisilamu ni wachawi
 
Wangoni.

Ni nadra sana kumkuta muislamu, na hata kwenye ukristo, wengi wako Roman, madhehebu mengine ni wachache sana.
 
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai
ni kitu najivunia umasai fahari yangu..
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji..
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Nadumisha mila vile wengine washashindwa.
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai
Tamaduni yenye nguvu iliyobaki Afirika.

MR EBO - MI MMASAI
 
Wajita wengi wao ni Sabato.
Hii ni almost kwa makabila yote ya Mara, lakini pia wapo wakatoliki ambao wengi huwa viongozi maarufu na kushikilia idara nzito za jeshi kama kina Nyerere (mzanaki), Mabeyo (mjita), n.k.
 
Miaka ya mwishoni mwa 1980 mpaka mwaka 2000, kulikuwa na kampeni kubwa ya kuuneza uislam maneno ambayo hayakuwa na waislam. Pesa hiyo ilitoka huko kwa Waarabu, tena ni wale waislam wenye misimamo mikali. Hicho ndicho kipindi ambacho akina Mwaipopo waliingia, na kulikuwa na vurugu nyingi za kidini, zikihusisha mihadhara ya waislam ya kuukashfu ukristo, walikuwa wanachoma mpaka makanisa na Biblia.
 
Back
Top Bottom