Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Kweli kabisa Fundi, mke hana adabuSema kweli!
Kweli kabisa Fundi, mke hana adabuSema kweli!
Hahaha hahaha hahahaMdaka chozi kaibiwa akili za kuibiwa hizo ujue
HahhaahaHahaha hasira hasara,tena usikute alikuwa makini sana huko buchani kuchagua nyama nzuri yenye stake za kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kweli kweliKweli kabisa Fundi, mke hana adabu
Hahhahahah ujue ukiibiwa unajiamini sanaHahaha hahaha hahaha
Sijamzoea hivyo kabisaaa
Ulioaje mtu hamjapendana? Na wewe una matatizoHuyu mke mm nilionyeshwa nikaenda kwao direct nikakutanishwa nae faster nikachukuwa jiko, hatukuwa na zile issue za kutest mitambo
NakaziaUlioaje mtu hamjapendana? Na wewe una matatizo
Hili ndio tatizo kuu acha nikupe pole mkuu watu hamjachungazana hamjuani tabia zenuHuyu mke mm nilionyeshwa nikaenda kwao direct nikakutanishwa nae faster nikachukuwa jiko, hatukuwa na zile issue za kutest mitambo
Tulipendana mkuu nilimuona nikamkubali nikampenda na yy kanipenda tukaowana bila kulazimishwa na Alhamdulillah yuko vizuri kwa kila jambo isipokuwa hichi kitabia.Ulioaje mtu hamjapendana? Na wewe una matatizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema kweli jamaniiHahhahahah ujue ukiibiwa unajiamini sana
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli yaani unakua mjeuri flani hakuna kulialia tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema kweli jamanii
Lakini hii tabia yake naona ni afadhali kuliko angekuwa na ananitukana au anagawa papuchiHili ndio tatizo kuu acha nikupe pole mkuu watu hamjachungazana hamjuani tabia zenu
Shida ndo imeanzia hapo mkuu...Huyu mke mm nilionyeshwa nikaenda kwao direct nikakutanishwa nae faster nikachukuwa jiko, hatukuwa na zile issue za kutest mitambo
@sabosabo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli yaani unakua mjeuri flani hakuna kulialia tena
Wamebebana wakaoana alitegemea niniNakazia
Asa kumbe ushaizoea unalalamika kitu gani tena mkuu?! Mvumilie basi jamani, ndo alivyo hajafunzwa kwao kuhusu hiloLakini hii tabia yake naona ni afadhali kuliko angekuwa na ananitukana au anagawa papuchi
Sasa mkuu ungepambana na mkeo tu wala usingekuja kulalamika huku kumbe umeshaizoea tabia yakeLakini hii tabia yake naona ni afadhali kuliko angekuwa na ananitukana au anagawa papuchi
Ebu shangaaAsa kumbe ushaizoea unalalamika kitu gani tena mkuu?! Mvumilie basi jamani, ndo alivyo hajafunzwa kwao kuhusu hilo
HahahahaMdaka chozi kakuwa romantic eeehhhh, venye anajibu ni kama kuna mtu anamuandikia