Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,495
WoooiiiEbu shangaa
WoooiiiEbu shangaa
Hahaha hahahaHahahaha
Nami nimesema msijali sie roborts hata tukiwa ICU tutawapa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa kapata wa kumpokea jamanii, na hivyo wewe hujui kupokea mtu!!
Ila memmiss sana
Sijagoma, nakusubiri urudi nami nirudi.Na mimi nimepata wa kunidaka chozi,we si umegoma kurudi nyumbani
Sijaizoea mkuu ila dosari ya hii tabia ni afafhali ya nyengine. But natamani angeiyachaSasa mkuu ungepambana na mkeo tu wala usingekuja kulalamika huku kumbe umeshaizoea tabia yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@espy
Hatimaye utatulia na anko mo... Hongera sana ex mdaka chozi wa auntie wangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Si ufyatue watoto mkuu watakuwa wanakusubiri stendi kabisa kukupokea
HayaSijaizoea mkuu ila dosari ya hii tabia ni afafhali ya nyengine. But natamani angeiyacha
Kweli hiyo inauma sana.Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
Hahahahahhahahahahahahaahah we jamaa umenifanya nicheke kwa nguvu sana .......ila nadhani hata wewe umekula bila mbogaHabarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
Hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi anko wako yuko wapi jamani, ukimuona mwambie nampa hi.
Kwanza mke wa mtu anakaaje kibarazani na mashoga zake ......wakae ndani huko ....halafu mtu anawezaje kumwona mumewe anarudi na kifurushi halafu anamchora tu hampokei???? Wanawake sisi michepuko huwa tunaiita kwa nguvu zetu wenyeweHiyo tabia ya mwanamke kukaa barazani nayo sio nzuri! Hao wanawake wangekuwa wema wangemwambia kampokee mumeo!
Amechoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimpokee kwani ana shida gani?
KabisaaaKwanza mke wa mtu anakaaje kibarazani na mashoga zake ......wakae ndani huko ....halafu mtu anawezaje kumwona mumewe anarudi na kifurushi halafu anamchora tu hampokei???? Wanawake sisi michepuko huwa tunaiita kwa nguvu zetu wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeh we humpokei mumeo????Wanaume bwana, kama walemavu.
Eeeeeh ulisaidiwa kulipa mahari????Wengine tukifika home kitu cha kwanza kupokelewa ni simu,na hairuhusuwi kuweka password
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye hawezi kuumia maana alitaka kumkomoa mke wake japo na yeye kakomolewa kule kwenye zero distance na exchange of temperature by induction method[emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahahhahahahahahahaahah we jamaa umenifanya nicheke kwa nguvu sana .......ila nadhani hata wewe umekula bila mboga
Sent using Jamii Forums mobile app