Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Kwani Biblia imeandikaje kuhusu uaskofu hata uone hawa wawili wana hadhi tofauti?
Nilicheka sana aliposema yeye alikuwa anamkemea askofu mkuu mwenzake Pengo, nikajisemea moyoni kwamba labda naye ni punguani kama dada yetu Faiza. Anafananisha uaskofu wake na ule wa Pengo?!