Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,384
Hili nalo neno, wanawake wengi wakishakaa vibarazani kinachofuatia hapo ni kusemana na umbea wa hapa na pale.Hiyo tabia ya mwanamke kukaa barazani nayo sio nzuri! Hao wanawake wangekuwa wema wangemwambia kampokee mumeo!
Hijambo Sakayo-nsa? Its me your bro alibakari
Sent using Jamii Forums mobile app