Imebidi nimlishe mke wangu chakuka bila mboga

Imebidi nimlishe mke wangu chakuka bila mboga

Kama unataka kupokewa jaribu kununua vitu anvyovipenda mke wako
Jidanganye, atapokea siku mbili kisha atarudia tania yake. Hawa wanawake wadiojitambua wewe waone hivi hivi tu.
 
Oooh kumbe!! Basi aufikishe tu ndani apumzike jamani.
Utajisikiaje eti mumeo katoka asubuhi kaenda kazini, karudi na kamzigo mkononi wewe umekaa na mashoga zako barazani wala hujishighulishi kumpokea?! Akupite tuu aende ndani akapumzike kweli?!

Ile kumpokea sio kwamba eti anashindwa kuufikisha ndani, ile ni heshima na inaongeza mapenzi kwenye ndoa!

Najua wewe haupo hivyo ila unaandika kunogesha uzi lakini wapo wenye tabia kama unazoandika wabadilike ndoa sio jeuri na kujiona wewe jike!
 
Sio ujeuri ila aufikishe tu ndani apumzike maana hata nami nimechoka sana kwa shughuli za kutwa nzima.
 
Safi sana, huo ndio uanaume sasa na hiyo ndio dawa ya mwanamke jeuri. Nadhani siku ya pili lazima achekwe na jirani yake akisimulia kuwa jana yake alikula msosi mkavu, wakati huo jirani akitoka na tooth-pick[emoji849][emoji849][emoji849][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom