Imekuwa ni nadra sana kukuta waislam katika makabila haya

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,455
1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame
2. Masai
3. Wakinga
4. Wangoni
5. Wajita
6. Wagogo

Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, makocha kina Juma Mwambusi, na mitaani wapo wenye majina yote ya kiarabu.

Wakurya nao sikuhizi utawakuta waislam kina Mohammed, Abdallah, n.k.

Wapare ni kawaida sana kuwakuta waislam.

Wahehe wa Iringa waislam wapo wa kutosha tu na hata ukoo wa Chifu Mkwawa kwa dini ni Waislamu.
 
Ukimwona mnyakyusa shekhe, kuna pesa ya uhakika hasa, ameifuata. Hawaendi kwa imani, wanafuata pesa. Ni kama Mwaipopo, hakuna uislam wala ushekhe pale, alifuata pesa. Mtu anatangaza kusilimu leo, mwezi ujao anakuwa shekhe. Mwaipopo alichukuliwa wakati ule wa Mwinyi, walipoingia wale wa itikadi kali.

Wahaya, kuna maeneo kumekuwepo na waislam wengi kiasi. Wakati ule Rugambwa wa kwanza akiwa kadinali, Hemed bin Juma bin Hemed alikuwa mufti wa Tanzania, na wote walikuwa wanatoka Kagera. Mikoa ya bara karibia yote, ukiondoa mikoa kama Tabora na Kigoma iliyokuwa vituo vya waarabu kununulia watumwa, iliyobakia ina idadi ndogo ya waislam, bila ya kujali ni kabila gani.
 
ninawajua wanyakyusa waislamu na wanaipenda dini yao swala tano, halafu wengi ni wa Kyela lakini ni ngumu sana kukuta wanyakyusa waislam wanaotokea Rungwe.

Halafu Kagera sio kwamba ni wahaya tu, kuna wanyambo pia.
 
1. Wachaga
2. Masai
3. Wahaya
4. Wakinga

Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, na mitaani wapo wenye majina yote ya kiarabu.

Wakurya nao sikuhizi utawakuta waislam kina Mohammed, Abdallah, n.k.

Wapare ni kawaida sana kuwakuta waislam.

Wahehe wa Iringa waislam wapo wa kutosha tu na hata ukoo wa Chifu Mkwawa kwa dini ni Waislamu.
Wahaya waislam mbona wengi sana!
 
Ukimwona mnyakyusa shekhe, kuna pesa ya uhakika hasa, ameifuata. Hawaendi kwa imani, wanafuata pesa. Ni kama Mwaipopo, hakuna uislam wala ushekhe pale, alifuata pesa. Mtu anatangaza kusilimu leo, mwezi ujao anakuwa shekhe. Mwaipopo alichukuliwa wakati ule wa Mwinyi, walipoingia wale wa itikadi kali.

Wahaya, kuna maeneo kumekuwepo na waislam wengi kiasi. Wakati ule Rugambwa wa kwanza akiwa kadinali, Hemed bin Juma bin Hemed alikuwa mufti wa Tanzania, na wote walikuwa wanatoka Kagera. Mikoa ya bara karibia yote, ukiondoa mikoa kama Tabora na Kigoma iliyokuwa vituo vya waarabu kununulia watumwa, iliyobakia ina idadi ndogo ya waislam, bila ya kujali ni kabila gani.
Ebu changanua wanapataje pesa kwenye uislam? Maana huku pagumu ktk imani yetu! Na watu wagumu kutoa pesa huku.. ebu tueleze hao wanapataje pesa huko kwenye uislam
 
Kaka hakuna mnyakyusa mwislam 99% ni wakristo. Unyakyusani msikiti ni laaana
Nina marafiki wanyakyusa waislam kina Hamisi, Ibrahim, Abdul, n,.k na nikupe siri wanyakyusa wa Rungwe ni ngumu sana kuwakuta waislam lakini kwa Kyela wapo, mifano kina Azizi Andambwile anacheza Yanga, Pia wapo kina Shehe Mwaipopo
 
1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame
2. Masai
3. Wahaya
4. Wakinga

Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, na mitaani wapo wenye majina yote ya kiarabu.

Wakurya nao sikuhizi utawakuta waislam kina Mohammed, Abdallah, n.k.

Wapare ni kawaida sana kuwakuta waislam.

Wahehe wa Iringa waislam wapo wa kutosha tu na hata ukoo wa Chifu Mkwawa kwa dini ni Waislamu.
Ht wanyakyusa? Wakinga, wabena....makabila mengi tu ukiwakuta ni ile tu mtu kajianzia ukubwani kabadirisha lkn sio asili
Musilim ni pwani huko na kanda ya kati sio wote(tabora) yaani maeneo maeneo unagusa
 
Wanyakyusa wapo waislam swala tano, wakinga bado ni nadra sana, wabena nao ni kama wahehe tu, hata lugha zinafanana, wahehe original ni wabena lakini hapo baadae wakagawanyika.

Ndivyo dini zinavyoingia, hata mababu zetu walianza kuingia kwenye hizi dini ukubwani
 
Nina marafiki wanyakyusa waislam kina Hamisi, Ibrahim, Abdul, n,.k na nikupe siri wanyakyusa wa Rungwe ni ngumu sana kuwakuta waislam lakini kwa Kyela wapo, mifano kina Azizi Andambwile anacheza Yanga, Pia wapo kina Shehe Mwaipopo
Ht hao wameingua huko ukubwani lkn sio asili
 
Ebu changanua wanapataje pesa kwenye uislam? Maana huku pagumu ktk imani yetu! Na watu wagumu kutoa pesa huku.. ebu tueleze hao wanapataje pesa huko kwenye uislam
Kotekote inategemea na uchangamfu wa akili yako, ubafikiri wachungaji wote wana hela?
wapo masheikh wanauza dawa za kisunna na mafuta kama ya mwamposa, wanapiga pesa fresh tu
 
Ndo namwambia hao anawaona ni wale wameingua ukubwani hivi
Iri yenyewe mkwawa alioa musilim ndo maana napo sio kihivyo wahehe wa kuhesabu
Wabena, wakinga no way
Hivi kuingia dini ukubwani kuna tatizo ?

Hata babu zetu wengi waliingia hizi dini mpya wakiwa wakubwa, kuna tatizo ?
 
Back
Top Bottom