Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

Status
Not open for further replies.
Imetusikitisha sana kumbe nyuma ya kashfa alikuwa akidaiwa Askofu Gwajima juu ya Kardali Pengo ilikuwa ni ufunguo tu wa serikali kuingilia Imani na Utendaji wa Viongozi wa kidini (Askofu Gwajima) Iweje kashfa iliyokuwa inamuhusisha Kardinali Pengo na Askofu Gwajima ipelekee kuhojiwa na Kudaiwa alete nyaraka zinazohusiana na mapato na matumizi ya Kanisa la ufufuo na uzima, Kwani makanisa huwendeshwa na ruzuku kutoka serikalini !?, Je! Kuna kanisa au dhehebu lolote la kidini wawe waislam au wakristo wameisha wahi kuhojiwa kuhusu mapato na matumizi ya madhehebu(makanisa/misikiti) yao!?.... Wanapohoji nyaraka za helicopter kwani! Iliingia nchini kwa uficho!?.... Kwanini wasiene kuuliza TRA kama helicopter hiyo haikulipiwa ushuru !?.....Kumbe tumegundua serikali na wanasiasa walioko madarakani wanaajenda ya siri juu ya Askofu Gwajima. Nchi yetu ina mambo mengi ya kushughulikiwa na serikali ili kutatua matatizo ya wananchi kama vile vifo vya albino, migogoro ya wakulima na wafugaji, matumizi mabaya ya fedha(ESCROW) na mikataba mibovu isiyo na manufaa kwa mtanzania mmoja mmoja . Mambo kama haya yangekuwa yanafuatiliwa kwa karibu kama anavyofuatiliwa Askofu Gwajima ingeleta tija kwa uongozi uliopo madarakani na Imani kwa wananchi juu ya serikali yao.
NIA YA WAZI YA SERIKALI IMEJULIKANA
  1. WANAKUSUDIA KUMUANGAMIZA ASKOFU GWAJIMA KWA GHARAMA YEYOTE KABLA YA KAMPENI YA URAIS, WABUNGE NA MADIWANI KUFANYIKA.
  2. ASKOFU GWAJIMA AMEINGIZWA KATIKA ORODHA YA VIONGOZI WA KIJAMII WASIOTAKIWA KUWA HAI HAPA TANZANIA, AKIWEMO DR. SLAA NA LOWASA .
  3. NI KUCHOCHEA VURUGU KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO.
Kweli kabisa kiongozi. Serikali yetu ipo kwaajili ya kuleta matatizo na sio kutatua matatizo. Haiingii akilini mtu umemkashifu mtu badala ya kushughulikia kashfa husika unaambiwa ukalete vyeti vya ndoa, hati za nyumba, cheti cha kuzaliwa, kadi za gari, vyeti vya shule nk. Huo kama si ujinga ni nini? Badala ya kutatua tatizo lililopo wanaanza wanaongeza matatizo zaidi
 
Acha kuweweseka wewe, mwachie mwenyewe atalimaliza tu.
Umesahau alivyoutangazia umma wa Watanzania kuwa haogopi Serikali, Mahakama wala Askari.? Nashangazwa na wehu kama wewe wanaotetea hata kama mtu kakosea.
 
Membe alitangaza akiingia madarakani maadui wake watakimbilia Kenya...
 
Baba yetu wa Imani Ibrahim alikuwa Lofa?

Mtu aliyekuwa na watumishi kiasi cha kuunda jeshi?

Haya huyo Mungu anaye mtumikia ndiye anye miliki kila kitu Duniani, Mbinguni na na kuzimu kwa maana aliziumba yeye kwa kutamka neno tu.

Iweje mtumishi wake awe lofa?

Gwajima ni shetani....matendo yake ya kishetani....maisha yake ya kifahari kupitiliza ya kishetani....muumini wa Mungu haishi kama yeye...!!!

Gwajima anahusika na drug deals....Polisi wanajua hilo sana tu..ndio maana Gwajima anatetemeka sana kuelezea mapato yake kihalali..polisi wanajua anahusikana na madawa ya kulevya...so wameanza step by step...na watamkamata....keep tuned..!!! Gwajima hana makanisa...hana hata jengo la kanisa...Askofu gani asiye na makanisa hata mikoani..hata hapa Dar hana kanisa...ndio ujiulize...where is he getting all monies while his FOLLOWERS NI MASKINI WA KUTUPA...waumini wake 98% ni maskini wa mlo mmoja..

Isitoshe, Gwajima alikuwa analiona ROMAN CATHOLIC JUU JUU TU... sasa ndio atajua RC ni kitu hatari sana duniani...he will perish soon...!!! RC si mchezo, very soon atapotea kabisa..na mali zake zooooote zitakamatwa...tht will be the end of Gwajima..!!!

Doo
Kuzimu kwa mbwembwe?
 
Kama mali zake ni za halali kwa nini anaogopa?

Maswali ya mapato na matumizi yatawasaidia hata waumini kujua je yale magari ya kifahari na helkopta ni mali za Gwajima au za kanisa? kama za Gwajima binafsi pesa katoa wapi za kununulia katumia sadaka za waumini au vipi? Kama katumia sadaka za waumini kununua magari na helkopta na kuisajili kibinafsi ni makosa.

Maswali yale pia yatatoa mwanga yale mamilioni ya sadaka zinazokusanywa huwa zinatumika kwa kitu gani ni kwa ajili ya manufaa ya kanisa au Gwajima na viongozi wenzie tu?

Polisi waachwe wafanye kazi yao mwisho wa siku hata waumini wa kwa Gwajima watakuja kushukuru kwa kazi nzuri ambayo polisi wamefanya kazi ambayo isingekuwa rahisi kwa waumini wa Gwajima kuhoji maswali kama ya mapato na matumizi na mali alizonazo maana wangeishia kuwafukuza kanisani kwa kuwaambia kuwa wana misukule mipya ambayo haifai kutolewa zaidi ya kuwatimua kanisani.
 
mtalalamika sana lakini huyo shetani , zake zimefika, uongo, ulaghai ,ushirikina na uchawi , ajifufue basi
 
Kweli kabisa kiongozi. Serikali yetu ipo kwaajili ya kuleta matatizo na sio kutatua matatizo. Haiingii akilini mtu umemkashifu mtu badala ya kushughulikia kashfa husika unaambiwa ukalete vyeti vya ndoa, hati za nyumba, cheti cha kuzaliwa, kadi za gari, vyeti vya shule nk. Huo kama si ujinga ni nini? Badala ya kutatua tatizo lililopo wanaanza wanaongeza matatizo zaidi
That's the solution looking for a problem.
 
Acha upuuzi wewe mvaa pampasi, kwani Gwajima alimuonya Pengo au RC?

You bastard...!! can u separate insulting Pengo & RC..?

Can u insult JK in public ukasema hujamtukana RAIS wa nchi au mwenyekiti wa CCM...?

Do you know who is CARDINAL...!!? kima wewe...!!!

Unaweza mtenganisha PENGO NA RC...!!? Ndio utajua sasa RC ni nn..na Gwajima atapotea ww ukiona...hapata kuwa na wa kumsaidia...mawakili watamlia fedhaaaa, then atakwisha, soon his properties will be seized....Gwajima hakuitukana serikali...alimtukana Pengo...Pengo is RC to genes...sasa kwnn SERIKALI INAMMALIZA..!!? huelewei ww pimbi...RC ni kitu hatari sana, dunia nzima...!!
 
Mkikaa vijiweni na sheria zenu mwitu mnajiamini kweli.

Maswali ya mapato na matumizi yatawasaidia hata waumini kujua je yale magari ya kifahari na helkopta ni mali za Gwajima au za kanisa? kama za Gwajima binafsi pesa katoa wapi za kununulia katumia sadaka za waumini au vipi? Kama katumia sadaka za waumini kununua magari na helkopta na kuisajili kibinafsi ni makosa.

Maswali yale pia yatato mwanga yale mamilioni ya sadaka zinazokusanywa huwa zinatumika kwa kitu gani ni kwa ajili ya manufaa ya kanisa au Gwajima na viongozi wenzie tu?

Polisi waachwe wafanye kazi yao mwisho wa siku hata waumini wa kwa Gwajima watakuja kushukuru kwa kazi nzuri ambayo polisi wamefanya kazi ambayo isingekuwa rahisi kwa waumini wa Gwajima kuhoji maswali kama ya mapato na matumizi na mali alizonazo maana wangeishia kuwafukuza kanisani kwa kuwaambia kuwa wana misukule mipya ambayo haifai kutolewa zaidi ya kuwatimua kanisani.
 
Hela za kanisa ni hela za umma kama ambavyo za serikali ni za umma.Huwa kila kanisa lililolosajiliwa lina wajibika kuandaa mahesabu ya kila mwaka ya fedha na mali na ripoti za utendaji na kuzipeleka kwa msajili aliyetoa usajili.

Kama hesabu hizo zilikuwa haziandaliwi na kukaguliwa na wakaguzi wa nje analo bichi zima zima.
ingizo jipya Tanzania
 
Ni sheria ipi aliyoivunja Askofu gwajima??
Uaskofu wa Pengo una lipi la maana kumzidi Gwajima hadi asikemewe. Huyo Pengo katika historia ya utumishi wake katika dini ulishawahi kusikia popote pale ameombea hata mtu mwenye kajini maimuna tu kakatoka!!??

Na kama kweli we siyo LINAFIKI na unataka sheria za nchi zifuatwe mbona hauonekani kutaka MAJIZI ya EPA, KAGODA, DEEP GREEN, RADER, NDEGE YA RAIS, BUZWAGI, MISHAHARA HEWA na ESCROW yafikishwe kwenye vyombo vya sheria
Gwajima hayuko juu ya sheria
Kwa kuanzia kama kanisa lenu limeandikishwa kisheria basi ulitakiwa kujua kuwa mapato na matumizi inabidi yajulikane serikalini.
Siyo mnajiingiza katika biashara haramu halafu mnajidai ati ni kanisa.
 
Maswali ya mapato na matumizi yatawasaidia hata waumini kujua je yale magari ya kifahari na helkopta ni mali za Gwajima au za kanisa? kama za Gwajima binafsi pesa katoa wapi za kununulia katumia sadaka za waumini au vipi? Kama katumia sadaka za waumini kununua magari na helkopta na kuisajili kibinafsi ni makosa.

Maswali yale pia yatatoa mwanga yale mamilioni ya sadaka zinazokusanywa huwa zinatumika kwa kitu gani ni kwa ajili ya manufaa ya kanisa au Gwajima na viongozi wenzie tu?

Polisi waachwe wafanye kazi yao mwisho wa siku hata waumini wa kwa Gwajima watakuja kushukuru kwa kazi nzuri ambayo polisi wamefanya kazi ambayo isingekuwa rahisi kwa waumini wa Gwajima kuhoji maswali kama ya mapato na matumizi na mali alizonazo maana wangeishia kuwafukuza kanisani kwa kuwaambia kuwa wana misukule mipya ambayo haifai kutolewa zaidi ya kuwatimua kanisani.
mkuu tafuta kwanza biblia uisome ili uelewe Kazi ya sadaka ni nn?biblia inaagiza wanaohubiri injiri wale injiri.m
 
Hee, zaidi ya kutekeleza agizo la Yesu la kueneza injili wana kazi nyingine?
Kwa hiyo hii Purukusahani ya Polisi mkono wa RC umo humo??
Mimi nilidhani ni uhuni wa polisi wetu tu!!!
Hebu tueleze inaonekana mwenzatu ni RC insider.

You bastard...!! can u separate insulting Pengo & RC..?

Can u insult JK in public ukasema hujamtukana RAIS wa nchi au mwenyekiti wa CCM...?

Do you know who is CARDINAL...!!? kima wewe...!!!

Unaweza mtenganisha PENGO NA RC...!!? Ndio utajua sasa RC ni nn..na Gwajima atapotea ww ukiona...hapata kuwa na wa kumsaidia...mawakili watamlia fedhaaaa, then atakwisha, soon his properties will be seized....Gwajima hakuitukana serikali...alimtukana Pengo...Pengo is RC to genes...sasa kwnn SERIKALI INAMMALIZA..!!? huelewei ww pimbi...RC ni kitu hatari sana, dunia nzima...!!
 
kweli kuna watanzania wehu sijui ni mazombie kuna ubaya gani.mtu kuitwa mahakamani kwa josa jingine na kuongezewa mengine polisi wanajuwa wanachofanya tuwape nafasi mbona ukienda hopitali ukagundulika una ugonjwa mwingine na ule uliofikiri hauogomi kutibiwa.
 
ok,kama katumia pesa ya sadaka kununua helcopter afu kaisajili kama yake,inakua ni wizi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom