alexanderdimoso
Member
- Mar 24, 2015
- 48
- 13
Tulia Polisi wafanye kazi yao,usituletee mada zisizo na kichwa wala miguu
Naam umesema sahihishetani ni wewe na mama yako na dini lako la kipagani na ufreemason. Hujui wewe
Tena njoo unisindikize Airport, In sha Allah nikiwa hai Ramadhan hii nakwenda kuwapikia wanangu na wajukuu zangu futari Canada.
Kwa yale matusiMuda ukifika kila kitu kitakuwa wazi hizi ni changanyamoto za kawaida Gwajima anatakiwa kufuata maagizo ya vyombo vya usalama .haki inaweza kuchelewa lakini lazima ipatikane.
mkuu usiongee hivyo kwa ushabiki nchi hii unaifahamu vizuri na watu waliotukana hadharani kabisa ..je unakumbuka Paul makonda na wanasiasa walivyo tukanana mpaka mtu anaambiwa anafikiri kwa kutumia matako kwa nn wasichukuliwe hatua? usiongee kwa ushabiki kakaKwa yale matusi
nchi za watu wenye akili timamu
unafungwa maisha au unahukumiwa kifo.
huyu kwenye jamii hafai.
watoto wanajifunza nini kwa muhuni kama yule
Huna ujualo kuhusu uendeshwaji wa makanisa bora ukakaa kimya tuHela za kanisa ni hela za umma kama ambavyo za serikali ni za umma.Huwa kila kanisa lililolosajiliwa lina wajibika kuandaa mahesabu ya kila mwaka ya fedha na mali na ripoti za utendaji na kuzipeleka kwa msajili aliyetoa usajili.
Kama hesabu hizo zilikuwa haziandaliwi na kukaguliwa na wakaguzi wa nje analo bichi zima zima.
you bastard...!! Can u separate insulting pengo & rc..?
Can u insult jk in public ukasema hujamtukana rais wa nchi au mwenyekiti wa ccm...?
Do you know who is cardinal...!!? Kima wewe...!!!
Unaweza mtenganisha pengo na rc...!!? Ndio utajua sasa rc ni nn..na gwajima atapotea ww ukiona...hapata kuwa na wa kumsaidia...mawakili watamlia fedhaaaa, then atakwisha, soon his properties will be seized....gwajima hakuitukana serikali...alimtukana pengo...pengo is rc to genes...sasa kwnn serikali inammaliza..!!? Huelewei ww pimbi...rc ni kitu hatari sana, dunia nzima...!!
Gwajima ni shetani....matendo yake ya kishetani....maisha yake ya kifahari kupitiliza ya kishetani....muumini wa Mungu haishi kama yeye...!!!
Gwajima anahusika na drug deals....Polisi wanajua hilo sana tu..ndio maana Gwajima anatetemeka sana kuelezea mapato yake kihalali..polisi wanajua anahusikana na madawa ya kulevya...so wameanza step by step...na watamkamata....keep tuned..!!! Gwajima hana makanisa...hana hata jengo la kanisa...Askofu gani asiye na makanisa hata mikoani..hata hapa Dar hana kanisa...ndio ujiulize...where is he getting all monies while his FOLLOWERS NI MASKINI WA KUTUPA...waumini wake 98% ni maskini wa mlo mmoja..
Isitoshe, Gwajima alikuwa analiona ROMAN CATHOLIC JUU JUU TU... sasa ndio atajua RC ni kitu hatari sana duniani...he will perish soon...!!! RC si mchezo, very soon atapotea kabisa..na mali zake zooooote zitakamatwa...tht will be the end of Gwajima..!!!
Hela za kanisa ni hela za umma kama ambavyo za serikali ni za umma.Huwa kila kanisa lililolosajiliwa lina wajibika kuandaa mahesabu ya kila mwaka ya fedha na mali na ripoti za utendaji na kuzipeleka kwa msajili aliyetoa usajili.
Kama hesabu hizo zilikuwa haziandaliwi na kukaguliwa na wakaguzi wa nje analo bichi zima zima.
mkuu usiongee hivyo kwa ushabiki nchi hii unaifahamu vizuri na watu waliotukana hadharani kabisa ..je unakumbuka Paul makonda na wanasiasa walivyo tukanana mpaka mtu anaambiwa anafikiri kwa kutumia matako kwa nn wasichukuliwe hatua? usiongee kwa ushabiki kakaKwa yale matusi
nchi za watu wenye akili timamu
unafungwa maisha au unahukumiwa kifo.
huyu kwenye jamii hafai.
watoto wanajifunza nini kwa muhuni kama yule
Serikali haita shida kwa xhochote dhidi ya kesi hii mbele ya Mungu" maana hapa kuna chuki binafsi za kisiasa na mteule wa Mungu. Ngoja tuone, tena ningeomba Gwajima ungeachana na ma- wanasheria ungemwachia Mungu ili awe nwanasheria wako tu mbele ya Mungu kitu cha haki anakipigania.
Tumia akili we mmama,, au unatafuta bwana nini humu,, au unahemewa saiv wewe!
Naam hapan shaka weweHujui unachokiongea ila unaropoka tu kama mtoto mdogo
Wampeleke CAG wakafanye mahesabu ya kanisa wakiisha waende Rc