Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Status
Not open for further replies.
Tatizo ni Kwamba alisha ikashfu serikali na Kusema Hamuogopi Pengo Wala Serikali...Na istoshe kwan Huyu Cjui Gwajima cjui nan...Inaonekana Kazi anayoifanya Haiendani Na Mapato Yake...Mapato makubwa kuliko Kazi...Kuna kitu Nyuma Ya ..Pazina No One Knows Acha Serikali ifanye Yake
 
Jamani dini ni ulevi pia, tena mbaya sana ukinaswa nao...ww UNAMWONGELEA MUNGU YUPI..!??

Mungu wa aina gani huyo..!? ana kaa wapi?, yukoje? anaabudiawaje huyo..? Mungu wa kitabu kipi..!? Uliwahi muona..!? anaishi maisha ya Gwajima.? Ana helicopter, hammer..!? anafanya ufuska wa kuvunja ndoa za watu..!? Unamtamka tu Mungu usikute humjui...ndio tatizo, unamsingizia tu Mungu usiye mjua MAMBO YA SHETANI...!!! Umelewa dini, sasa unaongea tu, bila hata kumjua huyo Mungu, kumbe unamtumikia shetani Gwajima....

Mungu aliagiza mchungaji auze dawa za kulevya...!!? umelewa sana dini ya shetani ww, WACHA SERIKALI IMUONYESHE KAZI SASA......ulikuwa unashangilia maneno ya kishetani ya Gwajima bado tu hujaelewa..!!? pampers unaijua ww...!!?

Sasa ni zamu ya Kaizari kufanya yake....Serikali itamuonyesha na kumfunza adabu....!![/QU

Mjomba tumia akili wala usitumie nguvu ya ushabiki unaonekana hujui kitu.....
 
mkuu usiongee hivyo kwa ushabiki nchi hii unaifahamu vizuri na watu waliotukana hadharani kabisa ..je unakumbuka Paul makonda na wanasiasa walivyo tukanana mpaka mtu anaambiwa anafikiri kwa kutumia matako kwa nn wasichukuliwe hatua? usiongee kwa ushabiki kaka
Sawa
ila huyu ni drug dealer.
Ushahidi umetoka CHINA
Vyombo vya Tanzania vya Usalama ni Smart kuliko unavyofikiri.
Je? wewe unafikiri je?

 
Kwani wewe rc hela wanazopokea wameshaambiwa wapeleke polisu ila hiki kipindi itajulikana tusubiri coz hadi uchaguzi upite yapo mengi mapya na yazamani yatajulikana
 
Ukiona umefikia hatua ya kutoa matusihumu ujue kuwa kunaukweli umeshaujua na umeshaelewa nini kilichopo hivyo roho inaumasana unapojua ukweli alafu unajaribu kutumiakila njia kugeuza ukweli uwe properganda .
Natumia kauli hii "kalalee zako Mzee"

Huna hata uwelewa bado unarudi katika ushabiki usioujua .kwani Mch.J.Gwajima amemkemea pengo au ametukana kanisa katoliki?kuhojiwa malizake binafsi unafurahia ulifikirihata akitoa nyaraka kunaambayo feki? Kama aliweza kumkemea MTU hadharani hata kutoa nyaraka hadharani hashindwi Bali sheriahiyo sio na haipo kwakosa na kumkrmea MTU unaambiwa utoe nyaraka za Mali wapi kwa wapi?lazma u daut!

Mr President kalalee mzee
 
You bastard...!! can u separate insulting Pengo & RC..?

Can u insult JK in public ukasema hujamtukana RAIS wa nchi au mwenyekiti wa CCM...?

Do you know who is CARDINAL...!!? kima wewe...!!!

Unaweza mtenganisha PENGO NA RC...!!? Ndio utajua sasa RC ni nn..na Gwajima atapotea ww ukiona...hapata kuwa na wa kumsaidia...mawakili watamlia fedhaaaa, then atakwisha, soon his properties will be seized....Gwajima hakuitukana serikali...alimtukana Pengo...Pengo is RC to genes...sasa kwnn SERIKALI INAMMALIZA..!!? huelewei ww pimbi...RC ni kitu hatari sana, dunia nzima...!!

Mr President unachanganya mambo, nimekuwa nikifuatilia comments hii imenikera na kuonyesha ulifvyo na akiri fupi, ndio fupi kufikiri!! Napata shaka sana na uwezo wako wa kufikiri, kwamba Askofu Pengo ndiye RC!!! Poor you rafiki!!

Ngoja niseme kama Ngajima ishia zako we dada, uwezo wako wa kufikiri ni mdogo we dada, kalale we dada... Usibwayebwaye hapa na maharage yako uliyokula!!

Pengo ametukasirisha sana wakatoriki na kwa taarifa wajumbe kutoka Vatcan wapo nchini kufuatilia upuuzi alioufanya Pengo!! Na mimi nasema wamtimue tu, maana tumechoka sasa na matamshi yake anayotumiwa aende zake tu..
 
Tatizo ni Kwamba alisha ikashfu serikali na Kusema Hamuogopi Pengo Wala Serikali...Na istoshe kwan Huyu Cjui Gwajima cjui nan...Inaonekana Kazi anayoifanya Haiendani Na Mapato Yake...Mapato makubwa kuliko Kazi...Kuna kitu Nyuma Ya ..Pazina No One Knows Acha Serikali ifanye Yake

hahahah we una nidhamu ya uoga kwa serikali afu unalilia mabadiliko.
 
Suala la muda tu, Mh. Lowasa akiingia ikulu, hii mikwala mbuzi anayopigwa Gwajima ndio mwisho wake, hapa vita ni vya Lowasa na wala sio Gwajima ana matatizo.
 
Naanza kuelewa sasa Tanzania sio nchi ya amani hata kidogo, kama mtu anayeliombea Taifa kila siku na serikali ni shahidi anazungushwa hivi, mara njoo kesho, na mambo fulani, ni bora nchi ijue sasa kumbe kuna watu wanamalizwa kila siku kimya kimya na dola. Gwajima ana bahati kweli na katika hili naweza kukiri hata mm huyu bwana anamtumikia Mungu, yani serikali imeamia kwa mtu mmoja, polisi nao wanaangalia hapo, najua sio wivu wa helikopta maana hata nyie mnazo, ila ujanja wenu ni kunyamazisha wenye sauti kabla ya uchaguzi. Sio vyema lakini, kosa kubwa mnalosahau ni kwamba huwezi lazimisha utii, wala kuaminiwa na watu, mwoga ukimtisha sana badae anakuwa jasiri, sikilizia akianza kulipa sasa, Dunia imewaangalia kwa macho yote, nanyi bila kujua kwamba mambo yenu mpaka ya sirini yanawekwa wazi, nyaraka za mawaziri zitangulie kwanza kabla ya maaskofu. Jambo hili likataliwe na kila mtu, OLE WENU JAMBO BAYA LIMPATE HUYU MTU.

He. Unaitisha dola! Dola mimi na wewe kuwa salama na mali zetu. Mtu kuhojiwa ni kawaida.una jazba punguza kidogo
 
Hivi watu mnaoshabikia hili mnajua lakini huo mkakati tunaousikia juu ya huyo mchungaji askofu gwajima?Watanzania ni muda wa kuamka kutoka kwenye usingizi kwa kweli ulimwengu sasa kwa hili unaanza kufumbua macho hata watu wa nchi za mbali nao wanafumbua macho
 
Askofu Gwajima utawajua sasa, marafiki wako wa kweli au wanafiki na maadui zako katika hili !

Je,nabii Mwingira yupo ?
 
Hivi watu mnaoshabikia hili mnajua lakini huo mkakati tunaousikia juu ya huyo mchungaji askofu gwajima?Watanzania ni muda wa kuamka kutoka kwenye usingizi kwa kweli ulimwengu sasa kwa hili unaanza kufumbua macho hata watu wa nchi za mbali nao wanafumbua macho

Mkakati gani? Weka mambo hadharani. Watu wa mbali ndio wanasimsmia sheria za tz?
 
Jamani dini ni ulevi pia, tena mbaya sana ukinaswa nao...ww UNAMWONGELEA MUNGU YUPI..!??

Mungu wa aina gani huyo..!? ana kaa wapi?, yukoje? anaabudiawaje huyo..? Mungu wa kitabu kipi..!? Uliwahi muona..!? anaishi maisha ya Gwajima.? Ana helicopter, hammer..!? anafanya ufuska wa kuvunja ndoa za watu..!? Unamtamka tu Mungu usikute humjui...ndio tatizo, unamsingizia tu Mungu usiye mjua MAMBO YA SHETANI...!!! Umelewa dini, sasa unaongea tu, bila hata kumjua huyo Mungu, kumbe unamtumikia shetani Gwajima....

Mungu aliagiza mchungaji auze dawa za kulevya...!!? umelewa sana dini ya shetani ww, WACHA SERIKALI IMUONYESHE KAZI SASA......ulikuwa unashangilia maneno ya kishetani ya Gwajima bado tu hujaelewa..!!? pampers unaijua ww...!!?

Sasa ni zamu ya Kaizari kufanya yake....Serikali itamuonyesha na kumfunza adabu....!![/QU

Mjomba tumia akili wala usitumie nguvu ya ushabiki unaonekana hujui kitu.....

Malkia Mrembo, mimi nafikiri kama hizi shutuma unazozitoa hapa ndio zingekuwa za kwanza kwa Jeshi la Polisi kumtuhumu nazo Ngajima, lakini kwa sababu hakuna ukweli wowote ndio maana wameachana nazo!! Tusilete chuki kwa ajili ya watu wa Mungu, kama huyu Ngajima anamtumikia Shetani iweje kanisa lake liwe moja wapo ya makanisa yanayounda umoja wa wakristo Tanzania?? Swali kwako Malkia mbingu inamaana haya makanisa yote ya Kikristo yaliyotengeneza umoja huo hayana Mungu mpaka yashindwe kugundua kuwa Ngajima anamtumikia shetani??

Malkia wa mbingu ni vizuri ufanye utafiti kabla hujamshutumu mtu ambaye ana follower wengi ndani na nje ya nchi!! Napata shida kukuelewa na kusadiki comments zako kwani hata jina lako nalitilia shaka.
 
Gwajima ni nani,hacheni propaganda,ujinga wake kaufanya adharani,acha sheria ichukue mkondo wake,ni jambo la kawaida,pale unapokua na kesi(tuhuma),polisi kukuchunguza(safari moja uanzisha nyingine),mbona sheikh ponda ana tuhuma nyingi,na watu wako kimya
 
Mkakati gani? Weka mambo hadharani. Watu wa mbali ndio wanasimsmia sheria za tz?

mkuu ukielekea ktk sheria unakosa hoja kwa sababu mpaka sasa jopo la mawakili tumemwandikia barua kova aeleze ni kipengere gani kimemruhusu..kimsingi hakuna kipengere boss wangu hata kimoja watu hawaijui sheria pia jua kuwa kwa gwajima hakuna kesi pale yaani malalamiko yale hayana mashiko coz itasomwa kama mawazo yake gwajima na aaminivyo yy ndio maana jopo la mwakili wanaikimbilia hii kesi wahusike kwa sababu kushinda ni njenje..alafu unaipiga faini serikali na pesa inatoka na maisha yanaendelea.
ila nimekupenda kwa sababu unahekima na huna jazba mtanzania mwenzang
 
U failed to understand....kwanza i hv the longest dick...outclasses urs, by everything...physic & evrthng...u name it..!!!

Pengo katumia UMBRELLA YA RC kumaliza Gwajima WETHER KAIUDHI RC or hajaiudhi....PENGO thru RC katumia SERIKALI....kummaliza Gwajima, again kama
kaenda kinyume na RC au la kwa kutumia SERIKALI...
HENCE PENGO = RC....directly...hata kama kaiudhi msimamo wa kanisa...kwani Pengo angekuwa raia wa kawaida wala isingekuwa na shida....jua hilo

So in wars ni kushinda kwa njia yoyote ile.....GWAJIMA wengi hatumtaki kwa matendo yake maovu, anauza dawa...anaishi maisha ya kifahari
So kwa wale wengi tunaomchukia kwa ushetani wake,
LEO KAPATA MOTO WAKE....our focus sio PENGO AU
RC...as long Pengo under umbrella ya RC hata RC ione kaenda kinyume na kanisa kammaliza Gwajima, hilo ndio LENGO LETU....!!!

Lengo Gwajima amalizwe hukooo...ya PENGO NA RC mtajuana hukooooo, hayatuhusu..

Umelewa or umeelewa...!!?


Mr President unachanganya mambo, nimekuwa nikifuatilia comments hii imenikera na kuonyesha ulifvyo na akiri fupi, ndio fupi kufikiri!! Napata shaka sana na uwezo wako wa kufikiri, kwamba Askofu Pengo ndiye RC!!! Poor you rafiki!!

Ngoja niseme kama Ngajima ishia zako we dada, uwezo wako wa kufikiri ni mdogo we dada, kalale we dada... Usibwayebwaye hapa na maharage yako uliyokula!!

Pengo ametukasirisha sana wakatoriki na kwa taarifa wajumbe kutoka Vatcan wapo nchini kufuatilia upuuzi alioufanya Pengo!! Na mimi nasema wamtimue tu, maana tumechoka sasa na matamshi yake anayotumiwa aende zake tu..
 
Gwajima hayuko juu ya sheria
Kwa kuanzia kama kanisa lenu limeandikishwa kisheria basi ulitakiwa kujua kuwa mapato na matumizi inabidi yajulikane serikalini.
Siyo mnajiingiza katika biashara haramu halafu mnajidai ati ni kanisa.

Acha kujitekenya we JOKA LA MAKENGEZA jibu swali.
Gwajima kavunja sheria ipi???????????????????????
 
mkuu ukielekea ktk sheria unakosa hoja kwa sababu mpaka sasa jopo la mawakili tumemwandikia barua kova aeleze ni kipengere gani kimemruhusu..kimsingi hakuna kipengere boss wangu hata kimoja watu hawaijui sheria pia jua kuwa kwa gwajima hakuna kesi pale yaani malalamiko yale hayana mashiko coz itasomwa kama mawazo yake gwajima na aaminivyo yy ndio maana jopo la mwakili wanaikimbilia hii kesi wahusike kwa sababu kushinda ni njenje..alafu unaipiga faini serikali na pesa inatoka na maisha yanaendelea.
ila nimekupenda kwa sababu unahekima na huna jazba mtanzania mwenzang

Tusubiri. Wakikosa kesi kuna haja ya kudai. Ila mmeanza kufikia uamuzi wakati ameambiwa apeleke nyaraka flani wazione ili kuona yuko safi. Tusiende haraka maana hayuko sero, tuipe dola muda inamtakasa kama hana tatizo
 
Tatizo ni Kwamba alisha ikashfu serikali na Kusema Hamuogopi Pengo Wala Serikali...Na istoshe kwan Huyu Cjui Gwajima cjui nan...Inaonekana Kazi anayoifanya Haiendani Na Mapato Yake...Mapato makubwa kuliko Kazi...Kuna kitu Nyuma Ya ..Pazina No One Knows Acha Serikali ifanye Yake

Kwanini uiogope serikali, serikali utaiogopa kama njia zako sio safi!! HATA MIMI NASEMA SIOGOPI SERIKALI WALA POLISI, maana njia zangu zimenyoka! Mtu anayeogopa serikali na polisi ni lazima tuwe na walakini na njia zake!! Magazeti yalireport ufafanuzi wa Askofu Ngajima alioutoa kwenye ibada yake ya Pasaka kwamba kanisa lake limekuwa likifanya shughuli zake za kiroho kwa zaidi ya miaka ishirini sasa!! Serikali na Polisi wanatuonyesha udhaifu wao, kwamba huyu mtu amekuwa akifanya shughuli hizo kwa muda wote huo bila wao kujiongeza kufuatilia kama huduma hiyo imesajiliwa!! Hii inaoneha na kuthibitisha double standards kwa jeshi la Polisi!!

Pili Helcopter imeingia Nchini ikaanza kuoperate inawezekanaje wasijue kama imeingia kihalali au sivyo!! Hii inanifanya niamini kuwa Alshababu wanaweza kutinga nchini na vyombo vya anga polisi watasubiri kuchunguza maafa yakitokea!! Hii ni aibu sana kwa Jeshi la Polisi, ni aibu ni aibu nia aibu ni aibu!!

Zamani kwenye biblia wakuu walipotaka kufanya mashauri au kutekeleza jambo fulani walikuwa wakiita wenye akili wa taifa hilo, sasa sijui hawa wapanga mipango hii kama ni wenye akili wa Tanzania au la, kama ndiyo basi Tanzania tumekwisha!! Na ndio maana kila siku vituo vyetu ya polisi vinavamiwa na kuporwa silaha na hakuna mtu anayekamata, shame on you... Police lets focus kwenye mambo ya msingi na kulinda taifa kuliko kuinvest nguvu na fedha kwa ajili ya Huyu Askofu Gwajima ambaye mimi sioni kama ni threat kwa Nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom