Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Status
Not open for further replies.
Imetusikitisha sana kumbe nyuma ya kashfa alikuwa akidaiwa Askofu Gwajima juu ya Kardali Pengo ilikuwa ni ufunguo tu wa serikali kuingilia Imani na Utendaji wa Viongozi wa kidini (Askofu Gwajima) Iweje kashfa iliyokuwa inamuhusisha Kardinali Pengo na Askofu Gwajima ipelekee kuhojiwa na Kudaiwa alete nyaraka zinazohusiana na mapato na matumizi ya Kanisa la ufufuo na uzima, Kwani makanisa huwendeshwa na ruzuku kutoka serikalini !?, Je!

Kuna kanisa au dhehebu lolote la kidini wawe waislam au wakristo wameisha wahi kuhojiwa kuhusu mapato na matumizi ya madhehebu(makanisa/misikiti) yao!?

Wanapohoji nyaraka za helicopter kwani! Iliingia nchini kwa uficho!?.... Kwanini wasiene kuuliza TRA kama helicopter hiyo haikulipiwa ushuru !?

Kumbe tumegundua serikali na wanasiasa walioko madarakani wanaajenda ya siri juu ya Askofu Gwajima. Nchi yetu ina mambo mengi ya kushughulikiwa na serikali ili kutatua matatizo ya wananchi kama vile vifo vya albino, migogoro ya wakulima na wafugaji, matumizi mabaya ya fedha(ESCROW) na mikataba mibovu isiyo na manufaa kwa mtanzania mmoja mmoja .

Mambo kama haya yangekuwa yanafuatiliwa kwa karibu kama anavyofuatiliwa Askofu Gwajima ingeleta tija kwa uongozi uliopo madarakani na Imani kwa wananchi juu ya serikali yao.

NIA YA WAZI YA SERIKALI IMEJULIKANA

  1. WANAKUSUDIA KUMUANGAMIZA ASKOFU GWAJIMA KWA GHARAMA YEYOTE KABLA YA KAMPENI YA URAIS, WABUNGE NA MADIWANI KUFANYIKA.
  2. ASKOFU GWAJIMA AMEINGIZWA KATIKA ORODHA YA VIONGOZI WA KIJAMII WASIOTAKIWA KUWA HAI HAPA TANZANIA, AKIWEMO DR. SLAA NA LOWASA .
  3. NI KUCHOCHEA VURUGU KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO.

Behind sakata la Gwajima ni Mh Pinda, huyu kiongozi hafai kuwa hata Rais, anatumia madaraka yake vibaya
 
#rosemarie ...

Mark my words...siku movie ikiisha au investigation is completed kuhusu Gwajima...MOJA WAPO YA TUHUMA ZAKE ZITAKUWA NI DAWA ZA KULEVYA...usitake uharaka...vuta subra...then utanikumbuka....we see beyond the ocean...ok..!!


Mr Presdent
wewe ni mtu unaheshimika sana hapa jukwaani,hizo tuhuma za kumhusisha Gwajima na madawa ya kulevya unaweza kuwa na uthibitisho?mimi najua Gwajima anahubiri neno la Mungu kwa ukombozi wa Mwanadamu,siamini hata chembe kama Muhubiri huyu huyu anaweza kuhubiri uponyaji kwa Mwanadamu na hapo hapo akamlisha sumu ya madawa ya kulevyo huyo huyo Mwanadamu,haiingii akilini hata chembe,nakushauri sana kama huna uthibitisho futa kauli yako kwani utajipatia hukumu isiyo na sababu,asante!
 
Huwezi elewa, sbb movie bado HAIJAISHA...utaelewa movie ikiisha....ww uko ktkt ya movie..sie tushamaliza mchezo...
Mark my words, Gwajima kamalizwaa...utaja elewa movie ikiisha...ufinyu wa akili..kamwambie mama yako...YOU ARE NO WHERE CLOSE TO MY IQ....even to think of...tht is for sure...even what i possess, u will never hv, otherwise ur mental dwarfism makes you believe the evils of Gwajima....👌👌 SERIKALI SIO MCHEZO, iwe double au multi standards we don't care....as long lengo litimie...huyu tunae...nyoko zake

Otherwise, Go and get OMEGA 3 supplement to boost ur decayed/dead IQ....u will come out of faint...!!!

Sasa ndio nimeelewa aina ya mtu niliyekuwa nahangaika kujibishana nae!! Kumbe ni kwasababu ya chuki binafsi!! Mbaya sana hii, mtu humjui halafu unaropoka, ngoja waje saizi yako wakujibu kwa matusi
 
Imetusikitisha sana kumbe nyuma ya kashfa alikuwa akidaiwa Askofu Gwajima juu ya Kardali Pengo ilikuwa ni ufunguo tu wa serikali kuingilia Imani na Utendaji wa Viongozi wa kidini (Askofu Gwajima) Iweje kashfa iliyokuwa inamuhusisha Kardinali Pengo na Askofu Gwajima ipelekee kuhojiwa na Kudaiwa alete nyaraka zinazohusiana na mapato na matumizi ya Kanisa la ufufuo na uzima, Kwani makanisa huwendeshwa na ruzuku kutoka serikalini !?, Je!

Kuna kanisa au dhehebu lolote la kidini wawe waislam au wakristo wameisha wahi kuhojiwa kuhusu mapato na matumizi ya madhehebu(makanisa/misikiti) yao!?

Wanapohoji nyaraka za helicopter kwani! Iliingia nchini kwa uficho!?.... Kwanini wasiene kuuliza TRA kama helicopter hiyo haikulipiwa ushuru !?

Kumbe tumegundua serikali na wanasiasa walioko madarakani wanaajenda ya siri juu ya Askofu Gwajima. Nchi yetu ina mambo mengi ya kushughulikiwa na serikali ili kutatua matatizo ya wananchi kama vile vifo vya albino, migogoro ya wakulima na wafugaji, matumizi mabaya ya fedha(ESCROW) na mikataba mibovu isiyo na manufaa kwa mtanzania mmoja mmoja .

Mambo kama haya yangekuwa yanafuatiliwa kwa karibu kama anavyofuatiliwa Askofu Gwajima ingeleta tija kwa uongozi uliopo madarakani na Imani kwa wananchi juu ya serikali yao.

NIA YA WAZI YA SERIKALI IMEJULIKANA

  1. WANAKUSUDIA KUMUANGAMIZA ASKOFU GWAJIMA KWA GHARAMA YEYOTE KABLA YA KAMPENI YA URAIS, WABUNGE NA MADIWANI KUFANYIKA.
  2. ASKOFU GWAJIMA AMEINGIZWA KATIKA ORODHA YA VIONGOZI WA KIJAMII WASIOTAKIWA KUWA HAI HAPA TANZANIA, AKIWEMO DR. SLAA NA LOWASA .
  3. NI KUCHOCHEA VURUGU KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO.

Duuuh! ilo dai la 3 ni kiboko.
Sisi Waislaam tunajua Gwajima hana maana baada ya kudai anafufua.
Yaani ni tapeli mmoja aliye washika shingo wajinga fulani hivii !
vinginevyo mshauri Gwajima awe clean
 
Ni halali kumeita mtu mjinga? Ni ligha nzuri? Unaweza kumwita baba yako mjinga?

Teh teh teh!! Yani unataka kusema Pengo ni baba yake Gwajima teh teh teh!!!
Hivi unafahamu Pengo harususiwi kuoa lakini uache huu utani wako teh teh teh!!!

Any ways kwa hiyo hizo nyaraka anazoombwa Gwajima ndo zina uhusiano gani na hilo neno PENGO MJINGA???
Teh teh teh teh!!!!!

Ila najua imeandikwa "Nabali alikuwa mtu asiyefaa"
Tena imeandinkwa "kulikuwa na tajiri MPUMBAVU vs masikini Razalo"
Nasema imeandikwa "Yesu akamwambia Petro rudi nyuma yangu SHETANI (ujue Petro ndiyo alipewa ukuu wa mitume)"
Na imeandikwa "Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu"

Nasema hiviiiiiiii
Na Nyerere alisema "wapo watu wanakata nchi hii iwe ya kiislam ni WAJINGA na wapo wanataka nchi hii iwe ya kikristo ni WAJINGA", akasema "situmii neno baya nawaita WAJINGA".

Nyerere tena alisema "Kipindi chetu yapo mambo tulifanya ya kijinga, ubaya wenu (kina Kova) mazuri mnayaacha mnachuku ya kijinga".

Nasema walipomuuwa Yesu wakashangilia wakijua wamemkomesha. Ila ndiyo ikawa kinyume sasa, Yesu aliyefufuka likitajwa jina lake tu leo WANAFIKI, WASALITI, WAPUMBAVU, WACHAWI na VIBWENGO VYAO WANAKUWA KATIKA TAHARUKI HATARI.
 
jamani lugha gani mnazotoa zisizo na ahueni yoyote kwani
gwajima aligombana na rc au na mtu mmoja tu pengo iweje leo
mnaning'iniza maneno yote hivyo?

Huyu katukana mpaka Uslaam, pumbavu zake, atajua tu kachumbari ni ya kulumangia tu.
 
  1. NI KUCHOCHEA VURUGU KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO.
[/QUOTE]

Waislamu hatuna mpango wa kugombana na ninyi, nyie malizaneni kimya na serikali na huyo gwajima wenu kama siye tunavyomalizana nayo na masheikh wetu akina Ponda.
Acheni kulialia humu kila siku bana kama amejinasibu kuleta ukidume apambane tu bila mayowe
 
Teh teh teh!! Yani unataka kusema Pengo ni baba yake Gwajima teh teh teh!!!
Hivi unafahamu Pengo harususiwi kuoa lakini uache huu utani wako teh teh teh!!!

Any ways kwa hiyo hizo nyaraka anazoombwa Gwajima ndo zina uhusiano gani na hilo neno PENGO MJINGA???
Teh teh teh teh!!!!!

Ila najua imeandikwa "Nabali alikuwa mtu asiyefaa"
Tena imeandinkwa "kulikuwa na tajiri MPUMBAVU vs masikini Razalo"
Nasema imeandikwa "Yesu akamwambia Petro rudi nyuma yangu SHETANI (ujue Petro ndiyo alipewa ukuu wa mitume)"
Na imeandikwa "Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu"

Nasema hiviiiiiiii
Na Nyerere alisema "wapo watu wanakata nchi hii iwe ya kiislam ni WAJINGA na wapo wanataka nchi hii iwe ya kikristo ni WAJINGA", akasema "situmii neno baya nawaita WAJINGA".

Nyerere tena alisema "Kipindi chetu yapo mambo tulifanya ya kijinga, ubaya wenu (kina Kova) mazuri mnayaacha mnachuku ya kijinga".

Nasema walipomuuwa Yesu wakashangilia wakijua wamemkomesha. Ila ndiyo ikawa kinyume sasa, Yesu aliyefufuka likitajwa jina lake tu leo WANAFIKI, WASALITI, WAPUMBAVU, WACHAWI na VIBWENGO VYAO WANAKUWA KATIKA TAHARUKI HATARI.

Gwajima ndo atajuwa maana ya serikali!
 
Ha ha ha ha, akamuulize kova!! Hapo patamu hapo!! Eti habari za Uaskofu anaulizwa kova hahahahha
Wewe hukumsikia Gwajima naye anashangaa mambo yake ya kumkemea askofu mwenzake Pengo kupelekwa kwa Kova?!
 
Sasa ndio nimeelewa aina ya mtu niliyekuwa nahangaika kujibishana nae!! Kumbe ni kwasababu ya chuki binafsi!! Mbaya sana hii, mtu humjui halafu unaropoka, ngoja waje saizi yako wakujibu kwa matusi

Atakuwa anakujua! .......kuna watu humu JF oooh!
 
tutapiga kelele sana,tatizo ni hela ya kampeni ndo maana tunakaba kila kona,saa hizi ni zamu ya gwajima.sisi na hela,hela na sisi
 
Kwani ubaya uko wapi gwajima kutakiwa apeleke nyaraka za usajili wa kanisa lake make makanisa yote lazima yasajiliwe ndiyo yafanye kazi yeye kasajili?
 
Hela za kanisa ni hela za umma kama ambavyo za serikali ni za umma.Huwa kila kanisa lililolosajiliwa lina wajibika kuandaa mahesabu ya kila mwaka ya fedha na mali na ripoti za utendaji na kuzipeleka kwa msajili aliyetoa usajili.

Kama hesabu hizo zilikuwa haziandaliwi na kukaguliwa na wakaguzi wa nje analo bichi zima zima.

Kwa hiyo CAG wa makanisa ni polisi
 
Maswali ya mapato na matumizi yatawasaidia hata waumini kujua je yale magari ya kifahari na helkopta ni mzali za Gwajima au za kanisa? kama za Gwajima binafsi pesa katoa wapi za kununulia katumia sadaka za waumini au vipi? Kama katumia sadaka za waumini kununua magari na helkopta na kuisajili kibinafsi ni makosa.

Maswali yale pia yatatoa mwanga yale mamilioni ya sadaka zinazokusanywa huwa zinatumika kwa kitu gani ni kwa ajili ya manufaa ya kanisa au Gwajima na viongozi wenzie tu?

Polisi waachwe wafanye kazi yao mwisho wa siku hata waumini wa kwa Gwajima watakuja kushukuru kwa kazi nzuri ambayo polisi wamefanya kazi ambayo isingekuwa rahisi kwa waumini wa Gwajima kuhoji maswali kama ya mapato na matumizi na mali alizonazo maana wangeishia kuwafukuza kanisani kwa kuwaambia kuwa wana misukule mipya ambayo haifai kutolewa zaidi ya kuwatimua kanisani.
Umefafanua vizuri sana!
 
makanisa mengi yaliyoota kama uyoga hapa nchini yanaendeshwa kifisadi,waumini wanatozwa fedha nyingi kama kigezo cha kuombewa,maombezi yanakwenda kulingana na uwezo wa muumini kifedha,sasa waacha wachunguzwe tu mbona wapo wengi?

wapo kina sixbert mkelemi pale Victorious moshi,anautajili usiomithirika,pesa katoa wapi?,acha wachunguzwe tu nao ni mafisadi kama hayo mafisadi ya CCM
 
Kova na wenzake wamekosa PA kushika wanaanza kujishika makalio yao wanadai vitu ambavyo kimsingi hawaeleweki sijui wanatafuta namna ya kujiondoa kiutuzima ili wasionekane hamnazo
 
Lowassa nae yupo kwenye list ya wasiotakiwa hai????duh watakufa wao kwanza!
 
Mnaogopa kuchunguza utajiri wa Ridhiwan leo eti mnamhunguza Gwajima, chunguza na viongozi wengine waliofungua accounts zao Sweeden.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom