East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,211
mkuu tafuta kwanza biblia uisome ili uelewe Kazi ya sadaka ni nn?biblia inaagiza wanaohubiri injiri wale injiri.m
Kaambiwa apeleke sasa hayo mahesabu ya kuhubiri hiyo injili anayohubiri mapato ya hela iliyovuna hiyo injili toka kwa hao anaowahubiria na matumizi yake na mali inazomiliki hiyo injili yake.
