Imebidi nimlishe mke wangu chakuka bila mboga

Amemuambia wakati gani, wakiwa wachumba au akiwa tayari mke!

Kuna vitu vidogo tunavyopuuzia wakati wa uchumba ambavyo vinatugharimu tukiwa kwenye ndoa!

Imagine mke hampokei mume, unadhani ataweza kumwambia pole?!
Huyu mke mm nilionyeshwa nikaenda kwao direct nikakutanishwa nae faster nikachukuwa jiko, hatukuwa na zile issue za kutest mitambo
 
Back
Top Bottom