Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Status
Not open for further replies.
Gwajima ni shetani....matendo yake ya kishetani....maisha yake ya kifahari kupitiliza ya kishetani....muumini wa Mungu haishi kama yeye...!!!

Gwajima anahusika na drug deals....Polisi wanajua hilo sana tu..ndio maana Gwajima anatetemeka sana kuelezea mapato yake kihalali..polisi wanajua anahusikana na madawa ya kulevya...so wameanza step by step...na watamkamata....keep tuned..!!! Gwajima hana makanisa...hana hata jengo la kanisa...Askofu gani asiye na makanisa hata mikoani..hata hapa Dar hana kanisa...ndio ujiulize...where is he getting all monies while his FOLLOWERS NI MASKINI WA KUTUPA...waumini wake 98% ni maskini wa mlo mmoja..

Isitoshe, Gwajima alikuwa analiona ROMAN CATHOLIC JUU JUU TU... sasa ndio atajua RC ni kitu hatari sana duniani...he will perish soon...!!! RC si mchezo, very soon atapotea kabisa..na mali zake zooooote zitakamatwa...tht will be the end of Gwajima..!!!

Leta uthibitisho wa tafiti zako juu ya % za umaskini wa waumini siyo unakunya tu unayoyajua mwenyewe, Catholic Ni dini ya mashetani hata wangeungana na selikali zote Duniani hawawezi kumpoteza Gwajima, yule Ni mtu aliyetumwa na Mungu kuzipindua falme za mashetani ikiwemo Catholic, hivyo humumwezi hata mfanyaje. Hilo la umaskini Ni uongo mtupu na uozo wa ubongo wako, viongozi na wafanya biashara wakubwa wa Japan I,uingereza,marekani,south afrika nk Ni waumini wake wewe umeshafanya tathmini mpaka kwenye mataifa hayo? Malizia hicho unachofanya kwanza ndo utaweza kutafakari vizuri, Gwajima hafanani na wewe wala viongozi wako viazi
 
gwajima kayataka mwenyewe makuuu badala yakutukia kachokoza nyuki sasa wanatimka sana urais mwaka huu ni mbaya sana kuliko mwaka wowote watu wako tayar ufe ili mtu apite we jifanye rafik wa rais flan hv anaye utafta urais ccm siku zako zitahesabika kama unamadhara kwao take care.
 
Leta uthibitisho wa tafiti zako juu ya % za umaskini wa waumini siyo unakunya tu unayoyajua mwenyewe, Catholic Ni dini ya mashetani hata wangeungana na selikali zote Duniani hawawezi kumpoteza Gwajima, yule Ni mtu aliyetumwa na Mungu kuzipindua falme za mashetani ikiwemo Catholic, hivyo humumwezi hata mfanyaje. Hilo la umaskini Ni uongo mtupu na uozo wa ubongo wako, viongozi na wafanya biashara wakubwa wa Japan I,uingereza,marekani,south afrika nk Ni waumini wake wewe umeshafanya tathmini mpaka kwenye mataifa hayo? Malizia hicho unachofanya kwanza ndo utaweza kutafakari vizuri, Gwajima hafanani na wewe wala viongozi wako viazi

Duuuh! mtu kama huyu akiambiwa na Gwajima kuwa anafufua basi anaamini, hali yakuwa Yesu mwenyewe alikuwa anaomba idhini kwa 'Baba'
 
Nilicheka sana aliposema yeye alikuwa anamkemea askofu mkuu mwenzake Pengo, nikajisemea moyoni kwamba labda naye ni punguani kama dada yetu Faiza. Anafananisha uaskofu wake na ule wa Pengo?!

ndio hawafanani maana wa pengo ni propaganda injili hamna pale
 
Mwisho wananchi wote tutacgunguzwa...lakin mbona viongozi wengi wanaogopwa kuchunguzwa?hususa wa serikali?
 
Serikali haita shida kwa xhochote dhidi ya kesi hii mbele ya Mungu" maana hapa kuna chuki binafsi za kisiasa na mteule wa Mungu. Ngoja tuone, tena ningeomba Gwajima ungeachana na ma- wanasheria ungemwachia Mungu ili awe nwanasheria wako tu mbele ya Mungu kitu cha haki anakipigania.

Dah! Imani yako ni tofauti na Gwajima. Mwenzio aliagiza silaha
 
Naanza kuelewa sasa Tanzania sio nchi ya amani hata kidogo, kama mtu anayeliombea Taifa kila siku na serikali ni shahidi anazungushwa hivi, mara njoo kesho, na mambo fulani, ni bora nchi ijue sasa kumbe kuna watu wanamalizwa kila siku kimya kimya na dola. Gwajima ana bahati kweli na katika hili naweza kukiri hata mm huyu bwana anamtumikia Mungu, yani serikali imeamia kwa mtu mmoja, polisi nao wanaangalia hapo, najua sio wivu wa helikopta maana hata nyie mnazo, ila ujanja wenu ni kunyamazisha wenye sauti kabla ya uchaguzi. Sio vyema lakini, kosa kubwa mnalosahau ni kwamba huwezi lazimisha utii, wala kuaminiwa na watu, mwoga ukimtisha sana badae anakuwa jasiri, sikilizia akianza kulipa sasa, Dunia imewaangalia kwa macho yote, nanyi bila kujua kwamba mambo yenu mpaka ya sirini yanawekwa wazi, nyaraka za mawaziri zitangulie kwanza kabla ya maaskofu. Jambo hili likataliwe na kila mtu, OLE WENU JAMBO BAYA LIMPATE HUYU MTU.

Inaonekana kuna mgombea alipanga kumpandisha gwajima jukwaani kama mrema alivyompadisha kakobe!!!!
 
Huyu Gujima/ Gwajima anatumia kitu gani mpaka watu wanakuwa vipofu namna hii?
Yani pamoja na busara finyu alizoonyesha kwa maneno aliyotoa lakini bado wafuasi wake tena wana akili timamu wanaendelea kumuunga mkono bila kupima. mtu kama kiongozi wako anaropaka hivyo ila bado wamuunga mkono mpaka maandamano!! Nadhani kuna jamboa anawafanyia si bure nyie. Ona sasa walet mada ya kulalamika eti, badala ya kushukuru kuwa sasa ntaendesha kanisa wenywewe kwa kufuata haki unaanza lalamika,
 
Naam umesema sahihi
Shetani ni mtu
na utamjua kwa matendo yake..
kwa mfano.
1.Kutembea na wake za watu
2.kutapeli umma kwamba unafufua wafu
3.kuuza madawa ya kulevya
4.kutukana hadharani
kwa hayo matatu 4 ambayo gwajima kayafanya
basi yeye ni shetani kasoro mkia tu.:smile-big:

Uhahahaaa wanajitua ujeuri wakati wanaelewa sana!!
 
Acha kuweweseka wewe, mwachie mwenyewe atalimaliza tu.
Umesahau alivyoutangazia umma wa Watanzania kuwa haogopi Serikali, Mahakama wala Askari.? Nashangazwa na wehu kama wewe wanaotetea hata kama mtu kakosea.

Kwani ulitaka aogope askari au mahakama kwa kosa lipi?
Alafu kinachoendelea ni kesi ipi maana kama ni kesi ya kumtusi pengo sijasikia wakimhoji, hii inaashiria kuna mtu nyuma ya hii issue maana serikali yetu hua ni serikali ya visasi tu, mtu akikuona wewe ni influential speaker pia ni potential UKAWA basi jua atafanya kila jambo akuondoe, huu ni ujinga kufanya siasa za kijinga sana tena inatia kinyaa kweli kweli.
 
Kwani ulitaka aogope askari au mahakama kwa kosa lipi?
Alafu kinachoendelea ni kesi ipi maana kama ni kesi ya kumtusi pedngo sijasikia wakimhoji, hii inaashiria kuna mtu nyuma ya hii issue maana serikali yetu hua ni serikali ya visasi tu, mtu akikuona wewe ni influential speaker pia ni potential UKAWA basi jua atafanya kila jambo akuondoe, huu ni ujinga kufanya siasa za kijinga sana tena inatia kinyaa kweli kweli.

Mkuu wala sioni kwa nini utoke povu Si utulie kimya vyombo viweke mambo hadharani?
Ukiendelea utajidharirisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom