Imebidi nimlishe mke wangu chakuka bila mboga

Hv wanawake wa hvo mnawatoaga wap jamn kwakwel dunia ina mambo sikatai hamna alokamilika ila hv vingine sijui ni nn kinawapata wanawake kwamba mmeo anaeza akaja na bado ukaendelea na stor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
dawa ya kiburi
 
kichwa cha habari kimenipeleka fasta nikajua usha pakua kisanvu cha kopo,kumbe ndoa ndoano [emoji23][emoji23]
 
Mwanaume kupeleka Mboga nyumbani ni Kosa.Mpe hela akanunue. Kuhusu swala la kupokelewa umechelewa siku ya kwanza tu ukishamwambia.

Siku ya pili yake mpe makofi black fully mwambie aende kwa babake kisha mfuate na baba ake huko mpe makofi mwambie mtoto wake amfundishe adabu asirudie kukuozesha mizigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jirani aliyepokea mboga ya familia nyingine na akaamua kwenda kuipika nae hana adabu, fanya hima uhame hapo unapoishi
 
Jirani baada ya kula hiyo mboga vipi amekutunuku!?
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.

Kuna wakati inabidi tukubaliane na mapungufu ya wenzetu Hakuna mkamilifu

Kutopokelewa Ni Jambo dogo Sana la kukubaliana nalo.

Yawezekana wewe una mapungufu makubwa zaidi ya hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume kupeleka Mboga nyumbani ni Kosa.Mpe hela akanunue. Kuhusu swala la kupokelewa umechelewa siku ya kwanza tu ukishamwambia.

Siku ya pili yake mpe makofi black fully mwambie aende kwa babake kisha mfuate na baba ake huko mpe makofi mwambie mtoto wake amfundishe adabu asirudie kukuozesha mizigo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu cku nyingi naacha hela ila ikitokea kama ivi nimekuja nayo au nimekuja na kizawadi ndo ivo hamna kipokea
 
Back
Top Bottom